Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
(-) mporomoko kwa asilimia from previousMaanake nini hapo mkuu. Kwamba rubo ndo yupo juu au ni nini hiko in terms ya economy?
(-) mporomoko kwa asilimia from previousMaanake nini hapo mkuu. Kwamba rubo ndo yupo juu au ni nini hiko in terms ya economy?
Maneno yako ni sahihi. Ila haimaanishi vifaa vikiharibiwa watu waje na denialMkuu T14 Armata hasara ya vifaa jeshi ni kawaida sana kwenye vita. Hii ni kitu kilichotarajiwa. Kwetu sisi hasara ni vifo vya wanajeshi na majeruhi. Hayo mavifaru, magari vita, artilery yanetengenezwa kila siku yaani ni kama kufyatua todali. Wataalamu wapo wakutosha. Wanachoharibu ni vyuma tu. Taaluma ipo pale pale. Ndio maana israel huwa inadeal kuua wataalam wanaacha kushambulia plant.
Hebu tuletee angalau picha za wale mageneral 50 mliowaua pamoja na Himars mlizoharibu.Utuandikie na source ya hiko chanzo chako Cha habari.
Maana ninyi ni Wazee wa kutengeneza uongo na data za kupikwa.
Punyeto Ina tabia ya kulemaza ubongoNimekuonya kwa mara ya mwisho, humu ni marufuku kuja na maneno ya kike kike sijui 'shegee'. Unashindwa nini kubishana kama wenzio unatumia maneno ya kishogashoga hapa, huoni umekosea jukwaa. Kwanza kwa maneno hayo uliyotumia huwezi kuwa na lolote la kuchangia humu, haiwezekani mtu atumie neno shegee au badooo sijui kalitoa kwa kinamama wa wapi alafu aeleze lolote kuhusu radar, missiles au military tactics
Huyo mpiga punyeto, athari moja wapo ya punyeto ni kukasilika bila sababu
Ili iweje??!!!Hebu tuletee angalau picha za wale mageneral 50 mliowaua pamoja na Himars mlizoharibu.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Na kupoteza kumbukumbuPunyeto Ina tabia ya kulemaza ubongo
Punyeto Ina tabia ya kulemaza ubongo
Hahahaha, nimeikuta sehemu.
View attachment 2297761
Mambo juu ya mambo
[emoji845] [emoji1255] [emoji2526] It looks Kiev authorities are preparing Slavyansk for surrender
Local sources report that trolleybuses and other valuable equipment are being taken out of Slavyansk towards Dnepropetrovsk
View attachment 2297847