Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Lipotezeeni Hilo jambo ila dada yangu Ngaboru dah!!!..............
Kamanda Qibsyl ungeipotezea kimya kimya lakini dUh!!!!!............
Ninyi wawili ingetokea mmefunga ndoa au uchumba au hatua za awali za mitongozo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]............
Wana tungesema Vimeumana...............
Yaani chuma kwa chuma msuguano wako ni Cheche au moto.
Kweli ninyi ni pro Russia...................
Yaani ng'adu kwa ng'adu, fact kwa fact kudadeki, Hila hii battle yenu..... Hiiiiii in magufuli voice
Naomba kwa niaba ya pro Russia wote, Hili swala liishe na muanze kushambulia pro Nato waliopo kule Isongole Ileje
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nasikia kuna fungu kabisa kiasi cha Rubles kadhaa zimetengwa kwa ajili ya kuwapa morale hawa PP (Pro-Putin). Lakini soon upepo unaweza kugeuka muda wowote. NATO anangoja Russia nguvu za kiume zipungue kidogo ndipo wafanye yao.