mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Niambie katika dunia hii ni nchi gani inayoweza kupigana na NATO +MAREKANI +WASHIRIKA WENGINE.URUSI anapigana na nchi zote izo maana kila siku silaha zinaingia UKRAINE.Bado nuclear pekee ndo UKRAINE hajapewa,ila silaha karibia zote kashapewa.
Silaha alizopewa UKRAINE ni zaidi ya silaha wanazomiliki jeshi zima la NATO.
Silaha alizopewa UKRAINE ni zaidi ya silaha wanazomiliki jeshi zima la NATO.
Tangia vita inaanza, au tuseme kabla vita haijaanza kila mtu alijua Ukraine lazima ishindwe vita, kila mtu, sio NATO au Russia ata sisi waafrica uku mwishon mwa dunia
Ko Ukraine kupigwa sio jambo la ajabu, ila Urusi kupata changamoto hizi zote mpaka leo na bado wakashindwa kuadvance Kiev na kuelekea upande ambao Ulijitoa Ukraine kabla ya vita ni kuwa jeshi la Russia sio kama tulivyodhani
Wengi humu mnaongea kishabiki tu na mtaanza kusema apo ni Russia na NATO ndo wanaopigana, ila kama nato ndo wangepigana hao NATO wangepeleka majeshi yake uko Ulaya wakaita total war, badala yake wanapeleka light equipments na Russia anapeleka kila kitu alichonacho even hipersonic missiles ila bado advance zake katika majimbo yalojitoa kabla ya vita bado iko slow
Ata nikicheza mpira na vitoto nitaonekana Messi, wakubwa wenzangu wakimpa viatu vya mpira huyo mtoto, watakuwa wamemsaidia ila bado nitakuwa nacheza boli na mtoto tu bao
Sa nikicheza na hao watoto na kila mtu akaamini ntashinda goli 5 ndani ya dk10 af badala yake nikashinda ndani ya dk za majeruhi, atakama mashabiki zangu watafurah nmeshinda mechi ila hilo haliepushi ukweli kuwa uwezo wangu ni kama wa hvyo vitoto na sikustahili kucheza mechi na hvyo vitoto
Badala yake watu wanakufa tu na familia zinatawanyika, biashara zinafilisika, af nyie mabumbuwazi mnashabikia et ‘unaona wale watu walivyokufa’ seriously
Hivi vita vya viongozi si vya kuchekea ji kuvipinga, mtu anaweza kupewa ngazi kubwa ila akili yake ni ya kijinga na kitoto
Madhara wanayoyapata ni watu wa maisha ya kawaida na tegemezi wao, sio upande wa Ukraine tu, ata Urusi, hakuna mwanajeshi anaetamani kufa, ata Leo hii Putin ahairishe vita, wanajeshi wote wa Urusi watafurahi pia maana hakuna anaetaka kufa, ila hawezi kwa sababu anaogopa fedheha na aibu, binadam wengi hawafanyi vitu kwa kutumia logic, bali emotions, oviously kwenye upande wa Logic pia taifa zima litadhalilika na watapoteza nafasi yao ya kijeshi walokuwa nayo kabla