Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Mwezi December up to February broNaomba kujua baridi ulaya itaanza mwezi gani na kuisha mwezi gani?
Mwezi December up to February broNaomba kujua baridi ulaya itaanza mwezi gani na kuisha mwezi gani?
Oh maskinii nchi yao inaendelea kumegwa wao wanasifia silaha zinazoonekana kabisa hazitabadili chochoteThe first M270 MLRS arrived in Ukraine from the United States, Defense Minister Oleksiy Reznikov said.
“The family of the Ukrainian army has replenished: the first MLRS M270 arrived! They will be good company for HIMARS on the battlefield. Thanks to our partners. No mercy for the enemy,” he wrote on Twitter.
Wamarekani washaanza kufaidika hukooThe United States intends to supply Estonia with up to six HIMARS multiple launch rocket systems worth $500 million, the US Department of Defence.
Hi inachekesha.British Foreign Secretary Liz Truss blamed Russia for the death of British mercenary Paul Ury :
"I am shocked by the news of the death of British aid worker Paul Ury in the custody of the Russian satellite in Ukraine. Russia must bear full responsibility for this."
Hizo HIMARS zipo nane TU. Lakini warusi wanna mifumo ya mfanowe maelfu kwa maelfuHIMARS ndio habari ya mjini, inapukutisha warusi kama sisimizi waliopuliziwa dawa
Hizo HIMARS zipo nane TU. Lakini warusi wanna mifumo ya mfanowe maelfu kwa maelfuHIMARS ndio habari ya mjini, inapukutisha warusi kama sisimizi waliopuliziwa dawa
Jua linakuwa Karibu na mstari wa KaprikoniMwezi December up to February bro
Ulaya imekuwa ubayaView attachment 2292001
European designers help save money.
In an effort to support avoidance of frequent and prolonged showering due to the prevailing high inflation, designers have developed a print that helps to mask the stale clothes.
Now you are not a stinker, but a conscious citizen who saves energy!
Wakati mwingine akili za Anglo-Saxon breed ni fyatu kabisa!! Majivuno yao,viburi,dharau na racism vimewatalawa sana,wanajiona wao ni bora kuliko binadamu wengine hapa Duniani. We fikiria akikamatwa askari wa kukodi/mamluki huko Ukraine kutoka UK au USA basi badala ya Serikali zao kuwaombea msamaha kwa Putin wao wanakimbilia kutoa vitisho kwamba wakinyongwa Putin atafikishwa mahakamani the Hague, hata hili la kusema eti mfanyakazi wa NGO kutoka Uingereza kafia gerezani,hakuna cha NGOs wala nini sijui - wale wote ni majasusi yanayo jificha nyuma ya patizia za NGO kuanzisha na ku-fund vikundi vinavyo chochea colour revolution, ndicho kilicho tokea huko Ukraine in 2014.


Kuna kitu kizito kunakaribia kuwapiga hao kina ZeleKutakuwa na jambo linataka kutokea huko Kiev wamarekani wanekimbia ofisi Yao.
💢The American Embassy in Kiev is closed for business, without an employee in sight, say eyewitness reports.
The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.
@NewResistanceView attachment 2292951
AhahahahKutakuwa na jambo linataka kutokea huko Kiev wamarekani wanekimbia ofisi Yao.
💢The American Embassy in Kiev is closed for business, without an employee in sight, say eyewitness reports.
The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.
@NewResistanceView attachment 2292951
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wezao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo - Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi ili mwisho wa siku wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za magharibi ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli kwa Ukraine no raia wake, hawana kabisa shida yao ni unyonyaji tu,basi.Wazira wa Ulinzi wa Urusi ameyapa order majeshi ya Urusi huko Ukraine kuwa yaongeze mkong'oto kwa 'wanamgambo' wa Ukraine ili 'wanamgambo' hao wasipate nafasi ya kufikiria kushambulia makazi ya raia wema huko Donbas na mikoa mingine.
View attachment 2292875
View attachment 2292876
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wenzao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo. Mbinu Putin alizo tumia huko Syria kukabiriana na waasi walio kuwa wanatishia utawala wa Asaad ndio zinazo takiwa kutumika nchini Ukraine - brute force,that is.Wazira wa Ulinzi wa Urusi ameyapa order majeshi ya Urusi huko Ukraine kuwa yaongeze mkong'oto kwa 'wanamgambo' wa Ukraine ili 'wanamgambo' hao wasipate nafasi ya kufikiria kushambulia makazi ya raia wema huko Donbas na mikoa mingine.
View attachment 2292875
View attachment 2292876
Nafikiri Putin anajitahidi kadri inavyo wezekana kuto wazuru raia wasiokua na makosa.Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wenzao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo. Mbinu Putin alizo tumia huko Syria kukabiriana na waasi walio kuwa wanatishia utawala wa Asaad ndio zinazo takiwa kutumika nchini Ukraine - brute force,that is.
Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi kwa njia ya ku-prolong vita inayo endelea chini Ukraine ili mwisho wa siku USA wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za USA ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo, hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli na Ukraine wala raia wake, wazo hilo hawana kabisa, shida yao ni unyonyaji na kuwafanya watu wawe watumwa ,basi