Acha uongo na wewe ufunguke akili hiyo ni misemo tu kumuogopesha adui yako ya kwamba ni operation ya Kijeshi wakati unashindwa kule ule msafara wa 45km kwa mbwembwe nyingi, sa hizi hakuna hata msafara wa 1km hahaa so funny
Operation wakati huo
Tanks 1688 mpaka wakulima wanajibebea vifaru vingine na wadau wa kuokota vyuma chakavu wanaokota huko itakuwa biashara ya kuuza vyuma chakavu imepamba moto huko.
Troops 38400 wamekwenda na upepo wa kisurisuri,
Armoured personal vehicles 3890 Ardhi ya ukraine imetafuna.
Helicopters 192 anga la ukraine limemeza.
Cruise missiles 162 zimefwekelewa mbali.
Artillery system 859 crushed.
MLRS 249 drone za mabomu zimefanya yake,
Vehicles and fuel tanks 2750 zimewashwa moto na zenyewe zikasapoti moto,
Anti-aircraft warfare system 112 zimeshindwa kujilinda zenyewe na wapiganaji wa chini, wazo liliishia angani.
Special equipment magari 72.
Aircraft 223 mengine wenyewe wanashambulia ya kwao.
UAV 690 zote chini nyingine huenda wakatengenezea mabanda ya Kuku.
Boats 15, za kijeshi.
Meli vita ukubwa wa Kati 2.
Halafu mwendawazimu mwingine nae anakubali kuaminishwa ni operation.