Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

West wamekubali kula matapishi Yao. Russia sio Libya

⭕️گلوبال تایمز: اتحادیه اروپا از تحریم روسیه عقب‌نشینی کرده است

🔰یک روزنامه چینی بر اساس تحلیل‌های کارشناسان گزارش کرد که اتحادیه اروپا فهمیده که تحریم‌ها علیه روسیه دیگر کارساز نیست برای همین قصد ندارد دیگر مسکو را تحریم کند.

⭕️Global Times: The European Union has withdrawn from the sanctions against Russia

🔰Chinese newspaper reported based on the analysis of experts that the European Union has realized that the sanctions against Russia are no longer working, so it does not intend to sanction Moscow anymore.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Hakuna mwanaume mwenye kariba kama yako! Wanaume huwa wakiona hawawezi league wanatulia kimya..ww warusi weusi hapa jf wamekutwanga na facts chungu nzima kuhusu hii vita ila bado umekaza shingo iliyojaa vipingili kama ya umi mwarimuu...utajiita mwanaume kwel..umekalia kuja na vijistatistics vyako uchwaraaa..hakuna mwanaume wa aina hiyo..ww n shosti tuu..ndembe ndembeee..
Chaaaaaali,kifo Cha mende,mlalooooooooooooooo-In Juma duni's voice.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220720-051201.jpg
 
Akishtua kama hivi huwa anashuka vitu vya nchi jirani ile deep kinoma. So tulia upewe somo na mzee wa nye**o [emoji23]
View attachment 2297166
[emoji3][emoji3][emoji3] daah, eti anajisifu kabisa kwa wiki anapiga mara kadhaa, tena ratiba ni fixed... WTF! Huyu akikaguliwa marinda tutayakuta kweli?
 
Nawakubali sana NATO na Pro NATO wa humu. Yaani hawakosi cha Ku Promote. Wakiamua kui Promote hata Manati kuwa inafanya maangamizi hakika dunia nzima itaamini. Sasahivi wanavyoipigia chapuo HIRMAS unaweza kusema kweli inaupiga mwingi.
Halafu Mmarekani mjanja sana, silaha za NATO wenzake husikii zikipewa Promo kwenye Media, ila zake sasa utasikia hadi kina T14 Armata wanavyoweweseka na kushusha data kana kwamba wao ndio operators wa HIRMAS yaana anajuwa kuliko haka makamanda wenyewe huko Ukraine. Yaani M'bongo mpe tu heading halafu utapenda mwenyewe
 
Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Ni mtu mwenye roho ngumu tu ndiyo anaweza kuongea haya.
Marekani alitumia hadi mabomu ya sumu na ya kibiologia kule Vietnam ila walishindwa ..tena wavietnam walikuwa wanatumia ak47 tu ....pia hizo silaha za marekani unazo sema azijatumia na zina nguvu ..kitu usicho jua ni kwamba zinategemea sana msaada wa satelite hivyo urussi ikitaka kuzi geuza skrepa basi ni kulipua satelite za usa [emoji631]....pia siyo kweli kuwa urusi katumia aina zote za silaha kuna aina chugunzima ya silaha za maangamizi mrusi azitumii kwa sababu ajatangaza vita kamili ...siku akitangaza vita basi mambo ya kulinda raia na haki za binadamu yana weka pembeni hapo ndiyo utajua kuwa urusi ni hatari kiasi gani hata maji ya kunywa yatageuka bomu hata mito na maji yake vitageuka silaha
 
Back
Top Bottom