Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani mmeshasahau juzi tu Trump alimtumia Putin kudukua taarifa za uchaguzi wa Marekani na kubadili matokeo ili apite??
Nawasi wasi na Putin kweli we wakuishindw Ukraine?!!!
Unapigana na kamtaa kama kale chaliiiiiiiii!!!
Au niamini kama kweli uliwekwa madarakani na Rais aliyewekwa na Marekani?! Kwamana hiyo unatuonesha mazingaombwe sio
 
Ingawa Credit hupewa walio juu hasa kwa top official ambae ni President. Huyu mzee kwangu ni Hero wa diplomasia.... Mzee Lavrov.

images (1).jpg


Hekima zake, Jitihada zake, Uzoefu wake na mapenzi yake makubwa kwa nchi yake yamesaidia kwa kiasi kikubwa sana kulinda Image ya Russia SF kipindi hiki kigum kwao ambacho wenye "hati miliki za fikra za watu" (International Media) zikiwa against nao.

Katika battle ya ushawishi huyu Mzee na team yake wanafaa kupongezwa kuliko hata V Putin mwenyewe.

Again kuna huyu mama nae dah 🥰

images (2).jpg


Wanamuita Maria Zakharova, anazeeka na ubaby face wake 🤭, huyu nae ni kichwa na nusu.

Katika hali ya kisiasa iliyopo Russia me nadondosha nyota 5 kwenye hii wizara. Wewe je 🤔
 
Naona Ukraine wanataka kuongeza umri wa kujiunga na jeshi mpaka miaka 70.

Hapo awali mapigano yalipoanza, walipitisha sheria kuwa wanaume kuanzia miaka 18 - 60 lazima kujiunga na jeshi ili kuipagania Ukraine. Hawaku ruhusiwa kukimbia mapigano na kwenda nchi nyingine

Sasa wanataka kuongeza umri mpaka 70.

Ivi kweli mzee wa miaka 70 unataka aende vitani kufanya nini? Dah... Vita isikie kwa jirani...

View attachment 2302561
They previously accused Russia of deploying child-soldiers.
 
Dunia inabadilika kwa kasi sana. Tulipoishia kabla ya ukoloni tunaanzia pale pale.
View attachment 2302577

[emoji1210][emoji1666][emoji1130]Saudi Arabia, Iran to hold first ‘public’ meeting on reconciliation talks in Baghdad

Iraq says it will host a “public” meeting between Iran and Saudi Arabia at the level of foreign ministers as part of successive reconciliation talks mediated by Baghdad.
Mungu ajaalie jamaa hawa wapatane kwakweli
Ingawaje ningumu mno mno mnoooooooooo
Ila kupatana hawa kutaharakisha lile anguko la petro dolar[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Ukraine wanataka kuongeza umri wa kujiunga na jeshi mpaka miaka 70.

Hapo awali mapigano yalipoanza, walipitisha sheria kuwa wanaume kuanzia miaka 18 - 60 lazima kujiunga na jeshi ili kuipagania Ukraine. Hawaku ruhusiwa kukimbia mapigano na kwenda nchi nyingine

Sasa wanataka kuongeza umri mpaka 70.

Ivi kweli mzee wa miaka 70 unataka aende vitani kufanya nini? Dah... Vita isikie kwa jirani...

View attachment 2302561
Mi nasubilia wanaume waishe nikajiongezee wake nifunge wanne na madhulia kibao.
 
Upuuzi wa Majeshi ya Zelensky kuweka Silaha kwenye maeneo ya raia Kama vile shule, hospitals n.k ndo unasababisha yalipuliwe.

Na hii ni kwakua Russia ana kila nyenzo kitechnology kutambua, Basi hulipua silaha hizo na kuharibu mipango ya Zelensky na US.

Huu mkataba wa juzi Putin kawa hurumia watoe nafaka zao, wao wakapeleka machumachuma ya US ili wayatumie kijeshi, jamaa akaona ayalipue. Sasa wanalalama tu.

Wanaendeleza tabia hizi [emoji116]
Watalipuliwa kila sekunde. Russia real super power
Machumachuma zimekuwa rendered useless
 
Well-said!

Taarifa za hivi karibuni zinadai kitendo cha awali mwezi Februari cha wanajeshi wa Putin kuelekea Kiev ilikusudiwa kuwachanganya Ukraine wasijue malengo ya Putin anataka nini hasa.

Wakakimbilia wote kuilinda Kiev, na kuwaachia Warusi mwanya wa kuingia na kujipanga kwenye ukanda wa Donbas.

Kumbuka unapoivamia nchi, mwenye advantage ni mvamiwa kwa sababu hujui amejificha wapi at the moment.

All in all, kauli za Putin kwamba the world will never be the same again, imemshtua sana Mmarekani.

Nani ajuaye? Pengine mwakani tukamshuhudia Joe Biden akija kuomba msaada wa chakula na wawekezaji Tanzania, after US kufilisiwa na Putin.
Nafahamu weye wafahamu ukweli ila kila wakati waleta matani.

Lakini nafahamu wapenda kuchokoza hoja ili upate madini zaidi.
 
Ingawa Credit hupewa walio juu hasa kwa top official ambae ni President. Huyu mzee kwangu ni Hero wa diplomasia.... Mzee Lavrov.

View attachment 2302637

Hekima zake, Jitihada zake, Uzoefu wake na mapenzi yake makubwa kwa nchi yake yamesaidia kwa kiasi kikubwa sana kulinda Image ya Russia SF kipindi hiki kigum kwao ambacho wenye "hati miliki za fikra za watu" (International Media) zikiwa against nao.

Katika battle ya ushawishi huyu Mzee na team yake wanafaa kupongezwa kuliko hata V Putin mwenyewe.

Again kuna huyu mama nae dah [emoji3059]

View attachment 2302642

Wanamuita Maria Zakharova, anazeeka na ubaby face wake [emoji2960], huyu nae ni kichwa na nusu.

Katika hali ya kisiasa iliyopo Russia me nadondosha nyota 5 kwenye hii wizara. Wewe je [emoji848]
1.Lavrov
2.Maria kama Maria
3.shoigu kama sergei
Hio ndio top 3 yang tokea huko KREMLIN halaf wengne wafuatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom