ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wezao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo - Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi ili mwisho wa siku wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za magharibi ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli kwa Ukraine no raia wake, hawana kabisa shida yao ni unyonyaji tu,basi.
Mpaka wanapata ujasiri wa kupanga muda wa kuingia vitani (US)rasmi ni wazi wameshayajua madhaifu yake.( Ukiachilia mbali kumchosha kiuchumi )
Ila nawaamini wako na watu smart, intelligence makini,vifaa vya kisasa vya kupambana,morali iko juu ya wapambanaji,mataifa mengine yapo na wao.
Round hii west wameingia cha kike ni ama tukose wote au mmoja asavavivu bila organ (moyo,figo) 😂😂😂😂nikimaanisha hawatakua na ule uimara waliokua nao mwanzo.
Urraaaaaa