Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wameanza kusema ukweli

‼️🇩🇪🇺🇦The head of the German Defense Ministry, Kristine Lambrecht, admitted that the Bundeswehr's resources to help Ukraine are running out

"We can no longer give away much [from the reserves] of the Bundeswehr, I will say this very clearly''-Die Welt‼️
Ujerumani huwa ina silaha kidogo na zenye ubora, bajeti yake imeongezwa mwaka huu, mara zote huwa wana bajeti ndogo. Nchi inayonunua silaha kwa fujo sasa hivi ni Poland ukilinganisha na uchumi wake.

Misaada iliyopelekwa Ukraine inaelekea $3 billion hivyo sio mingi hata. Silaha zimetolewa kwenye reserve ndio ikapewa Ukraine, sasa Ujerumani wana reserve ndogo
 
Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.

Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Niliwahi sema muda sana humu. Waziri wa Fedha wa Urusi na Gavana wa benki yule Elvila Nabiullina wana uwezo mkubwa sana. Na bahati nzuri hizo sekta haziguswi kisiasa hata Putin hazichezei. Sio kama Roscosmos ambako Heads wake huwa wanabadilishwa mara analetwa former Prime Minister.

Na Putin asingemuondoa Waziri wa Ulinzi kabla ya Sergei Shoigu yule aliyeanzisha reforms basi mambo yangenyooka sana kuliko leo. Yule ndio alifanya Russia ianze hata kufanya outsourcing na hatimaye Rheinmetall ya Ujerumani wakatengeneza training facility mpya ndani ya Russia. UlarVagonzavod wakaanza modernization ya vifaru kwa kasi na ndege nyingi zikawa modernized. Alikuwa performance oriented akakwaruzana na walaji akaondolewa akapewa cheo gani sijui
 
Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.

Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Ndio mindset zilivyo bro, anatizamwa aliye juu tu. Kama hapa kwetu tukinunua kilo 2 za mchele tunamshukuru mama sa💯. Tukila biscuit ashukuliwe Raisi kwa hekima zake, tukipata michuchu tunamshukuru Mother kwa huruma zake... Hivyo yaniiiiiii. 😂

Mbona ujengewe sanamu mkuu (tena ya dhahabu tupu)!
Unaonaje ufanye la mbao, winter is coming baridi ikizingua nilikoke moto bro 😂😂😂.
 
Hilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂

Haya majina bila kuangalizia ngumu kutoboa 🥱

Yapo mengine heavy JF kungekuwa na uwezo wa kutuma Voice note tungepeana Challenge.
Mfano
1. Zaporizhzhia
2. Kryvyi Ri
3. Khmelyntskyi
4. Starokostiantyniv
5. Yuzhnoukrainsk
6. Bilhorod-Dnistrovskyi

He he he (Bila kuangalizia michapio haikwepeki)
Kuna jamaa yangu Ukraine alinishtua kusema Ukraine lugha yao ni ngumu kuliko Kirusi. Hata mimi majina ya Ukraine yananipa shida na zile i, y na v zao kila sehemu. Tofauti na Russia yenye maeneo kama Tura, Ossetia, Sochi, Komsomolsk, Yekaterinburg, Samara ambayo ni rahisi
 
Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa

Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi

Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Russia ana test silaha zake, ndo muda mzuri, maana hakuna sehemu zingine anaweza test in real battle, hivyo kila silaha aliyotengeneza lazima ifanyiwe majaribio kasoro mabomu ya nuklia. Na zile intercontinental ballistic missile.
 
Hii ni Kh-59M imekuwa intercepted Ukraine. Sijawahi ona air launched missile inakuwa intercepted
20220719_220550.jpg
 
H
UN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea

Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.

View attachment 2296052
Hapo kuna jambo la kutafakari kwa UN ,INA maana wameikubali donbas kuwa ni nchi huru?
 
Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa

Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi

Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Ni mtu mwenye roho ngumu tu ndiyo anaweza kuongea haya.
 
We jamaa akili isharuka sasa, Urusi amecontrol maeneo mengi ila bado unaleta hadithi za kitoto.
Huna akili
We jamaa sijui kama mfumo wako wa m@vi na wa fahamu kama vilitenganishwa. Mi nazungumzia ndege kuharibiwa, wewe unabisha kwa kusema maeneo mengi yamechukuliwa. Kwanini usiendelee na shughuli zako za kujisaidia hapo chooni?
 
Una ushahidi kutoka kwa WARUSI kuwa wamepoteza SU-34 zaidi ya 11 au unaongea kujifariji

Back
Top Bottom