[emoji23][emoji23][emoji23]kwa akili ile sina uhakika kama anaweza akatoboa, ila kupitia yeye amewafanya wenzie wenye mawazo ya kijima kama yake wapige hatua kadhaa za kifikra mbele.Swali dogo tu la kichochezi: Hivi umemwandikia haya yote una hakika anaweza kusoma hata sentensi mbili tatu? Nahisi unamfanyia something like (?)abuse, bila shaka.
Wakubwa (hasa selfish bourgeoisies & industrial-military complex) wanatamani aendelee kutawala hata miaka 1000 because maamuzi yote wanafanya wao. JB ni mtu wa sahihi tu.Mzee wa watu wamemuandalia safari bila shaka
⚡️Biden tests positive for coronavirus, has mild symptoms and working remotely - White House
Well said Mkuu. JF ni sehemu ambapo unaweza ukajifunza vitu vingi na mbali mbali kutoka kwa watu tofauti. Hivo ni jambo jema kama kidogo/kikubwa tunachokipata hapa kukitumia katika jamii zinazo tuzunguka.Mkuu nakuongeza kwenye list ya watu makini, ufafanuzi kama huu msiache kuwapa wadogo zenu kwenye jamii zinazo wazunguka. Msiwafundishe nani yupo sawa kwenye jambo flani. Wapeni uwezo wa kupambanua, wafunzeni uwezo wa kuelewa. I do believe that, the ability to understand someone possesing is most essential katika safari yake ya mafanikio.
Don't tell me those guys already know what the future holds. I think one of the best lessons which US has thought us is that no nation should ever arrogate itself however powerful & indomitable it may seem to be currently.because it knows this is the last time in history Ukraine posing threat to Russia
Niko vizuri, habari zimekuwa nyingi mara uchaguzi mkuu Kenya na Nigeria, mara economic crisis nchi kibao mara joto linaua watuSisi tuko poa sijui (T-14 Armata) anaendeleaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa kupiga punyeto...Niko vizuri, habari zimekuwa nyingi mara uchaguzi mkuu Kenya na Nigeria, mara economic crisis nchi kibaoz mara joto linaua watu
Sio kwamba majasusi ya Kremlin yameshafanya yao. Yanakupiga kwa mbaliView attachment 2298949
Teyari huko
Yani hii gesi ndio wangekuwa nayo wao then Russia aivamie Ukraine wangekata kabisa yani isingeenda gesi ata 2% na wangefanya ivyo ili uchumi wake u collapse wananchi waingie barabarani ili waitoe serikali madarakani lakini putin is humble and polite ...viva putin..Surprise! NordStream One RESUMES Natural Gas Flow to 30% capacity
To the shock and happy surprise of many in Germany and Europe, Russia's NordStream One pipeline is RESUMING natural gas flows.
From 0700-0800, Russia's state owned gas company, GAZPROM, began flowing natural gas gradually, going from zero to 1.6 Million Cubic Meters in one hour, which is about 30% capacity.
There was widespread belief the pipeline would remain shut down for political reasons,but that turned out to be not the case.
More news here[emoji116]
ZeroHedge
ZeroHedge - On a long enough timeline, the survival rate for everyone drops to zerowww.zerohedge.com
More news as we get it.
Mnaomchulia Putin pokeeni hiyo taarifa Toka kwa mnaemuamini kuliko hata roho zenu.
💢Putin is 'too healthy' – CIA chief
👉 President Vladimir Putin is “entirely too healthy,” CIA Director William Burns said on Wednesday, dispelling speculation about the Russian leader's well-being.
“There are a lot of rumors about President Putin’s health, and as far as we can tell, he is entirely too healthy. It’s not a formal intelligence judgment,” he said, speaking at the Aspen Security Forum.
The CIA chief’s comments were later echoed by Kremlin spokesman Dmitry Peskov, who claimed on Thursday that the Russian leader is in good health. “Ukrainian, US, and British would-be media professionals have been spreading bogus stories about the president’s health condition in recent months. This is all hoax,” he said.
@NewResistance
Niko vizuri, habari zimekuwa nyingi mara uchaguzi mkuu Kenya na Nigeria, mara economic crisis nchi kibaoz mara joto linaua watu
Mantiki ya kumwekea Putin vikwazo hivyo lukuki ilikuwa kuwabinya raia wake kiuchumi ili nao wageuke kumng'ata na kumchomoa Putin.Yani hii gesi ndio wangekuwa nayo wao then Russia aivamie Ukraine wangekata kabisa yani isingeenda gesi ata 2% na wangefanya ivyo ili uchumi wake u collapse wananchi waingie barabarani ili waitoe serikali madarakani lakini putin is humble and polite ...viva putin..
Yani germany wakiambiwa ata leo nchi yao iwe mkoa wa Russia [emoji1787][emoji1787] bila shaka watakubali walikuwa na hali mbaya sana yani leo wamefurahia gesi kuanza kuja kwao wakifikiria viwanda vyao vikubwa vingefungwa Pro nato inabidi watambue na wajue kabisa Russia akisema azuie gesi yake isiende Uerope japo kwa miezi 3 tu Civil war inatokeaMantiki ya kumwekea Putin vikwazo hivyo lukuki ulikuwa kuwabinya raia wake kiuchumi ili nao wageuke kumng'ata na kumchomoa Putin.
But funny enough, uchumi wao ndio unazidi kudorora, viongozi wao wanang'olewa mmoja baada ya mmoja.
It is called Political Boomerang. ^I thought initially they had shot themselves on the feet, but they've actually shot themselves in the lungs.^~ Hungarian President Orban
Usikute Olaf Scholz aliruka hadi Moscow usiku kumpigia magoti Putin, akimwomba msamaha mara mbilimbili. Almost kibarua kiote magugu. Gesi imemnusuru.Yani germany wakiambiwa ata leo nchi yao iwe mkoa wa Russia [emoji1787][emoji1787] bila shaka watakubali walikuwa na hali mbaya sana yani leo wamefurahia gesi kuanza kuja kwao wakifikiria viwanda vyao vikubwa vingefungwa Pro nato inabidi watambue na wajue kabisa Russia akisema azuie gesi yake isiende Uerope japo kwa miezi 3 tu Civil war inatokea
Mambo yanaanza kugeuka.
[emoji1126][emoji635]The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.
HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
Wataelewa tuSema hawa Pro-Someone wamezidisha sifa sana. From next week hawatokaa waamini macho yao.