Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Russian Foreign Minister Sergey Lavrov meets the Secretary-General of the League of Arab States at the League's headquarters in Cairo
(Photo courtesy of the Russian Embassy in Cairo)
Ili kujikiga dhidi ya nato😁😁😁😁😁😁 nimemkumbuka yule jamaa aliye sema MASUHALA badala ya maswalaNaomba kupinga hoja zako.Russia baada ya kuivamia Crimea mwaka 2014 imekuwa inatamani kuvamia nchi zingine za jirani ili kuunda tena taifa la USSR.
Ni haki ya Ukraine kujilinda. Na ndio maana Poland na Sweden zimejiunga na NATO ili kujikinga dhidi ya NATO
Tujipe muda tu hiyo hesabu yako itakufungaNgoja tupige hesabu siyo kubisha tu.
300x30 = 9000 inamaa kwa mwezi wanakifa 9,000 hii inawezekana kabisa. Mpaka sasa ni miezi 5 maana yake
9,000 x 5 = 45,000 hata hii inawezekana kabisa kutokana na kwamba Russia anapambana na Ukraine + NATO + EU
Check jeshi la Ukraine
Available for
military service11,149,646, age 16–49 (2015) Fit for
military service6,970,035, age 16–49 (2015) Reaching military
age annually470,406 (2021) Active personnel 196,600 (2022) Reserve personnel 900,000 (2022) Deployed personnel 40,114 (2021)
Kwa kigezo hicho mrusi anaweza kuipiga nchi yeyote ndani ya natoMimi nadhani Zelensky either ata uwawa au atapinduliwa na Western tena kabla ya winter.
Europeans wanajua kabisa kuwa Ukraine haiwezi shinda hii vita. Na pia wanajua hawawezi toboa winter bila Russia.
Lakini hawawezi kukubali tu kirahisi rahisi na waaibike. Watatafuta namna ya kusuluhisha hii ishu na Russia bila kujitia aibu.
Njia rahisi ni kumuua au kumpindua Zelensky. Wata sema waliotekeleza ni viongozi au jeshi ndani ya Ukraine. Na kiongozi mpya atajifanya pro-russia na kuomba kukaa mezani na Russia.
Hivyo, EU na USA nao watakaa mezani na Russia. Kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa, hawa viongozi wanasema uamuzi wa suluhisho la Kidiplomasia ni uamuzi wa Ukraine na hawata ilazimisha Ukraine.
Hapk watakuwa wemepata sababu ya kumaliza mgogoro na Russia kwa kisingizio kuwa Ukraine imetaka na kuwa wao ugomvi wao na Russia ulikuwa juu ya Ukraine tu.
Tusubiri tuone.
Hebu jiulize mwenyewe hao hao waliowaaminisha kiev itakuwa majivu baada ya mwezi ndo mnawaamini hivi sasa 5 months later haya.. time will tell...baada ya mwaka nitakutafuta unipemrejesho wa idadiCc Adolph hitler jr
Nadhani umepata jibu kutoka kwa mdau.
Kumbaka mwezi watano, Ukraine ilisema ime mobilize jeshi la watu 700,000.
Na pia wanaume wote wenye umri wa miaka 18-60 hawaku ruhusiwa kuondoka nchini Ukraine na kuwa ni lazima wajiunge jeshini kuipigania nchi yao.
Kwahiyo hata bila NATO, idadi ipo. Ukraine wenyewe walisema wana kufa wanajeshi 60 mpaka 100 kwa siku na majeruhi zaidi ya 500 kwa siku. Ndiyo maana Poland wanasema wana danganya na kuweka idadi ndogo.
Ukraine sasa hivi ina matatizo mengi sana. Kati yake ni
1. Kupoteza wanajeshi wenye mafunzo mazuri ambao inasemekana wameuawa, hivyo wanatumia raia ambao hawana mafunzo ya kutosha.
2. Kukosa silaha za kutosha hasa artillery ambapo wao wenyewe wanasema Russia anatuma artillery zaidi ya elfu 50 - 70 kwa siku wakati wao wanaweza kutuma kama elfu 5 - 6 kwa siku.
3. Wanajeshi kukimbia na kukataa kupelekwa Donbas kupigana. Kuna video zaidi ya 10 za vikosi mbalimbali viki kataa na hivyo kukamatwa na kuwekwa jela.
TissTunaelekea Odessa.
View attachment 2300833
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russian troops carried out local ground attacks near the border of Kherson and Mykolaiv regions[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Mkuu vipi umekuwa adimu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kiuwepesi sanaa Mangi.
Kumbuka mchunga ng'ombe mmoja anaswaga ng'ombe elfu kadhaa kwenye malisho na kunywa maji.
Sisi safari bado ni ndefu sanaa kujitoa kwa hao majamaa.
Sasa sana wanapokezana tuu kuja kufaidi vyetu.
Hapana, kama ilivyo USA ilikataa Cuba kuweka kambi ya Soviet kwa sababu Cuba Ipo karibu sana na USA na kusabisha Cuba Missile Criss mwaka 1962 na kuivamia, ndiyo ivyo Russia inakataa Ukraine kuwa member wa NATO na kuweka kambi za NATO mpakani mwake.Kwa kigezo hicho mrusi anaweza kuipiga nchi yeyote ndani ya nato
Aya asante kwa masimangoHii kali ya mwaka, halafu hao hao moto ukizima utawasikia ati ooh "We never negotiate with terrorist", hey What the fu[emoji2398]k with them?
Kumbe mbali na kulishwa tu hadi moto ukiwaka wana-subiri Russia aje awasaidie kuuzima? [emoji849]
Wazee wetu walitufahamisha kua anayeku-faa wakati wa Dhiki ndie rafiki sasa hawa kwanini anae wafaa kwenye dhiki wanamgeuza adui? Who to blame then? Russia? Hapana hiyo ni dhambi yao wapambane tu [emoji23]
Msemaji wetu popote ulipo tunakutuma, waambie tuko busy kuwasha moto mashariki ya karibu hapo hivyo hatuna mda wa kuzima moto kwa sasa. Kama wakiweza waambie wajitahidi kuutunza maana "Winter is coming" so moto huo unaweza kuwapa manufaa makubwa sana bila Gas yetu... [emoji23]
Vladimir haeleweki kama tupu ya binti, yani akisimama iko mbele akiinama iko nyuma 😂😂😂Ndivyo Marekani alivyo. Lazima tujifunze tu kumzoea, hakuna namna. Anakushawishi, ukiingia mkenge tu, anakuacha kwenye mataa.
Halafu kwa nini huyu Col. Gregor anasema ^they shot themselves on the foot^ wakati Orban PM wa Hungary alishalitolea ufafanuzi kwamba siyo ^on foot,^ bali ni ^in the lungs^?
Mbona US ni waongo hivi jamani? I can see US needs to update herself on political matters!
Anyway, nahisi Putin amepanga jambo fulani dhidi ya Wajerumani. Pengine amewarudishia kipasenteji cha gesi kwa sasa ili wakolee wakidhani hata winta watakuwa nayo. Then baridi ikituna tu, ANAWAKATIA 4 GOOD bila huruma!
Ngoja tungoje! Nikisinzia, niamsheni pls!
Nani alisema Kiev itakuwa majivu ndani ya mwezi mmoja kama siyo media za Western?Hebu jiulize mwenyewe hao hao waliowaaminisha kiev itakuwa majivu baada ya mwezi ndo mnawaamini hivi sasa 5 months later haya.. time will tell...baada ya mwaka nitakutafuta unipemrejesho wa idadi
Wamuue na hayo madeni atawalipa naniMimi nadhani Zelensky either ata uwawa au atapinduliwa na Western tena kabla ya winter.
Europeans wanajua kabisa kuwa Ukraine haiwezi shinda hii vita. Na pia wanajua hawawezi toboa winter bila Russia.
Lakini hawawezi kukubali tu kirahisi rahisi na waaibike. Watatafuta namna ya kusuluhisha hii ishu na Russia bila kujitia aibu.
Njia rahisi ni kumuua au kumpindua Zelensky. Wata sema waliotekeleza ni viongozi au jeshi ndani ya Ukraine. Na kiongozi mpya atajifanya pro-russia na kuomba kukaa mezani na Russia.
Hivyo, EU na USA nao watakaa mezani na Russia. Kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa, hawa viongozi wanasema uamuzi wa suluhisho la Kidiplomasia ni uamuzi wa Ukraine na hawata ilazimisha Ukraine.
Hapk watakuwa wemepata sababu ya kumaliza mgogoro na Russia kwa kisingizio kuwa Ukraine imetaka na kuwa wao ugomvi wao na Russia ulikuwa juu ya Ukraine tu.
Tusubiri tuone.
Ile shehena ya "Surgical Strikes" ndio ishakatiza hapo Kalingard 😂😂😂 Liuthania wamefunika kombe mjuba apite.Yani WARUSI wakitaji watu wa kujitolea kwa ajili ya kuivamia POLAND basi mimi nipo tayari kujitolea[emoji635][emoji635][emoji635]
Hafuatilii command posts na battalion zilivonyingi . Jeshi ni kubwa na ndio maana ya demilitarization kupunguza hasa kuwaua sio kuwateka ndio maana Russia anawazungukaGuys jeshi la Ukraine lilikiwa kubwa mno. Lilokuwa tishio. Hakuna nchi yoyote huko NATO ingeweza kupambana na Ukraine.
View attachment 2302405
Ndege vita zilizoteketezwa ni 260, vifaru 4,156!!! Halafu mtu anakataa wanajeshi 45,000 tu kuuawa!!?
AhaahaaHiviiii hizo HIMARS SI tumekuwa nazo Tanzania zamani sana😁😁😁😁 SI ndio zile wanajeshi wa Tanzania wanamsalimiaga nazo Rais ..Himaaaaaaaa Himaaaaaaaa Tanzaniaaaaaaaa ......
Leta facts, acha wishes.Tujipe muda tu hiyo hesabu yako itakufunga
Watu walikuwa wana ichukulia Ukraine poa.Hafuatilii command posts na battalion zilivonyingi . Jeshi ni kubwa na ndio maana ya demilitarization kupunguza hasa kuwaua sio kuwateka ndio maana Russia anawazunguka
Hili neno " Liquidated " sijui linamaanisha nini. Au ni KUYEYUSHA 🤣 🤣Apparently a Russian tank liquidated 4 foreign mercenaries. 2 Americans were Luke Lucyszyn and Bryan Young. Along those 2 reported earlier another Swedish mercenary and a Canadian were also killed north of Siversk in Donestk.
According to mercenaries commander, Ruslan Miroshnichenko, the Americans killed were Luke “Skywalker” Lucyszyn and Bryan Young. He said they were killed alongside Emile-Antoine Roy-Sirois of Canada and Edvard Selander Patrignani of Sweden on July 23.
He said that a Russian tank ambushed the mercenary group where the first tank shell injured Luke. 3 other mercenaries tried to give him first aid when the second tank shell liquidated them all.
The article also notes that 2 other mercenaries named Finn and Oskar received critical injuries.
Kwanza unadhani kwanini kama mwezi hivi EU wamezuia mkopo wa Euro 9 billion?Wamuue na hayo madeni atawalipa nani