Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Vumilia mkuu anza kutafuta passport za RusiaSasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumilia mkuu anza kutafuta passport za RusiaSasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?
Wakituchezea hata ichi kiingilishi tunapiga chini tz tunaanza kutumia kirusi mashuleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nimeshaanza kujifunza maana huko mbeleni Urusi itakuwa diliWakituchezea hata ichi kiingilishi tunapiga chini tz tunaanza kutumia kirusi mashuleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii dola ikiondoka kwenye soko itasaidia sana pesa zetu waafrica kutokuporomoka thamani maana USA [emoji631] inatupangia inavyotaka yenyewe
The geographical objectives have now changed....it is not only in Luhansk and Donetsk..we will go further, Kiev, Kharkiv and Odessa inclusive of course..Sasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?
Kwamba Tanzania IPO kwenye mchakato au?Jisemee mwenyewe. Wengine tuko kwenye mchakato, as well as Belarus, kuungana na supapawa ya Russia under unbeatable Putin.
Wakijichanganya watu wengi kwenye hiyo idadi huwenda wakawa black maana ngozi hii Imebarikiwa uvumilivuMillion 20 wapi mkuu,Dunia mzima?Maana overall in their plans wanataka kubakisha only 500 million humans Duniani by 2030.Herd culling ni extremely intense mkuu na inaendelea as we speak.
Ulaya na Malekan ndo dunia, bila uko technologia yetu itasimama na ata kasimu kako katazima[emoji23][emoji23]Nuke wapigane ulaya Mimi Huku nitaathirika na nini, Wacha wazitwange wawe wakimbizi
Russia Losses [emoji848]
Recent updates as of 20.07 [emoji116]View attachment 2298237
Nadhani sasa Zelensky Ataanza kuielewa misemo ya wahenga kama:[emoji845][emoji1196][emoji777][emoji1255]The Mercosur Trade Organization of South America WILL NOT conduct a dialogue with the President of Ukraine Vladimir Zelensky AND WILL NOT ALLOW HIM TO SPEAK at the summit, which is taking place these days in Paraguay, Deputy Foreign Minister of Paraguay Raul Cano said[emoji845]
Nalog off Z
Kwani huoni mabadiliko mujarabu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama?
Nadhani sasa Zelensky Ataanza kuielewa misemo ya wahenga kama:
"SHIDA ZAKO USIZIFANYE KUWA SHIDA ZA MWENZIO"
"NA UNAPO PAMBANA NA HALI YAKO JITAHIDI SANA USITIKISE HALI ZA WENZIO"
Safi sana South Americans, You deserve to be called allies of a man who saved the world[emoji289]
VVP[emoji635][emoji635]
The report also focuses on the fact that Zelensky’s office has set the task to hold the Slavyansk-Kramatorsk-Toretsk front line at any cost until the end of August this year.From the statements of Zelensky’s office: “Currently, Ukrainian servicemen are being urgently trained in the west of the country and on the territory of Great Britain and Germany. By the end of summer – beginning of autumn, it is planned to create an additional grouping of 30 thousand people, and these are 4 new brigades.”
Hii video Ukraine wakicheki inawaumiza sana kwa kweli.yani Maliupol ishaanza kujengwa upya wakati wao bado wana imani itarudi tu kwao
Vladimir Simba Putin = Vladimir Asad PutinThe United States must stop robbing the Syrian people and exporting their oil
vladimir simba putin