Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu muhuni anawavuruga vibaya Ukraine na misaada yao wanamtabiria Russia kuishiwa alafu muhuni anawapiga huku anaendelea kujenga kama vile hakijatokea kitu,
Kwa hali hii Ukraine hiyo miji aliyopoteza ahesabu alishaikosa jumla hairudi na akiendelea Ukraine nzima itachukuliwa
Wale waliogawana dili la kuijenga upya itskuaje sasa[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ulaya na Malekan ndo dunia, bila uko technologia yetu itasimama na ata kasimu kako katazima[emoji23][emoji23]
Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
 
Jamaa ana hotuba Kali Sana

Nyakati kama hizi, Afrika tungekua na viongozi wana harakati wenye mapenzi ya dhati kwa bara lao huu ndio ulikuwa mwanzo wa maendeleo ambayo yamekua yakikoma kila alfajiri baada ya kuamka.

Bahati mbaya tumejaza wana harakati watafuta ugali, hawana mapenzi na bara lao hata kidogo.

Huyo ni Putin kasema na anasema kweli of course, baadhi ya ProWest watasema yao lakini ndio ukweli huo. Huyu hapa mzee mwingine mbunge wa Ireland lau nae angekua na Power natumai angefanya jambo.

Afrika tunaonewa sana, lakini watu wake wana mindset ya kitumwa so hawaoni tofauti wala hawaijui ladha ya kua huru naamini wangeijua wangefanya jitihada kuutafuta uhuru wenyewe.

Nchi nyingi za Afrika zina uhuru wa kwenye makaratasi but in reality bado ni makoloni ya wenye nao.

Mfano
ExPl.jpg

Kinachoingia Afrika Media zote zinatangaza na mapicha picha juu ila vinavyotoka Afrika hakuna anayenyanyua kinywa kuvisema. Na akiwepo anaonekana chizi anawatakia mabaya wenzie.

Yah hiyo ndio kazi ya Media
images.jpg

Hizo 30 kwa 192, kwa hesabu iliyo nyepesi ni kua tunavunwa mara 6 ya kile kinachoingia Afrika kila mwaka. Yet wale wazee kushangilia Vyoo na Kondom za msaada hawaoni hilo kama ni Tatizo.
 
Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Well said Mjomba, kama hajaelewa hapo aendelee kubaki hapo hapo nyumbani anywe uji wa ulezi akili ikomae kidogo.

Kwa alivyo sasa nina mashaka kama barabara huwa anavuka mwenyewe. Nahisi huwa anavushwa ase sio kwa uweupe huo alio nao khaa!
 
The Russian Federation will not supply oil with the introduction of a "cap price" below production costs. "Naturally, Russia will not ensure the supply of this oil to world markets, which means that we simply will not work at a loss,"

Russian Deputy PM Alexander Novak.
Personally I suggest Russia/Putin must stick to his guns

Shukrani sana kwa maelezo/ufafanuzi uliokwenda shule, once again - BRAVO.
 
Well said Mjomba, kama hajaelewa hapo aendelee kubaki hapo hapo nyumbani anywe uji wa ulezi akili ikomae kidogo.

Kwa alivyo sasa nina mashaka kama barabara huwa anavuka mwenyewe. Nahisi huwa anavushwa ase sio kwa uweupe huo alio nao khaa!
Kwenye "Rejea Vipofu wanavyoishi" ... Kitu kikubwa sana aseeee ....
 
Hakika, kuna watu wame jaaliwa uwezo wa kupangilia maneno, Tuseme maelezo kwa ujumla tena kwa mifano hai. Kutoelewa inabaki kua ni personal arrogant decision. Yani unaamua tu kutoelewa kwasababu humkubali mzungumzaji aliye mbele akikuelezea.
 
Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Ni mwendo wa nyundo bila kujali saizi ya msumari. Asante Mkuu, ingawa ukali wa maneno pale mwanzo haukuhitajika.
 
Ulaya na Malekan ndo dunia, bila uko technologia yetu itasimama na ata kasimu kako katazima[emoji23][emoji23]
Kwa sababu umekuwa brain washed ndio unaamini hivyo ingekuwa ndio kila kitu kusingekuwa na vilio vya njaa, kupanda Bei ya nishati na kama hukui kuhusu teknolojia mrusi ndio wa kwanza kwenda angani labda unaowasema ni kila kitu Kwa ushoga na ufirauni mwingine
 
Clown NATO General Secretary Jens Stoltenberg says that citizens of the west need to "stop complaining" about increased prices for food and fuel because these are necessary to support Ukraine.​

Stoletenberg expressed his views in Brussels on Tuesday, telling assembled media he sees support for Ukraine as a moral issue; as if politicians have morals.
Give ear to this two minutes of political rationalizing to justify the unjustifyable. Almost everything he says is a worldview which is NOT based in reality:

Stoltenberg Citizens of NATO countries should stop complaining about the costs of supporting Ukraine

Hal Turner Editorial Opinion
Clearly, to me, he is trying to 'guilt' hundreds of millions of scared/threatened/angry EU citizenry.
Did you know he left a position with Klaus Schwabb/WEF to assume the helm as NATO spokesperson?
I don't have enough spit for this creature.

I do not have enough spit for this other clown also who says says Climate Change caused fighting in Syria!!!John Kirby proved the Pentagon has become a clown show, by telling reporters during a Press Briefing that it was Climate Change that caused the military hostilities in Syria.
How does a person with idiotic views like this, even get near the Pentagon for employment? One would think that being reality based would be an important criteria for the Pentagon to hire someone.
Clearly, John Kirby, based on his remarks above, lacks being based in reality.
The entire federal government seems to be Clown World.
Frankly with this trend we should expect more clown statements and actions like these 👇in the times ahead.

Back
Top Bottom