Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sina hakika kama ni "subra", kwangu naona kama hana la kufanya. Nawaza endapo akiamua kuji'stress zaidi ya hapo alipofika hali itazidi kua ngumu zaidi.

[emoji842]US nation debt ni kubwa sana mara dufu. Akilazimisha mazito zaidi anaweza kujisababishia "default" kama aliyo kua akii-lazimisha kwa Russia.

[emoji842]Akisema aongeze vitisho kwenye matumizi ya dollar au mifumo ya kifedha. Hiyo hali itaongeza mbio kwa nchi zingine kutafuta alternative. Alternative ambayo itasababisha kupungua kwa demand ya dollar.

Since dollar ni free currency, haiko pegged to anything. Value yake inategemea demand kwenye forex market. Demand ikipotea dollar will be no more. US economy will collapse kama kufumba na kufumbua jicho.

[emoji842]Akisema afanye kwa ubabe, Quarter ya pili hiii economy growth ya US inasoma negative. Atapigana na wangapi ukizingatia walio baki upande wake ni "State 51" maarufu kama EU, then Japan na Australia. The rest wamempa kisogo.

[emoji842]US ni net importers, 41% ya imports zake according to CIA factbook zinatoka China na Mexico. Kuendelea kuweka tension unaelewa hapo nini kitatokea.

[emoji842]Mbali na hilo, US economy kwa mujibu wa hao hao CIA Factbook, Uchumi wao umejikita sana katika sector ya Sevices.
I mean composition ya GDP yao by sectors iko hivi.
19% Industries
80% Services

Kwenye uchumi services sector huwa ni zao la "expenditures" za watu. Hali ya Raia inapokua ngumu, waka-anza kubana matumizi. That means wana punguza spending. Sasa wakibana matumizi automatically Hii sector ya uchumi (Services) huwa inayumba.

Alikuwa akitumia Uber anaamua kutembea kwa mguu, Mlo wake ulikuwa McDonald au KFC hali tata anarejea jiko lake nyumbani. So Services sector inapoteana kama hivyo.

Na hiyo ndio sababu ya Uchumi wa US kipindi hiki kudorola. Sasa endapo akizidisha ***** ***** hali itazidi kua mbaya upande wake.

Kati yao US na EU, US ni kama mjanja mjanja... Hana adui wala rafiki linapokuja issue ya maslahi yake. Angalia US ana lift sanctions anazoona zinamuumiza ila EU zombies wako radhi viumane no matter what.

Tumesikia karejea kushirikiana na Urusi kwenye International Space Station. Kesho tutamskia anashirikiana jambo na Uchina maisha yanasonga. Hizo ndio Geopolitics zilivyo. Michezo ya Power...
Subra niliyoizungumzia ilibezi zaid kwa EU.

Ndio maana nikajiuliza hizi habar za hali tete tunazoambiwa zilizotokana na wao kususia bidhaa ingawaje wanaumia mno ni sahih au si sahih???

Kwa sabab mara zote tunaamin watu wa ulaya ni watu smart kifikra watu ambao kila maamuz wanayoyafanya huwa hawakurupuk na wanafanya kiweled sasa inakuaje leo hii tunasikia kupitia vyombo vya habar kuwa wanapunguza matumiz ya gesi ili wasiwe tegemez kwa urus lkn hapohapo kupitia muungano wao wa NATO wamejitengenezea utegemez kwa us.

Na kutokana na kususia kwao imepelekea baadh ya viwanda kufungwa na matumiz ya majumban kuathirika kwa kiwango kikubwa kutokana na mfumuko wa bei na kuadimika kwa bidhaa kunakopelekea kuathirika pakubwa kwa uchumi.

Najiuliza ni mtu smart gani mwenye weled anayeweza kufanya maamuz ya hovyo kwa kiwango hicho au labda kuna mipango ipo mzigon wanasubir taiming ikawe sawa???
 
Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.k

Lakini kiuhalisia haipo hivyo, Dar kuna watu wanalala barabarani hawana makazi, hawana kazi, kuna maeneo machafu, kuna maeneo yamejaa vibaka, kuna watu wa "hovyo" pia n.k

So hata hapo Europe wapo wenye akili na wapo mbumbukwazi wengi tu walio shika hatam/nyadhifa za uongozi.

Maamuzi hayo tunayo-pata kuyaona wakiyafanya ni maamuzi ya viongozi hao sio maamuzi ya walio wengi katika Raia wao, lau kama wangekuwa na maamuzi sawa au jambo lao ni sawa basi Raia wasinge andamana kupinga maamuzi ya viongozi wao.

Haingii akilini, hujui kupika unagombana na mpishi. Unasusia chakula ushinde njaa kumkomoa. Then useme unavuta "Subra", bad enough ulichokisusa ukitegemea kitaoza kinaliwa na watu wengine we unabaki unataabika na njaa.

Video hii hapa chini kama nyongeza ya maelezo kukuonesha kuna watu wanao-jielewa na kuna watu ni mazuzu zaidi ya vile tulivyo aminishwa. Huyu MP anawaeleza EU walivyo geuzwa "state 51".

By November, the five largest economies of Southeast Asia: the Philippines, Malaysia, Indonesia, Singapore and Thailand, will sign an agreement on the integration of their mobile payment systems. This will make cross-border transfers much more efficient and will contribute to the development of trade in ASEAN countries.

Payments will be made in foreign currency by regional banks by direct exchange between currency pairs without using the US dollar.
Hii kitu US haitaki, Ruble imewafumbua machi itabadilisha mchezo kwa nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela zao ni swala la muda.
 
Na apriciate ndio Maana nitatulia KO nilisema wao ila parata kajishtukia nawala sikua na lig nae.( Nahisi ni mtu mmoja ana ID tatu aliekuja kuniblesi baada ya kusema KO,moja ikapotea ila nilivyosema kuna moderator wanaunganisha ID sec hazijapita ikaja iliyokuwepo ukiangalia mtiririko na flow ya mijadala yangu wanapeana back up) sasa sio kila mtu yuko ivyo inbox nakutajia ukiangalia mmhemko anaoupata unajua tuu kuna kitu alafu alaiyejishtukia nilimpa swali alifanyie kazi na wala hakua kwenye lig yangu mwanzoni ila yuko moto.

Alafu why kila siku wao tuu.

#K.O imeumaeee na badoo😏😏
😏.
Imagine mi kila siku najitetea tuu

Ni hivi kuanzia sasa ivi nyie timu KO mnajijua msinikot siwakoti.

Mkitaka ignore.
#sitaki reply kutoka timu KO.
Hiyo ni Offa natoa kwa wapenda ubuyu njoo inbox ntakupa majina matatu uyafuatilie utaona 😂😂😂😂 burudani za watu.
Kuanzia sasa naanza kukusaposti. Haiwezekani ukazongwa wewe tu! Kwani shingapi?
 
Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.k

Lakini kiuhalisia haipo hivyo, Dar kuna watu wanalala barabarani hawana makazi, hawana kazi, kuna maeneo machafu, kuna maeneo yamejaa vibaka, kuna watu wa "hovyo" pia n.k

So hata hapo Europe wapo wenye akili na wapo mbumbukwazi wengi tu walio shika hatam/nyadhifa za uongozi.

Maamuzi hayo tunayo-pata kuyaona wakiyafanya ni maamuzi ya viongozi hao sio maamuzi ya walio wengi katika Raia wao, lau kama wangekuwa na maamuzi sawa au jambo lao ni sawa basi Raia wasinge andamana kupinga maamuzi ya viongozi wao.

Haingii akilini, hujui kupika unagombana na mpishi. Unasusia chakula ushinde njaa kumkomoa. Then useme unavuta "Subra", bad enough ulichokisusa ukitegemea kitaoza kinaliwa na watu wengine we unabaki unataabika na njaa.

Video hii hapa chini kama nyongeza ya maelezo kukuonesha kuna watu wanao-jielewa na kuna watu ni mazuzu zaidi ya vile tulivyo aminishwa. Huyu MP anawaeleza EU walivyo geuzwa "state 51".

View attachment 2293781
Huyu jamaa ni nani? Kuna mwingine pia mwenye mawazo ya hivi nilimuona Twitter aliweka video akiilaumu US.
 
This is not a protest. It's just the development of the beginning of the start of the commencement of the ensuence of a huge, colossal Mother of All Protests (MOAP).

Ulaya inaendelea kuteseka na winter bado 🤔🤔🤔

🇫🇷✊ 👮In France, people are protesting against rising food and fuel prices. There were clashes with the police

And it is not winter yet...
View attachment 2293604
 
Huyu jamaa ni nani? Kuna mwingine pia mwenye mawazo ya hivi nilimuona Twitter aliweka video akiilaumu US.
Inakuhusu nini nawe? Kitu cha msingi ni kuleta habari hapa--ziwe za uongo ama ukweli.

Sie tutazipembua na kulinganisha na habari za Ma- Grand Master s nguli humu. Unataka kumjua member, nia yako nini?

NB: Tutamlinda kwa gharama yoyote.
 
Ukrein imekamatwa pabaya wameanza kukili wenyewe

[emoji845] [emoji1255] [emoji635] The former head of Ukraine's foreign intelligence, General Malomuzh, believes that Russia will negotiate only so that Ukraine fully fulfills the conditions that the Russian Federation demands in an ultimatum. According to the general, if Russia's conditions are not accepted, military pressure and the advance of the Russian army on Ukrainian territory will increase.

Sina wana HIMAZ[emoji3]
 
Habari.
Umeelewa vibaya sijamanisha nataka nijadili na hao watatu.
Nimemaanisha mtu mmoja ana anamiliki ID tatu ni kitu tofauti na ulichoniambia.

Nimesema natoa izo ID inbox (PM)kwa anaependa ubuyu na wadau wamejitokeza.
Nimejieleza vizuri.

Nimezingatia hayo yote kabla sijapost ili kuondoa jam.
No hard feeling 👍👍👍.

# (hashtags)hizo zitakuwepo za kutosha stay tuned umenipa uwanja wa kujieleza maana pale nilimjibu kisiju na sikutaka reply ( uwe ubao wa matangazo) wewe kwa kutokujua au kujua tunatumia fursa.

Uzi wa vita huu😂😂😂😂

Nadhani tumalize vita vikubwa, then vile vidogo tuvichange mwakani. Unaonaje hilo wifi yangu (because nasikia my brother angu fulani fulani humu mko pamoja)?
 
Tangia vita inaanza, au tuseme kabla vita haijaanza kila mtu alijua Ukraine lazima ishindwe vita, kila mtu, sio NATO au Russia ata sisi waafrica uku mwishon mwa dunia
Ko Ukraine kupigwa sio jambo la ajabu, ila Urusi kupata changamoto hizi zote mpaka leo na bado wakashindwa kuadvance Kiev na kuelekea upande ambao Ulijitoa Ukraine kabla ya vita ni kuwa jeshi la Russia sio kama tulivyodhani
Wengi humu mnaongea kishabiki tu na mtaanza kusema apo ni Russia na NATO ndo wanaopigana, ila kama nato ndo wangepigana hao NATO wangepeleka majeshi yake uko Ulaya wakaita total war, badala yake wanapeleka light equipments na Russia anapeleka kila kitu alichonacho even hipersonic missiles ila bado advance zake katika majimbo yalojitoa kabla ya vita bado iko slow
Ata nikicheza mpira na vitoto nitaonekana Messi, wakubwa wenzangu wakimpa viatu vya mpira huyo mtoto, watakuwa wamemsaidia ila bado nitakuwa nacheza boli na mtoto tu bao
Sa nikicheza na hao watoto na kila mtu akaamini ntashinda goli 5 ndani ya dk10 af badala yake nikashinda ndani ya dk za majeruhi, atakama mashabiki zangu watafurah nmeshinda mechi ila hilo haliepushi ukweli kuwa uwezo wangu ni kama wa hvyo vitoto na sikustahili kucheza mechi na hvyo vitoto

Badala yake watu wanakufa tu na familia zinatawanyika, biashara zinafilisika, af nyie mabumbuwazi mnashabikia et ‘unaona wale watu walivyokufa’ seriously
Hivi vita vya viongozi si vya kuchekea ji kuvipinga, mtu anaweza kupewa ngazi kubwa ila akili yake ni ya kijinga na kitoto
Madhara wanayoyapata ni watu wa maisha ya kawaida na tegemezi wao, sio upande wa Ukraine tu, ata Urusi, hakuna mwanajeshi anaetamani kufa, ata Leo hii Putin ahairishe vita, wanajeshi wote wa Urusi watafurahi pia maana hakuna anaetaka kufa, ila hawezi kwa sababu anaogopa fedheha na aibu, binadam wengi hawafanyi vitu kwa kutumia logic, bali emotions, oviously kwenye upande wa Logic pia taifa zima litadhalilika na watapoteza nafasi yao ya kijeshi walokuwa nayo kabla

Umeongea pumba tupu, Russia wanajali usalama wa taifa lao kuliko hata kitu chochote kile. Wale watu ni wazalendo halisi wa taifa lao. Bro kasome kwanza history kuhusu Russia afu urudi hapa.

Sasa wewe hujui kama Russia anapambana na NATO? mkuu au umeamua kuandika tu umeamka umeparamia keyboard[emoji28]
 
Tangia vita inaanza, au tuseme kabla vita haijaanza kila mtu alijua Ukraine lazima ishindwe vita, kila mtu, sio NATO au Russia ata sisi waafrica uku mwishon mwa dunia
Ko Ukraine kupigwa sio jambo la ajabu, ila Urusi kupata changamoto hizi zote mpaka leo na bado wakashindwa kuadvance Kiev na kuelekea upande ambao Ulijitoa Ukraine kabla ya vita ni kuwa jeshi la Russia sio kama tulivyodhani
Wengi humu mnaongea kishabiki tu na mtaanza kusema apo ni Russia na NATO ndo wanaopigana, ila kama nato ndo wangepigana hao NATO wangepeleka majeshi yake uko Ulaya wakaita total war, badala yake wanapeleka light equipments na Russia anapeleka kila kitu alichonacho even hipersonic missiles ila bado advance zake katika majimbo yalojitoa kabla ya vita bado iko slow
Ata nikicheza mpira na vitoto nitaonekana Messi, wakubwa wenzangu wakimpa viatu vya mpira huyo mtoto, watakuwa wamemsaidia ila bado nitakuwa nacheza boli na mtoto tu bao
Sa nikicheza na hao watoto na kila mtu akaamini ntashinda goli 5 ndani ya dk10 af badala yake nikashinda ndani ya dk za majeruhi, atakama mashabiki zangu watafurah nmeshinda mechi ila hilo haliepushi ukweli kuwa uwezo wangu ni kama wa hvyo vitoto na sikustahili kucheza mechi na hvyo vitoto

Badala yake watu wanakufa tu na familia zinatawanyika, biashara zinafilisika, af nyie mabumbuwazi mnashabikia et ‘unaona wale watu walivyokufa’ seriously
Hivi vita vya viongozi si vya kuchekea ji kuvipinga, mtu anaweza kupewa ngazi kubwa ila akili yake ni ya kijinga na kitoto
Madhara wanayoyapata ni watu wa maisha ya kawaida na tegemezi wao, sio upande wa Ukraine tu, ata Urusi, hakuna mwanajeshi anaetamani kufa, ata Leo hii Putin ahairishe vita, wanajeshi wote wa Urusi watafurahi pia maana hakuna anaetaka kufa, ila hawezi kwa sababu anaogopa fedheha na aibu, binadam wengi hawafanyi vitu kwa kutumia logic, bali emotions, oviously kwenye upande wa Logic pia taifa zima litadhalilika na watapoteza nafasi yao ya kijeshi walokuwa nayo kabla

Habari yako ingekuwa kweli endapo Russia angetangaza full-scale war. But, mind you, hii ni SMO.

Ulishaona wapi adui anakutandika, then anakulisha?

Ulishaona wapi adui anakwambia toeni watu wenu, nakuja kupiga?

Halafu ni nani anawatumia raia kama ^human shields,^ na pia anazuia ^humatarian corridors^?

Ulishaona wapi adui anawasihi msiendelee na vita, because mtakufa wote?

Ulishaona wapi adui anaijenga nchi yenu baada ya kuipiga?

I mean, ulishaona wapi adui anaendelea kuwaletea mafuta Ulaya plus bidhaa zingine, ilhali ninyi mnampelekea hasimu wake silaha za kumwangamiza?

Shame on you!
 
Subra niliyoizungumzia ilibezi zaid kwa EU.

Ndio maana nikajiuliza hizi habar za hali tete tunazoambiwa zilizotokana na wao kususia bidhaa ingawaje wanaumia mno ni sahih au si sahih???

Kwa sabab mara zote tunaamin watu wa ulaya ni watu smart kifikra watu ambao kila maamuz wanayoyafanya huwa hawakurupuk na wanafanya kiweled sasa inakuaje leo hii tunasikia kupitia vyombo vya habar kuwa wanapunguza matumiz ya gesi ili wasiwe tegemez kwa urus lkn hapohapo kupitia muungano wao wa NATO wamejitengenezea utegemez kwa us.

Na kutokana na kususia kwao imepelekea baadh ya viwanda kufungwa na matumiz ya majumban kuathirika kwa kiwango kikubwa kutokana na mfumuko wa bei na kuadimika kwa bidhaa kunakopelekea kuathirika pakubwa kwa uchumi.

Najiuliza ni mtu smart gani mwenye weled anayeweza kufanya maamuz ya hovyo kwa kiwango hicho au labda kuna mipango ipo mzigon wanasubir taiming ikawe sawa???

Jibu ni kwamba WAMELAZIMISHWA na Kiranja Mkuu wa dunia--huyu ambaye hakosei--mkuu na champion wa demokrasia.
 
Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.k

Lakini kiuhalisia haipo hivyo, Dar kuna watu wanalala barabarani hawana makazi, hawana kazi, kuna maeneo machafu, kuna maeneo yamejaa vibaka, kuna watu wa "hovyo" pia n.k

So hata hapo Europe wapo wenye akili na wapo mbumbukwazi wengi tu walio shika hatam/nyadhifa za uongozi.

Maamuzi hayo tunayo-pata kuyaona wakiyafanya ni maamuzi ya viongozi hao sio maamuzi ya walio wengi katika Raia wao, lau kama wangekuwa na maamuzi sawa au jambo lao ni sawa basi Raia wasinge andamana kupinga maamuzi ya viongozi wao.

Haingii akilini, hujui kupika unagombana na mpishi. Unasusia chakula ushinde njaa kumkomoa. Then useme unavuta "Subra", bad enough ulichokisusa ukitegemea kitaoza kinaliwa na watu wengine we unabaki unataabika na njaa.

Video hii hapa chini kama nyongeza ya maelezo kukuonesha kuna watu wanao-jielewa na kuna watu ni mazuzu zaidi ya vile tulivyo aminishwa. Huyu MP anawaeleza EU walivyo geuzwa "state 51".

View attachment 2293781

This is pointedly. Huu uzi ufungwe sasa! Dah!

NB: Mfano mwingine wa ulegevu wa akili za the so-called smart Wazungu, ni kuchaguliwa kwa JB na BJ. Yes, you heard me say'n baby!
 
Ila hizo 3k to 10k huwa sio heavy bomb eeh?
Wamerekani juzi wamefunga ubalozi Kiev wametoka mkuku mkuu wameacha gagulo zao break ya kwanza Poland wakiwa wanatembelea ulimi, ila kwa bahati mbaya wamefika mapaja yamechubuka sana walisahau kujipaka ky [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom