Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Konki........konki......nkonki
 
Mambo yanaanza kugeuka.
[emoji1126][emoji635]The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.

HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
Kwenye kulia kila mtu anashika kichwa chake [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Wasivyokuwa na shukrani hawa wenzangu na mimi, soon watakuja hapa wamekaza shingo na kusema Russia hana ubavu wa kuzuia commodities zake zisiuzwe nje kwa vile eti kaanza kufilisika kiuchumi. Au hata kwamba amepigwa mkwara na ^wakubwa.^

But, if you analyze the move, Russia ni a very patient nation, focused, and above all, inaishi kwa kufuata dira na malengo ya mbali yenye tija kwa taifa.

Initially, Putin alisema West ina lengo la kumtenga na ulimwengu, lakini haitatokea. It's true.

Russia amefanikiwa mostly kuruka viunzi na kupangua virungu na kutuliza vurugu & vurumai za Marekani na NATO.
Malizia kwa kusema,watanunua kwa ruble
 
someone tag a pro Nato. Россия sio Зимбамве
nuclear.JPG
 
Yani hii gesi ndio wangekuwa nayo wao then Russia aivamie Ukraine wangekata kabisa yani isingeenda gesi ata 2% na wangefanya ivyo ili uchumi wake u collapse wananchi waingie barabarani ili waitoe serikali madarakani lakini putin is humble and polite ...viva putin..

Sio kukata tu wangetoa hadi mabomba wasingeacha kitu an
 
Yani hii gesi ndio wangekuwa nayo wao then Russia aivamie Ukraine wangekata kabisa yani isingeenda gesi ata 2% na wangefanya ivyo ili uchumi wake u collapse wananchi waingie barabarani ili waitoe serikali madarakani lakini putin is humble and polite ...viva putin..
Da umeongea maneno ya ukweli kabisa .
West hasa USA Wana roho mbaya sana.

Ona wamemuwekea vikwazo vyote.
Lkn USA wana sema wataendelea kushirikiana Urusi katika sekta ya anga.
Hii ni kwa sababu TU Urusi kawazidi mbali Sana katika sekta ya anga.
Wangekua wao wamemzidi Urusi.
Ingefukuzwa Hadi huko ISS.
 
Don't tell me those guys already know what the future holds. I think one of the best lessons which US has thought us is that no nation should ever arrogate itself however powerful & indomitable it may seem to be currently.
Daaa...boss kwa kingeresaa hiyoo..baas nimeamn pro nato wengi wa humu ni virasaaaaaa...kabisaa baghoshaaa
 
Da umeongea maneno ya ukweli kabisa .
West hasa USA Wana roho mbaya sana.

Ona wamemuwekea vikwazo vyote.
Lkn USA wana sema wataendelea kushirikiana Urusi katika sekta ya anga.
Hii ni kwa sababu TU Urusi kawazidi mbali Sana katika sekta ya anga.
Wangekua wao wamemzidi Urusi.
Ingefukuzwa Hadi huko ISS.
Imagine Zimbabwe inavyopigwa kibano.
 
[emoji845][emoji635]🇨[emoji1109][emoji1109]🇹[emoji1254] - Russian foreign minister Serguei Lavrov to visit African countries of Congo-Brazzaville, Egypt, Ethiopia and Uganda starting from July 24 ending in July 28[emoji845]

Tanzania tunakwama wapi??
Subiri . Kuwa mtulivu. Russia hawapo hivyo wanajua kitakachoyokea. Unajua wanafunzi waliokuwa Summy walifikaje bongo?
 
[emoji845][emoji635]🇨[emoji1109][emoji1109]🇹[emoji1254] - Russian foreign minister Serguei Lavrov to visit African countries of Congo-Brazzaville, Egypt, Ethiopia and Uganda starting from July 24 ending in July 28[emoji845]

Tanzania tunakwama wapi??
Hatujakwama mkuu. Rusia anatafuta marafiki wapya. Sisi tulio kusini mwa jangwa la sahara ni ndugu na Rusia tangu enzi na enzi ndiye aliyetusaidia ukombozoi dhidi ya madhalimu West.

Hivyo anapanua tu wigo wa ushawishi amwondoe Mmarekani kabisa.
 
MWENENDO WA BATTLE
🗓 Top News Today

🇷🇺 Minister of Defence of the Russian Federation, General of the Army Sergei Shoigu presented Gold Star medals to heroes of the special military operation.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces on July 16 at a provisional base deployed by nationalists in Imperiya recreation centre located in Konstantinovka (Odessa region) has resulted in the elimination of over 600 militants, including up to 120 foreign mercenaries. In addition, according to precised data, the attack launched on July 17 at a provisional base of a unit of the Armed Forces of Ukraine (AFU) deployed at a vegetable warehouse in Nikolayev has resulted in the elimination of over 320 nationalists.

◽️ In view of considerable losses in the eastern part of Ukraine, residents of the western regions mobilised to the AFU refuse to go to Donbass. All the servicemen of 100th Territorial Defence Brigade located in Lutsk (Volyna region) have refused to be involved in operations. AFU command disarmed the brigade, the initiators were arrested, the formation would be reformed.

⚠️ Russian Federation's Joint Coordination Headquarters for Humanitarian Response continues to record numerous facts of criminal actions by Kiev regime against civilians, as well as the use of medical infrastructure for military purposes by Ukrainian armed formations.

❗️According to reliable information in Slavyansk, Donetsk People's Republic, Kiev regime has prepared another sophisticated provocation to discredit the Russian Armed Forces.

📹 Defence Ministry continues to publish footage of the Russian Armed Forces' combat operations in the area of the special military operation: combat operation of 2S4 Tyulpan self-propelled mortar crews of the Western Military District and combat operation of Uragan multiple rocket launcher crews of the Central Military District.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Back
Top Bottom