MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Hizo taarifa zote za loss umezipata toka kwa media za mabwana zenu, as if huwa wanareport ukweli. Special operation gani ya kuondoa serikali na jeshi lake pasipo small scale war.
Na unategemea fair journal from their enemies.
Sikiliza mzee, wababe wote wa duniani huwa na muda wao wa kutamba na ku expire. Hakuna aliewahi kudumu forever. let that sink in your dull brain.
Hata ukitumia taarifa za loss za bwana wenu Putin bado ni too much, ukizingatia yeye ni muongo muongo ila hata ukitumia hizo za uwongo wake ilipaswa awe amefumua Ka-Ukraine kakaisha, useless kabisa, mlichagua kuolewa na mtu useless sana.