Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Mungu yuko peponi
Urusi iko duniani
Nalog off Z
Urusi iko duniani
Nalog off Z
Source?? CNN,VoA,BBC,Al Arabia.Himars kapiga zaidi ya sehemu muhimu 100
Ndo maana watu wameanza rusha hovyo missile
Twasubiri ziishe tuwanyooshe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii kali ya mwaka, halafu hao hao moto ukizima utawasikia ati ooh "We never negotiate with terrorist", hey What the fu©k with them?🇪🇦🇮🇹The authorities of Italy and Spain accused Russia of inaction in the situation with forest fires in their countries
Residents wonder why Russian aviation is not helping them with forest fires this year 🙄🙄🙄
Mkuu we huwa huna point ni kama kakivulii hivi unategemea jua.Mungu yuko peponi
Urusi iko duniani
Nalog off Z
Nguvu azitoe wapi; ona china alichomfanyiaRussia wanalia lia mara wanapigana na wanajeshi wa maabara sijawaelewa kabisa,
Russia hii vita itamgharimu kiuchumu na Ulaya hapo pia lakini US anacheki game kama kwenye vita ya kwanza na ya pili,
Bado US atakuwa na nguvu tu.
Russia nae anaona aibu kuacha vita.
Mrusi m babe sana akutwanga afu anakujengeaHaya sasa mariupol huko mambo ni motoo [emoji91] [emoji91]. Tunajenga miji yetu mipya tuliyojomegea kwasababu ya ujinga wa elenskyyView attachment 2300894
View attachment 2300895
View attachment 2300896
View attachment 2300897
Kwamba hii vita Russia "itamgharimu kiuchumu" 🙄🤭Russia wanalia lia mara wanapigana na wanajeshi wa maabara sijawaelewa kabisa,
Russia hii vita itamgharimu kiuchumu na Ulaya hapo pia lakini US anacheki game kama kwenye vita ya kwanza na ya pili,
Bado US atakuwa na nguvu tu.
Russia nae anaona aibu kuacha vita.
Najua basiHivi sakata la Lithuania liliishia wapi?
I mean, МАТЬ РОССИЯ, why?View attachment 2301053
🇪🇦🇮🇹The authorities of Italy and Spain accused Russia of inaction in the situation with forest fires in their countries
Residents wonder why Russian aviation is not helping them with forest fires this year 🙄🙄🙄
Lithuania kapigwa mkwara na Petroshev na leo wameachia njia Russia kufanya mambo yake.Najua basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dahhh awa jamaa wanavituko sana yani muniwekee vikwazo kibao then moto uwake kwenu nije niwasaidie
Ona haya
The very same thing I have been telling and retelling them for the past four or so months, but where!Russia wanalia lia mara wanapigana na wanajeshi wa maabara sijawaelewa kabisa,
Russia hii vita itamgharimu kiuchumu na Ulaya hapo pia lakini US anacheki game kama kwenye vita ya kwanza na ya pili,
Bado US atakuwa na nguvu tu.
Russia nae anaona aibu kuacha vita.
Nami NALOG OFF kwa niaba yakeMkuu we huwa huna point ni kama kakivulii hivi unategemea jua.
Amewakosesha ugali makandarasi wetuMrusi m babe sana akutwanga afu anakujengea
Afadhali tupate tabu, kuliko nyie mlivyopata vikwazo ~7,000Kwamba hii vita Russia "itamgharimu kiuchumu" 🙄🤭
Dah kuna baridi ila wadau mnaishiwa maji mwilini hadi kwenye ubongo...
Ombi langu kwako tafuta sehem ukae upumzike, ukipata maji kunywa mengi sana mdau upunguze stress. Na kama hukumaliza dozi yako ya "mseto" jitahidi uimalizie maana hali si shwari.
Huu mwaka wenu 😂, Na mtapata tabu sana team USA. Mnatapa tapa mnoooo he he he ila endeleeni kujifariji.
Kama ambavyo Ukraine na washirika wake NATO/US walivyojiandaa hivyo ndivyo pia Russia alijiandaa kwa hii vita.I have been telling them this very same thing for the past four or so months, but where!
Ndo yeye mkuuH
Ni majina yamefanana au ni yule mama anayedili na masokwe kigoma