Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu nakuongeza kwenye list ya watu makini, ufafanuzi kama huu msiache kuwapa wadogo zenu kwenye jamii zinazo wazunguka. Msiwafundishe nani yupo sawa kwenye jambo flani. Wapeni uwezo wa kupambanua, wafunzeni uwezo wa kuelewa. I do believe that, the ability to understand someone possesing is most essential katika safari yake ya mafanikio.
Elimu bora sana hii
 
I WAS ASKED ABOUT THE MI6 BULLSHIT ABOUT RUSSIA BEING "ALMOST EXHAUSTED". LOL. WHO WRITES THIS SHIT, STEPHEN KING??? HERE IS MY REPLY -

Bro, remember the first rule of politics, 100% ironclad - EVERYTHING they say means NOTHING. What they DO SAYS EVERYTHING. And the first rule of Western media - EVERYTHING THEY SAY IS A LIE, THE EXACT OPPOSITE OF THE TRUTH. So, what are they saying? "Russia is running out of troops and weapons". What does that mean? Apply the rule, it means the exact opposite of what they say - Ukraine and NATO are running out of troops and weapons. And money, and fuel, and food, and time.

Ukraine is losing, BIG TIME. US/EU/NATO are LOSING, BIG TIME. Russia has food, fuel, financial and military security and SUPERIORITY. The EU is already rolling back sanctions and BEGGING Russia to start sending gas and oil again. It will start to escalate and accelerate exponentially, daily, from here on out. But not in the way the nazis want it. They are already defeated, and every day it comes closer to the day when it will be impossible to pretend otherwise. MI6 is full of shit. Period. 🤠
 
Whoever coined this should be awarded a Gold Medal
 
[emoji845][emoji635]🇨[emoji1109][emoji1109]🇹[emoji1254] - Russian foreign minister Serguei Lavrov to visit African countries of Congo-Brazzaville, Egypt, Ethiopia and Uganda starting from July 24 ending in July 28[emoji845]

Tanzania tunakwama wapi??
Afike hadi DRC, Somalia na Sudan ili vita vikomeshwe ambavyo West wanazidi kuvichochea kwa maslahi yao.
 
[emoji845][emoji635]🇨[emoji1109][emoji1109]🇹[emoji1254] - Russian foreign minister Serguei Lavrov to visit African countries of Congo-Brazzaville, Egypt, Ethiopia and Uganda starting from July 24 ending in July 28[emoji845]

Tanzania tunakwama wapi??

I wish the real president were still alive. Nadhani Tanzania tungekuwa wa kwanza kuonesha nia ahead of Nigeria & Egypt.

Troops wetu wangepelekwa kumlinda Putin. Tungeshasaini mkataba wa kujenga kinu cha nyuklia on top of JNHPP & SGR. Na mafuta yasingepanda bei.

NB: M7 katuzidi akili. Kwenye huu mgogoro wa Russia vs Ukraine ndipo inaonekana tofauti kubwa sana ya viongozi na wakuu wa nchi walio huru kujiamulia wenyewe kuhusu maslahi ya nchi zao dhidi ya wale ambao lazima kwanza wakatafute vibali hivyo vya maamuzi yao huko Washington & London.
 
CNN Video: Technology ya Drone za Marekani tayari imeangukia mikononi mwa Urusi, Urusi yawaafyeka wanajeshi wa Ukraine kwa kutumia tech ya Marekani

Urusi baada ya kuzishusha kitaalamu drones za Marekani nchini Ukraine, imezi-study na kuchukua tech ya Marekani kisha kuitumia tech hiyo kuwatengenezea Ukraine vichinjio (drones) ambavyo inavitumia hivi sasa

SmartSelect_20220722-080521_YouTube.jpg
 
I WAS ASKED ABOUT THE MI6 BULLSHIT ABOUT RUSSIA BEING "ALMOST EXHAUSTED". LOL. WHO WRITES THIS SHIT, STEPHEN KING??? HERE IS MY REPLY -

Bro, remember the first rule of politics, 100% ironclad - EVERYTHING they say means NOTHING. What they DO SAYS EVERYTHING. And the first rule of Western media - EVERYTHING THEY SAY IS A LIE, THE EXACT OPPOSITE OF THE TRUTH. So, what are they saying? "Russia is running out of troops and weapons". What does that mean? Apply the rule, it means the exact opposite of what they say - Ukraine and NATO are running out of troops and weapons. And money, and fuel, and food, and time.

Ukraine is losing, BIG TIME. US/EU/NATO are LOSING, BIG TIME. Russia has food, fuel, financial and military security and SUPERIORITY. The EU is already rolling back sanctions and BEGGING Russia to start sending gas and oil again. It will start to escalate and accelerate exponentially, daily, from here on out. But not in the way the nazis want it. They are already defeated, and every day it comes closer to the day when it will be impossible to pretend otherwise. MI6 is full of shit. Period. 🤠
Huyu jamaa uliyemnukuu hapo juu kajibu kihuni halafu kibabe sana. Nimeipenda sana hiyo "the first rule of western media"
The bear is taking over again.
 
WION: Gravitas: Putin scores a big win against America.

Ogopa sana kushindana na mtu mwenye akili afu Smart utaishia kutia AIBU ndo yanayomkuta US na ndugu zake West. Kila mbinu wanayotumia ili kumuangusha Russia mwezie tayari alishawasoma anapangua anapiga next move anawasikilizia.

Usishangae kuona mataifa hayo ambayo tunaambiwa yana intelligence ya hali juu yanazidiwa na intelligence ya taifa moja. Kinachotokea nchi zao zinazid kuwa na hali mbay kiuchumi bado kisiasa[emoji1316][emoji1316].

Ukisikiliza kwa makini speech za Putin utajua hawa jamaa walijipanga hawabahatishi wanajua nini wanafanya. Next move zao ni kama kete kwenye draft na kila kete wanayocheza ni ya moto.

Hivi wale watu ambao walikua wanasema Russia vikwazo alivyopewa hatoboi mwezi sahivi wako wapi? wananini cha kusema kipya?? waliosema Putin atapinduliwa?? aibu ni kwamba kila siku warussi wanazidi kumuunga mkono kamanda wao. Lakini upande wa pili tunaona serikali zao zinavozodi kuanguka.

Russia anaishi kama hana vikwazo na uchumi unazid kupaa nadhani mataifa mengi yamepata somo kumbe unaweza ishi bila vikwazo na uchumi wako ukatulia, Russia ushawishi wake na mataifa mengine unazidi kuongezeka na wengi wanajiuliza inawezekanaje upewe vikwazo na uendelee kudunda?? lahashaa!! Tumejua Russia ni Superpower ni tegemeo la dunia nzima.

Embu assume vikwazo alivyopewa Russia angepewa US hali ingekuaje kwa hili taifa?? Muda sana uchumi wao ungekua ulishakufa sahivi dollar ingekua sawa na Tshs

Ndomana sikuzote huwa nasema ogopa sana kushindana na mtu aliyekuzidi akili utaishia kuaibika tu maana wewe utakwenda kwa Pupa na hata ukienda kwa akili mwenzako bado atatumia akili zaidi maana kakuzidi.

NB: ulishawai jiuliza ikitokea Russia Kaondolewa vikwazo vyote uchumi wake utakuwaje??
 
UNCONFIRMED REPORTS : ZELENSKY ALLEGEDLY IN INTENSIVE CARE​

The global intelligence community is awash with UNCONFIRED claims that Ukraine President Volodymyr Zelensky is in a hospital Intensive Care Unit. No word where, no on what the problem may be.
AGAIN,THIS IN NOT CONFIRMED.

More news if I get it.

Tusianze kuwa kama US, NATO na washirika wao. Propaganda za namna hii haitupi ushindi wa namna yoyote ile. Zelensky tutamla kichwa wakati muafaka ukifika.

Kwa sasa tunamuonyesha yeye na washirika kwanza tofauti kati ya marijali na ma bwabwa. Baada ya hapo ndo tutakisaga kichwa chake.
 
Surprise! NordStream One RESUMES Natural Gas Flow to 30% capacity

To the shock and happy surprise of many in Germany and Europe, Russia's NordStream One pipeline is RESUMING natural gas flows.
From 0700-0800, Russia's state owned gas company, GAZPROM, began flowing natural gas gradually, going from zero to 1.6 Million Cubic Meters in one hour, which is about 30% capacity.
There was widespread belief the pipeline would remain shut down for political reasons,but that turned out to be not the case.
More news here👇

More news as we get it.
Katika watu hawaeleweki basi Putin ndiyo kiongozi wao, wakati dunia inaamini kabisa kuwa atafanya hivi lakini jamaa anakuja kufanya tofauti kabisa na matarajio ya wengi
 
The ability to remain unpredictable is part and parcel of power.

Kiongozi makini hatakiwi kutabirika kindezi ndezi. Kumbuka waliwahi kusema angetangaza vita rasmi tarehe 09.05.2022 katika hotuba yake iliyosubiriwa na bado akawapiga chenga.

Kwa upande mwingine huu unaweza ukawa ni mchezo wa kumshinikiza Putin kutenda kinyume na mipango yake.
 
Tusianze kuwa kama US, NATO na washirika wao. Propaganda za namna hii haitupi ushindi wa namna yoyote ile. Zelensky tutamla kichwa wakati muafaka ukifika.

Kwa sasa tunamuonyesha yeye na washirika kwanza tofauti kati ya marijali na ma bwabwa. Baada ya hapo ndo tutakisaga kichwa chake.
Mkuu ndio maana nimesemaa ni unconfirmed reports.Watu wasiziamini kwanza mpaka ziwe confirmed.Kama sio kweli tutajua.

Hata hivyo this could be part of Putin's war strategy.
 
Back
Top Bottom