Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainian first lady Olena Zelenska appealed to U.S. lawmakers on Tuesday to provide more help to her country as it struggles against a five-month-long Russian invasion, saying weapons could help assure a "joint great victory."

"We remain completely broken when our world is destroyed by war. Tens of thousands of such worlds have been destroyed in Ukraine," she said through a translator, in an emotional 15-minute speech to members of the U.S. House of Representatives and Senate.

Zelenska, the wife of Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy, showed videos of children she said had been wounded or killed, including a three-year-old boy now in Germany learning how to use prosthetic limbs.

"How many children like him are there in Ukraine? How many families like this may still be destroyed by war? These are Russia's 'Hunger Games,'" she said in reference to a series of novels and movies in which people hunt one another.

"I am asking for weapons, weapons that would not be used to wage a war on somebody else's land, but to protect one's home and the right to wake up alive in that home," Zelenska said.

"The answer is right here in Washington, D.C. ... Help us to stop this terror against Ukrainians and this will be our joint great victory in the name of life, freedom, and the pursuit of happiness," she said.

The United States has provided $8 billion in security assistance to Ukraine since the war began, including $2.2 billion in the last month, the Biden administration says. Members of Congress responded warmly and said they were ready to authorize more. (REUTERS)

FB_IMG_1658337031371.jpg
 
Ukraine hii vita naona wameshindwa ila sasa ivi wanarusha makombola ili kuwakomoa WARUSI.JIONI hii wameshambulia mtambo wa kufua umeme wa nuclear(Zaporizhia nuclear power plant).

Sasa kama wangefanikiwa kuaribu kinu ina maana uwo mji usingekaliwa tena na binadamu.ina maana wao hawana mpango tena wa kuchukua maeneo yaliyochukuliwa na WARUSI.
Sasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?
20220720_203804.jpeg
20220720_203758.jpeg
 
Ukraine hii vita naona wameshindwa ila sasa ivi wanarusha makombola ili kuwakomoa WARUSI.JIONI hii wameshambulia mtambo wa kufua umeme wa nuclear(Zaporizhia nuclear power plant).

Sasa kama wangefanikiwa kuaribu kinu ina maana uwo mji usingekaliwa tena na binadamu.ina maana wao hawana mpango tena wa kuchukua maeneo yaliyochukuliwa na WARUSI.View attachment 2297983View attachment 2297984
Kazi kwelikweli. Kwa hiyo ni mwendo wa kukomoana. Anyways, ndiyo falsafa ya vita hiyo. NGOJA TUNGOJE!
 
Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.

Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.

As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.

Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Mkuu hapo kuna point umetoa ni kama US na washirika wake wanataka ile vita iendelee muda mrafe sana kumdhoofisha Russia, vita ni gharama, vita inachosha.
 
Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.

Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.

As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.

Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Hii vita ya polepole inatija kwa mrusi kwa sababu ndiyo inasababisha uchumi wa west ...nato na usa [emoji631] kuyumba na russia kuzidi kukubalika duniani ....kama urusi ingechukua ukraine kwa siku moja basi udhaifu wa jumuia ya NATO usinge julikana ...mrusi ni mjanja anataka mzozo ubakie muda mrefu hadi raia wa nato wachukie NATO nakutamani kujitoa .....kuna faida ngingi sana kama vita vitadumu muda mrefu huku urusi ikiendelea kupata ushindi ...Kinacho takiwa kwa urusi ni kuteka miji mingine kama mitatu na kuzidi kusonga mbale
 
Faida kubwa itakuja wakati wa baridi .
 
Zelenscky yupo bize na safisha ya ndan.

Anaondoa wale wote ambao wanaenda kinyume na taratibu zake ili ajiweke salama ktk kiti cha enz.

Lkn hao wanaosafishwa nao wanamvutia kasi akiteleza tu watu wanasinya[emoji41][emoji41][emoji41]
Hata Idi amini mambo yalipo mfika shingoni alifanya hivyo hivyo ..hiyo ni dalili ya kufika ukingoni kwa Zelensky
 
Back
Top Bottom