Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ni sikio la kufa. Atalipwa kwa mauaji yake ya raia haswa wale wanyonge. Shame on them!
Hayo mauaji kamwambie zelensky anae ua raia wake kwa kuwafanya ngao za vita.

Urusi imetoa wanaume wa kazi kwenda kwenye operation nakuwaacha wazee, wanawake, watoto na wanaume wasio wajeshi nyumbani wakila upepo.

Zelensky aliamua kufunga mipaka na kuamua kuwapeleka Frontline wanaume na wavulana wote wa kiraia ambao hata hawajawahi kufika kambi yeyote ya kijeshi kupata mafunzo katika maisha yao.

Wakiuwawa Warusi mnasema Wanajeshi wa Urusi wameuliwa na jeshi la Ukraine, ila wakifa wayukraine mnasema Urusi kauwa Raia.

Ukitaka kujua kuwa Russia hana shida na raia ambae hajamshikia silaha, angalia jinsi wayukraine wanavyo kula maisha kwenye miji iliyokaliwa na Russia, hadi wanataka kuanza kulipwa mishahara na penshion. JE HIVO NDO MUUAJI HUTENDA?

Sema nini nyie endeleeni kulia tu, ila principal ya Urusi iko palepale, "Everyone with a gun in his/her arm is either a soldier or mercenary who deserve to be liquidated as soon as possible"

Kama Zelensky aliamua kutoa silaha kwa raia, basi hao siyo Raia tena bali ni Wanajeshi na wakiwa siyo wayukraine basi ni masenari. RAIA ni yule ambae hawezi kushika silaha kupambana na vikosi vya kijeshi, na hao Russia haina shida nao badala yake inawa Linda kwa gharama zote.

Sema kwavile binadamu tumeumbiwa Vichwa vigumu bado Poker utaendendelea kukaza Fuvu licha ya kukupa maelezo clear ila kama ukiamua kulainisha hilo Fuvu lako angalau hata kidogo basi utamjua Muuaji halisi wa hao Raia.
 
Mwenye tabia za kike ni hiyo mmiliki wa ID nne tena zimeongezeaka.

Hata mpirani kuna masharti 11 vs 11.
#Tumekujua
@moderators kuna mtu ana ID nyingi tunaomba mziunganishe.

Naombeni msaada jinsi ya kutagi Moderator


#@moderators.
nani huyo mkuu
 
IMG_20220718_071001_149.jpg
 
Niambie katika dunia hii ni nchi gani inayoweza kupigana na NATO +MAREKANI +WASHIRIKA WENGINE.URUSI anapigana na nchi zote izo maana kila siku silaha zinaingia UKRAINE.Bado nuclear pekee ndo UKRAINE hajapewa,ila silaha karibia zote kashapewa.



Silaha alizopewa UKRAINE ni zaidi ya silaha wanazomiliki jeshi zima la NATO.

Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa

Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi

Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
 
Wakati operation ulifuatilia?
Mrusi mpaka anaingia mlango waKiev ulifuatilia?
Kikao kilichofanyika uturuki cha usuluhishi baina ya Russia na Ukraine ulifuatilia?
Miongoni mwa makubaliano ilikuwa ili maongezi yafanyike Russia alitakiwa na Ukraine asiipige Kiev ndio waongee uliisikia?
Rejesha fahamu zako vzr ili uweze kujua kwanini operation hii ina kauzito kidogo,kumbuka Russia anataka awapige
na kuwatawala na apate muunganiko sahihi sio kuua halafu atawale lzm iwe
ngumu hata kwa baadae
na utambue mrusi ana makombora ya kutosha kwa kila nyumba ikapopolewa na kombora lake na kuua ila hilo kwake
akilifanya mtihani kwenye kutawala
anajitahidi kupunguza chuki kwa baadae
anawapiga,anawatibia na chakula wanapewa na sigara wanapewa wewe ktk maisha yako uliwahi kusikia vita vikipiganwa katika muundo huo?
kuna mazingira Russia anakubali kupoteza askari wake ili kuogopa kujibu jibu litakalokuwa Kali mpaka likaathiri saikolojia za watawaliwa watarajiwa kumbuka kwenye Operation hii Kwa urusi anatumia macho kupiga ijapokuwa kuna mazingira Raia wachache inawakumba lait kama angeamua kupigana kama vita nikuhakishie Ukraine ingekuwa eneo la makumbusho pasi na kutumia nukes Hakuna silaha Russia aliyokosa za ya kuzidi na ufahamu urusi teknolojia ya Silaha ktk dunia ya kisasa yuko mbele nikupe mfano kwasisi tz,silaha tutumiayo kimapigano tumehamia Ak ambayo
ni SMG toka Maca 4 japokuwa zote ni rifle na itafika muda tutatumia mabomu ikiwezekana hata kukamata kibaka
Endelea kukumbuka dunia imehama kiteknolojia kuhusu vita mfano matumizi ya vifaru,kuja javeline imebadili kabisa umuhimu wake na hata Leo kukapiganwa vita baina yetu mfano Kenya na Tz mmoja akawa na javevili tutahama teknolojia ya mapigano bajeti kubwa itahamia Ulinzi fahamu tu dunia inahama zama za vifaru na kuingia kupigwa mpigaji akinywa kahawa mezani na askari wachache wakisafisha kwa miguu,na vifaru vya kisasa kama Armata,nimalizie kukumbusha pia vita ni ushindi haijalishi muda iliyopiganwa
ndio maana na sisi tunajivunia kuwapiga waasi pale Comoro waliokimbia wenyewe.

Em leta makubaliano apa acha kuongea vitu visivyo na uhalisia
Alishindwa akaona wanakufa tu uko akaona qbadirishe msimamo
Eti wqlikubaliana, kama walikubaliana vita si ingekuwa ishaisha, yani watu wengine ata kutoa hoja hamjui, upeo wenu wa kufikiri ni mdogo ndo maana mnahisi Russia yuko mbele kitechnologia,
Kama Ukraine kamjambisha Urusi hivyo usitegemee apigane na Marekan ata siku moja
Ata vita mnaolinganisha ya Marekani na Iraq kucompare na Ukraine na Urusi ni Marekani yuko mamile kibao ya umbali, yani upande wa pili wa dunia kabisa
Af ka Ukraine kako apoapo next door
Russia atashinda ila ni mdhaifu mno, usitegemee atunishane misuri na Ugerumani ata
IMG_0587.jpg
 
Zelensky amewafuta kazi Mkuu wa ujasusi wa ukraine na mwendesha Mkuu wa mashitaka wa ukraine.



kwa tuhuma ya maelfu ya wafanyakazi kuisaliti ukraine kila kukicha na hili ndio tatizo la kuanza kuangushwa kwa uongozi wake tusubiri.



source Wion.

ila bbc watawaambia mamia ya wafanyakazi ndio wana msaliti. Baada ya hii wiki kuanza kupelekewa moto na kila vikao wakikaa bomu linatua zelensky ameanza kula watu wake baadae watamla na yeye kichwa.
 
Zelensky amewafuta kazi Mkuu wa ujasusi wa ukraine na mwendesha Mkuu wa mashitaka wa ukraine.



kwa tuhuma ya maelfu ya wafanyakazi kuisaliti ukraine kila kukicha na hili ndio tatizo la kuanza kuangushwa kwa uongozi wake tusubiri.



source Wion.

ila bbc watawaambia mamia ya wafanyakazi ndio wana msaliti. Baada ya hii wiki kuanza kupelekewa moto na kila vikao wakikaa bomu linatua zelensky ameanza kula watu wake baadae watamla na yeye kichwa.
NATO WILL ELIMINATE ZELE THEN TAKE HALF OF UKRAINE
 
Zelensky amewafuta kazi Mkuu wa ujasusi wa ukraine na mwendesha Mkuu wa mashitaka wa ukraine.



kwa tuhuma ya maelfu ya wafanyakazi kuisaliti ukraine kila kukicha na hili ndio tatizo la kuanza kuangushwa kwa uongozi wake tusubiri.



source Wion.

ila bbc watawaambia mamia ya wafanyakazi ndio wana msaliti. Baada ya hii wiki kuanza kupelekewa moto na kila vikao wakikaa bomu linatua zelensky ameanza kula watu wake baadae watamla na yeye kichwa.

Na wiki hii Urusi itampelekea Zele moto kutokea kila kona.

Hii operation naona EU wameanza kuipa kisogo. Maana silaha wamepeleka weeeee ila hakuna mabadiliko chanya.

Mizimu yangu na iendelee kumlinda shujaa Vladimir Putin!
 
During the week, at least 15 Russian military transport aircraft arrived in Belarus.

From July 9 to 17, 2022, the monitoring group "Belarusian Gayun" recorded an increase in the number of such arrivals. At least 10 Il-76s arrived at the military airfield in Machulishchi alone; 2 An-22; 3 An-124.

Observers note that the An-22 is the world's largest turboprop aircraft, like the An-124, it is used to transport bulky cargo. But what exactly was brought to Belarus is unknown.

In addition, this week an A-50 airborne early warning and control aircraft of the Russian Aerospace Forces flew to Belarus for the first time since April. In total, he stayed in the country for 5 and a half days and worked, accompanied by fighters - three times for 6 hours during this time.
 
Back
Top Bottom