Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Dada hapa umejielezea a to z, hupendi challenge inaonekana.Kingine nilichokiona hapa ni kua mtu akiwa appreciated anapanda hadhi.
Hapaswi kuchalenjiwa ndio anajuaga tayari imeisha hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]sasa tutakua tuna sifu na kuabudu alafu kwenye masinagogi tubishane kwa fact.
NB.
Sijakech ni mtazamo tuu.
Hapa ni sehemu ya burudani pia [emoji106][emoji106][emoji23][emoji23][emoji23].