MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Naona marekani kapata hasara kubwa kama ni kweli
Sijajua una elimu gani kuhusu mambo ya medani za kivita na umepita field ngapi kuhusu hilo ila kama mwl. wako ni Hollywood basi umeshaathirika kisaikolojia,na hilo la wali kuhusu ubora wake sijui unaproof vipi kuwa yy ni bora kwa maneno mkuu bongo tuna sniper kuliko hata huyo uliyemtajaAnaekwambia Kwamba zama za vifaru zinaisha anakudaganya mzee,Snipper Bora huko Duniani ajulikanae Kama Wali alipokimbia Vita Kule Ukraine anaekwambia Ile Ni 'War of machines' Ni mizinga inafyatuliwa kutoka kwny vifaru mpk unachanganyikiwa.Pamoja na kua Ni Snipper Bora lkn anasema amekimbia kutoka vitani akiwa amepiga risasi 2 tu.Maana vifaru vinavyatua mambo sio mchezo.
Mazabazabina kuliko maelezo,kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wanadamu Duniani wamekwisha kunywa maji ya bendera ya Amerika, uwambii kitu wakakuelewa!!!Ndio maana wamebana Media za Russia ili kuepusha kukosolewa kwa propaganda zao
Labda siku moja tutaipataMaandiko yanasema ...humsaidia anayetaka/kuonesha nia ya kujisaidia. Sisi nia hatuna mjomba.
Naona umechelewa kufahamu tu mkuu,mimi Ni pro-russia wa kuzaliwa lkn Kuna ID 4 za Pro-russia zilikua Ni za mtu mmoja. Anaanzisha kitu na kujijibu mwenyewe na ktk hizo ID hata hii yako nilijua Ni moja Kati ya hizo 4, ingawa bado Sina uhakika pia Kama sio mojawapo ya hizo ID 4 zilizoamua kutuzuga tu.
Si leo wala kesho ukizingatia idadi ya intellectuals inapungua. Kika siku bora ya jana ya leo yanasikitisha.Labda siku moja tutaipata
Panic, sudden uncontrollable fear or anxiety, often causing wildly unthinking behaviour. You are in Panic Mode. You failed in everything, thus the only option left with you was to fuse 3 people as 1. The ones who get knocked out for real its you. You can do foolish things, but do them with enthusiasm.Na apriciate ndio Maana nitatulia KO nilisema wao ila parata kajishtukia nawala sikua na lig nae.( Nahisi ni mtu mmoja ana ID tatu aliekuja kuniblesi baada ya kusema KO,moja ikapotea ila nilivyosema kuna moderator wanaunganisha ID sec hazijapita ikaja iliyokuwepo ukiangalia mtiririko na flow ya mijadala yangu wanapeana back up) sasa sio kila mtu yuko ivyo inbox nakutajia ukiangalia mmhemko anaoupata unajua tuu kuna kitu alafu alaiyejishtukia nilimpa swali alifanyie kazi na wala hakua kwenye lig yangu mwanzoni ila yuko moto.
Alafu why kila siku wao tuu.
#K.O imeumaeee na badoo[emoji57][emoji57]
[emoji57].
Imagine mi kila siku najitetea tuu
Ni hivi kuanzia sasa ivi nyie timu KO mnajijua msinikot siwakoti.
Mkitaka ignore.
#sitaki reply kutoka timu KO.
Hiyo ni Offa natoa kwa wapenda ubuyu njoo inbox ntakupa majina matatu uyafuatilie utaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] burudani za watu.
Better uki'kaa kimya kuliko kufukua makaburi. Haltoisha hilo mjomba, kua as one or tofauti haipunguzi chochote unajijua najijua wanajijua. Tubaki kwenye issue ya Urusi vs Ukraine plz.Panic, sudden uncontrollable fear or anxiety, often causing wildly unthinking behaviour. You are in Panic Mode. You failed in everything, thus the only option left with you was to fuse 3 people as 1. The ones who get knocked out for real its you. You can do foolish things, but do them with enthusiasm.
Hahahahahaha. Halafu nashangaa Tunaancha kujadili uhalisia mnaanza kuangalia mtu ana ID ngapi. Tupunguze tabia za kike kike , tunaomba tuendelee kuwaelimisha waliolala.
Naona umechelewa kufahamu tu mkuu,mimi Ni pro-russia wa kuzaliwa lkn Kuna ID 4 za Pro-russia zilikua Ni za mtu mmoja. Anaanzisha kitu na kujijibu mwenyewe na ktk hizo ID hata hii yako nilijua Ni moja Kati ya hizo 4, ingawa bado Sina uhakika pia Kama sio mojawapo ya hizo ID 4 zilizoamua kutuzuga tu.