Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mjomba unafaham kama Venezuela na Iran, hizi nchi 2 tu kwa pamoja wana miliki world share ya zaidi ya 27% ya Oil reserves duniani? Ukilinganisha vs Russia mwenye reserves ya share ya below 5% au United state mwenye 2.1%?

Vile vile upande wa Natural Gas, Top three countries. Russia 24% Share, Iran again 17.3% na Qatar 12.5%. Ondoa Qatar baki na hizo mbili Russia na Iran nchi mbili ambazo hazina influences ya west pa1 ni over 41%

Sasa unaposema almost zote una maana ipi? Point yako hapo imejikita wapi? Uzalishaji au reserves? Na kama ni uzalishaji vipi kuhusu vinavyotakiwa kuzalishwa? Yes am asking kuhusu reserves?

Kwenye hizo tafiti uliangalia kiasi kilichogunduliwa? Let me help you with some data. Kiasi kilichopo kilichopo Ukraine Upande wa natural gas ni 39 millions MMcf, ambazo ni 0.6% ya world share. Na upande wa Oil reserves ni 395 millions barrels ambazo pia ni kama 0.024%

In comparison, Russia ana Natural gas reserve mara 40 zaidi ya zile zilizopo Ukraine, Russia ana Oil reserves mara 195 zaidi ya zile zilizogunduliwa hapo Ukraine.

Kwa hizo data vipi unahisi hayo madai unayo yaita ukweli ni sahihi? Kama tu kiasi kwamba kile kilichogunduliwa hakikidhi mahitaji ya Ukraine yenyewe vipi for that case unafikiri wanaweza kukidhi mahitaji ya nchi zingine?

Unaweza kutusaidia majina ya hayo majimbo yaliyo rudishwa na Ukraine yenye hizo rasilimali mjomba?

So hapa unajaribu kutuambia kwamba hayo madai yote si ya ukweli bali ni visingizio vya Urusi tu kwenda kuiba Ukraine mali zao?

Kwamba hakuna Nazi, Hakuna wa Ukraine waliokua wanauwawa hapo Donbass, wala hakuna maabara za US hapo Ukraine. Kwamba vyote ni visingizio. Na kitendo cha Pentagon kukiri uwepo wa hizo Labs nao waliteleza, ni Uongo wa Urusi kutaka kuiteka mali ya Ukraine au sio?

Unafikiri kwanini Russia asiende kuibeba Qatar, Saudia Arabia au Iran UAE au kwa Venezuela mbali kutoka kwake. Nchi zote hizo aziweke mikononi ziwe chini yake abaki kujisumbua na Ukraine ambae resorces zilizopo hapo upande wa nishati zote zinasoma figure chini ya 1% ya world share?

Kwenye hii kauli yako hapa nusu nakubali na nusu nakupinga, Vita vina sababishwa na siasa pia nakubaliana na wewe kua vita havisababishwi na dini n.k

Unapozungumzia siasa, haziishii kwenye kampeni kushinda uchaguzi. Unapozungumzia siasa unazungumzia power, na ili uwe na power lazima uwe na nyenzo za hizo power.

Hizo nyenzo za power kubwa kabisa ni Pesa na nyingine ni rasilimali. Kwenye uchumi hizi Raw materials ni Primary sector. Hupati Secondary sectors bila kua na Primary sectors. Nina maana ya kua hupati uzalishaji kama hauna malighafi/rasilimali.

Lakini world power system imebase kwenye pesa pekee as a nyenzo of power kuliko rasilimali. Angalia nchi kama Iran, ina resources nyingi mara dufu kuliko bara lolote ulaya. Je Iran ina nguvu kuliko Germany? Kuliko Italy? Kuliko Spain au France au UK?

Mwenye pesa anahitaji rasilimali na mwenye rasilimali anahitaji pesa. Rasilimali ngumu kupatikana but pesa printer zipo na wino wa kutosha. Prrrrr ni mlio mwepesi kusikika kwenye masikio zinapohitajika.

Russia rasilimali anazo lakini anaendelea kuziuza kwa mataifa yanayo mpa vikwazo kwasababu anahitaji pesa. Why pesa? Coz hizo pesa ndio nyenzo kuu ya power katika mfumo mzima wa dunia tulio nayo hivi leo.

Hapa Tz si tuna gesi? Bila pesa tunawezs kuitoa ardhini? Na tukiitoa ardhini kutafuta nini?

Any way kuhusu huo upande wa mashariki mwa Ukraine ndipo kumejaa vile vinavyomtambulisha Ukraine duniani. Issue nzima ya chakula kama ngano shairi n.k ambazo west wamekua wakipiga kelele kila siku kua wanazihitaji. Wala sio issue ya nishati.

Yah ni mtazamo wako binafs, upendezeshe uulishe nyama usogelee karibu uhalisia.

Mitazamo ipo mingi kuhusu kile kinacho endelea Ukraine. Hapa a hata mmoja bali nimejikita katika katika "faults" za mtizamo huo ulio nao.

Kesho mwanao amekuwa wa 7 darasani, muulize kwanza kapata wastan upi ulinganishe na top wao uone kama anastahili pongezi au achapwe aongeze juhudi. Kwani anaweza kua kapata wastani wa 10 out of 100 ila kawa wa 7 ihali wa kwanza ana wastani wa 94.

Mimi ni mmoja katika watu tunao amini sana katika number, Huh Numbers never lies na zilizo DATA ndio msingi wa ukweli na silaha ya kutokomeza uongo.
Asante sana,Mkuu. Hivi ndivyo inatakiwa akinyanyuka unamuongeza nyingine!
 
Argument yako ya "too low" naikubali, na hilo lipo wazi. Nchi zinazopeleka silaha wala hazipigani wanadai stock zao zina hali mbaya kwasababu ya Ukraine. Na nchi ambazo ni kubwa kiuchumi, na wana budget kubwa tu kila mwaka.

US kama mfano, ni B53 zimemtoka ndani ya siku hizi 140, ukiangalia silaha zipi kwenye hiyo fedha lazima uthubutu kusema kua figure za Urusi wanazotoa ziko chini mno. Na huenda kama unavyodhania, kwamba kutunza ile image ya Special Military Operation kwa dunia.

Ila kusema hizo figure ni kubwa duh 😏

Nikikumbuka ile picha ya Helmet ya yule mwamba aliyeandika kwenye Helmet kua wapo like in Hell. Unapata majibu ya hali mbaya ilivyo.

Figure kuwa kubwa au ndogo majibu yake ni sentence hii hapa.

Hakuna taarifa za ukweli toka pande zote mbili(idadi/takwimu) na ni kutokana na unyeti na usiri wa kimedani.

Vipi wale walikuwa wanataka figure ili kutetea hoja zao kwa kifupi walikuwa OP😂😂😂😂😂.

NB
Ni ww tuu uko upande gani na unaona nini basii.
 
Viongozi wa mataifa zaidi ya 30 waliungana kumuangusha kiongozi wa taifa moja badala yake wao ndo wanaanguka mmoja baada ya mwingine.
Subiri msimu wa baridi ufike, ndo watajua Urusi siyo Lesotho [emoji1147].

Lithuania [emoji1151] baada ya kuona putin Amepiga Saini ya kuruhusu vikosi vya special force vya Russia kutembeza kichapo hata nje ya urusi akaona isiwe tabu, akaondoa vikwazo haraka sana kabla high trained Russian troops kuingia mzigoni, maana wote wanajua kabisa putin na Urusi yake wakishaaga anza jambo mpaka liishe, hawanaga kurudi nyuma.

Niliwahi kusema kipindi cha nyuma kuwa, Vikosi vya Urusi vinavyo endesha operation huko Ukraine nivile vya askari wa kawaida na service men (Ukiondoa makamanda wake ambao ndo maPro)
Sasa jana kama siyo Juzi Rais Putin katia saini ya Kuruhusu high trained millitary Russian troops kufanya operation zake hata nje ya Urusi.

Note: Hawa wajeda aliowasainia Putin siyo level ya Kupigana na jeshi la Ukraine, Hawa wapo kwajili ya NATO na kwavile Lithuania ni mNATO ndo maana putin akawaruhusu hao wajomba kukiwasha hata nje ya Urusi maana kwasasa bado wapo Moscow wanakula upepo wakisubiri NATO watikise makalio kazi ianze. huku vijana wao chipukizi jeshini wakiendelea kuangusha mji mmoja baada ya mwingine huko Ukraine chini ya makamanda wachache wabobezi. Hata NATO hilo wanalijua kabisa kuwa Jeshi la Urusi lililopo Ukraine ni asilimia ndogo sana ya jeshi la Urus, ndo maana wakamuonya mwenzao Lithuania [emoji1151] Aache kiburi na aondoe vikwazo haraka sana kabla ya kikosi cha wanaume wa kazi kutoka Kremlin hakija chafua hali ya hewa kwenye anga la NATO kuelekea msimu huu wa baridi.

Opponents: One Man against 30+ Men
Results : [emoji635]30 Vs 1 [emoji1099]& [emoji631] [emoji636] [emoji1063]
Kwahiyo mkuu wajuba ni kama wale wazee wa kazi pale NGERENGERE?

Putin bana na ile style yake ya kutembea unaweza kusema huyu Rais ni mpole sana hana tabu na mtu lakini daah ukiyakanyaga ujue umeteleza 😂😂😂😂
 
Figure kuwa kubwa au ndogo majibu yake ni sentence hii hapa.

Hakuna taarifa za ukweli toka pande zote mbili(idadi/takwimu) na ni kutokana na unyeti na usiri wa kimedani.

Vipi wale walikuwa wanataka figure ili kutetea hoja zao kwa kifupi walikuwa OP😂😂😂😂😂.

NB
Ni ww tuu uko upande gani na unaona nini basii.
Of course wako OP kama wewe hapo uliyeshindwa kujua walikuwa wanambishia kitu gani. Na of course kitendo cha kutokujua hilo its ok kila kitu ukione ni opposite.

So understand the context first kabla ya kunyanyua vidole vyako kutype.

I thought bora ungejiuliza kwanza kwanini Mathanzua amekataliwa hoja yake na Grand Master amekubaliwa hoja ake.
 
Mjomba unafaham kama Venezuela na Iran, hizi nchi 2 tu kwa pamoja wana miliki world share ya zaidi ya 27% ya Oil reserves duniani? Ukilinganisha vs Russia mwenye reserves ya share ya below 5% au United state mwenye 2.1%?

Vile vile upande wa Natural Gas, Top three countries. Russia 24% Share, Iran again 17.3% na Qatar 12.5%. Ondoa Qatar baki na hizo mbili Russia na Iran nchi mbili ambazo hazina influences ya west pa1 ni over 41%

Sasa unaposema almost zote una maana ipi? Point yako hapo imejikita wapi? Uzalishaji au reserves? Na kama ni uzalishaji vipi kuhusu vinavyotakiwa kuzalishwa? Yes am asking kuhusu reserves?

Kwenye hizo tafiti uliangalia kiasi kilichogunduliwa? Let me help you with some data. Kiasi kilichopo kilichopo Ukraine Upande wa natural gas ni 39 millions MMcf, ambazo ni 0.6% ya world share. Na upande wa Oil reserves ni 395 millions barrels ambazo pia ni kama 0.024%

In comparison, Russia ana Natural gas reserve mara 40 zaidi ya zile zilizopo Ukraine, Russia ana Oil reserves mara 195 zaidi ya zile zilizogunduliwa hapo Ukraine.

Kwa hizo data vipi unahisi hayo madai unayo yaita ukweli ni sahihi? Kama tu kiasi kwamba kile kilichogunduliwa hakikidhi mahitaji ya Ukraine yenyewe vipi for that case unafikiri wanaweza kukidhi mahitaji ya nchi zingine?

Unaweza kutusaidia majina ya hayo majimbo yaliyo rudishwa na Ukraine yenye hizo rasilimali mjomba?

So hapa unajaribu kutuambia kwamba hayo madai yote si ya ukweli bali ni visingizio vya Urusi tu kwenda kuiba Ukraine mali zao?

Kwamba hakuna Nazi, Hakuna wa Ukraine waliokua wanauwawa hapo Donbass, wala hakuna maabara za US hapo Ukraine. Kwamba vyote ni visingizio. Na kitendo cha Pentagon kukiri uwepo wa hizo Labs nao waliteleza, ni Uongo wa Urusi kutaka kuiteka mali ya Ukraine au sio?

Unafikiri kwanini Russia asiende kuibeba Qatar, Saudia Arabia au Iran UAE au kwa Venezuela mbali kutoka kwake. Nchi zote hizo aziweke mikononi ziwe chini yake abaki kujisumbua na Ukraine ambae resorces zilizopo hapo upande wa nishati zote zinasoma figure chini ya 1% ya world share?

Kwenye hii kauli yako hapa nusu nakubali na nusu nakupinga, Vita vina sababishwa na siasa pia nakubaliana na wewe kua vita havisababishwi na dini n.k

Unapozungumzia siasa, haziishii kwenye kampeni kushinda uchaguzi. Unapozungumzia siasa unazungumzia power, na ili uwe na power lazima uwe na nyenzo za hizo power.

Hizo nyenzo za power kubwa kabisa ni Pesa na nyingine ni rasilimali. Kwenye uchumi hizi Raw materials ni Primary sector. Hupati Secondary sectors bila kua na Primary sectors. Nina maana ya kua hupati uzalishaji kama hauna malighafi/rasilimali.

Lakini world power system imebase kwenye pesa pekee as a nyenzo of power kuliko rasilimali. Angalia nchi kama Iran, ina resources nyingi mara dufu kuliko bara lolote ulaya. Je Iran ina nguvu kuliko Germany? Kuliko Italy? Kuliko Spain au France au UK?

Mwenye pesa anahitaji rasilimali na mwenye rasilimali anahitaji pesa. Rasilimali ngumu kupatikana but pesa printer zipo na wino wa kutosha. Prrrrr ni mlio mwepesi kusikika kwenye masikio zinapohitajika.

Russia rasilimali anazo lakini anaendelea kuziuza kwa mataifa yanayo mpa vikwazo kwasababu anahitaji pesa. Why pesa? Coz hizo pesa ndio nyenzo kuu ya power katika mfumo mzima wa dunia tulio nayo hivi leo.

Hapa Tz si tuna gesi? Bila pesa tunawezs kuitoa ardhini? Na tukiitoa ardhini kutafuta nini?

Any way kuhusu huo upande wa mashariki mwa Ukraine ndipo kumejaa vile vinavyomtambulisha Ukraine duniani. Issue nzima ya chakula kama ngano shairi n.k ambazo west wamekua wakipiga kelele kila siku kua wanazihitaji. Wala sio issue ya nishati.

Yah ni mtazamo wako binafs, upendezeshe uulishe nyama usogelee karibu uhalisia.

Mitazamo ipo mingi kuhusu kile kinacho endelea Ukraine. Hapa a hata mmoja bali nimejikita katika katika "faults" za mtizamo huo ulio nao.

Kesho mwanao amekuwa wa 7 darasani, muulize kwanza kapata wastan upi ulinganishe na top wao uone kama anastahili pongezi au achapwe aongeze juhudi. Kwani anaweza kua kapata wastani wa 10 out of 100 ila kawa wa 7 ihali wa kwanza ana wastani wa 94.

Mimi ni mmoja katika watu tunao amini sana katika number, Huh Numbers never lies na zilizo DATA ndio msingi wa ukweli na silaha ya kutokomeza uongo.
Pro Russia mnatoa darasa kubwa sana humu kiasi kwamba inatakiwa mlipwe
 
Kusema Warusi na Wa-Ukraine ni ndugu ni propoganda nyepesi ya kitoto inayoweza kuwangia wasiojua historia za eneo hilo na hayo mataifa mawili.

Nenda kajifunze Warusi walivyotaka kuwamaliza Wa-Ukraine kwa mauaji ya njaa ya HOLODOMOR mwaka 1932.

Katika mataifa jirani na Russia ambayo raia wake wengi wamekuwa hawataki ukaribu na Russia ni Ukraine. Wakati nchi zinazounda USSR zilipopata fursa ya kujitoa kwenye umoja huo raia wa Ukraine ndio waliongoza katika kupiga kura za kujitoa. Mwaka 1991 Kwenye referendum asilimia 92 ya raia wa Ukraine walipiga kura ya kujitoa. Hakuna taifa lingine ambalo raia wake waliikata USSR kwa wingi na sauti moja kama Ukraine.
Sure! Nahisi ana sababu zake za kufanya hivyo. Ukiachilia mbali ile hoja ya Grand Master kuhusu image Russia anayo ihifadhi hapo Ukraine. Mie naweza kujikita zaidi kuangalia mahusiano ya raia wa kawaida wa Urusi na Ukraine.

Hao ni ndugu, Ugonvi baina ya ndugu hupiganwa na wastaarab wakiwa macho yao wameya elekeza katika maisha baada ya ugonvi. Russia anafanya kila analo weza kushow humanity kwa raia wa kawaida wa Ukraine.

Tumeona wanawapa maradhi, wanawapa vyakula, wanakomboa kwenye mikono ya jeshi la Ukraine wakichukuliwa mateka n.k, Yote kuonesha kua Russia sio adui yao bali ndugu yao na rafiki yao mkubwa zaidi ya vile wanavyo tangaziwa.

Ukitembelea Official page za Russia hukuti mapicha ya ajab ajabu kuonesha wapiganaji wa Ukraine walivyokufa au kusulubiwa. Na ni kweli kama alivyosema huyo jamaa hapo juu. Russia kajikita kutoa taarifa za vifaa tu sio jeshi la wapiganaji hao.
 
I do appreciate your reasoning
 
Of course wako OP kama wewe hapo uliyeshindwa kujua walikuwa wanambishia kitu gani. Na of course kitendo cha kutokujua hilo its ok kila kitu ukione ni opposite.

So understand the context first kabla ya kunyanyua vidole vyako kutype.

I thought bora ungejiuliza kwanza kwanini Mathanzua amekataliwa hoja yake na Grand Master amekubaliwa hoja ake.
😂😂😂😂😂😂 Hakuna hoja zinazokataliwa/ zinazokataliwa huu ni mjadala huru.

Nimemuelewa masanzua sanaa ndio maana nikaja na jibu figure ni kubwa alafu unaemkubali kaja na figure ni ndogo.

Na uwezo wa kuitete hoja yangu nnao ndio ivyo nimemuelewa grand master coz mwisho wa siku jibu ni moja HAKUNA DATA ZA UHALISIA UKO FIELD.

Ila kinajadiliwa outcome zake tuu.

Ndio uone utofauti mi nmemkubali Mathanzua na Grand master ila katika engo tofauti.

Kwa kifupi nmefurahi kuona uwezo wangu wa kufikiri sio haba.(kubwa vs ndogo).
Urraaaaaa 😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂 Hakuna hoja zinazokataliwa/ zinazokataliwa huu ni mjadala huru.
I bet this is your own style, haiko applied to all of us. Ni mjadala huru, tutapinga hoja na tutakubali hoja zenye ukaribu na ukweli.

Nimemuelewa masanzua sanaa ndio maana nikaja na jibu figure ni kubwa alafu unaemkubali kaja na figure ni ndogo
"Umemuelewa"... Vizuri, I think this is more of personal taste.

Na uwezo wa kuitete hoja yangu nnao ndio ivyo nimemuelewa grand master coz mwisho wa siku jibu ni moja HAKUNA DATA ZA UHALISIA UKO FIELD.
Ooops! I recalling you again and again, jibidiishe kuelewa context before rising your hand kutype hiki na kile. No body, na kama ushahidi unao ulete aliyesema kua data za Urusi zipo hundred percent correct.

Kwenye profile yako kuna picha ya mwana dada Aika wa Navy Kenzo, Umri wake mie na wewe hatuujui. Either tutafaham ule ambao ataamua kuutaja.

Kuna watu wanaweza kupinga au kukubali kulingana na kile atakacho amua kukitamka kinachoendana na kile macho yangu na yako yanaona.

Mtu mosi akasema Aika ana miaka 755, Mtu pili akasema Aika ana miaka 35. Umri sahihi anaujua mwenyewe Aika, ila kwa mwonekano Out of two aliye closer to reality ni yule ambae halmashauri ya uwezo wako kufikiri ulipokomea.

Of course tumempinga Mathanzua na kukubali ya Grand Master, It our taste buddy!

So again ukiamua kuwaelewa wote, narudia tena its a matter of personal taste. For us tutakubali tunachoona kina maana na tutapinga tunacho ona ni bullshit ASAP.

Ndio uone utofauti mi nmemkubali Mathanzua na Grand master ila katika engo tofauti.
That's good of you... So hongera!
 
I bet this is your own style, haiko applied to all of us. Ni mjadala huru, tutapinga hoja na tutakubali hoja zenye ukaribu na ukweli.

"Umemuelewa"... Vizuri, I think this is more of personal taste.

Ooops! I recalling you again and again, jibidiishe kuelewa context before rising your hand kutype hiki na kile. No body, na kama ushahidi unao ulete aliyesema kua data za Urusi zipo hundred percent correct.

Kwenye profile yako kuna picha ya mwana dada Aika wa Navy Kenzo, Umri wake mie na wewe hatuujui. Either tutafaham ule ambao ataamua kuutaja.

Kuna watu wanaweza kupinga au kukubali kulingana na kile atakacho amua kukitamka kinachoendana na kile macho yangu na yako yanaona.

Mtu mosi akasema Aika ana miaka 755, Mtu pili akasema Aika ana miaka 35. Umri sahihi anaujua mwenyewe Aika, ila kwa mwonekano Out of two aliye closer to reality ni yule ambae halmashauri ya uwezo wako kufikiri ulipokomea.

Of course tumempinga Mathanzua na kukubali ya Grand Master, It our taste buddy!

So again ukiamua kuwaelewa wote, narudia tena its a matter of personal taste. For us tutakubali tunachoona kina maana na tutapinga tunacho ona ni bullshit ASAP.

That's good of you... So hongera!

Umeamua kunyumbulisha sentence yangu ama.

😂😂😂😂toa neno tu kwenye umoja na hakuna aliyepinga au kuuliza ndio maana nilivyoona majibu ya grand master nikawa na tumaini kwamba sijaulizwa ila majibu ya huyu mwamba yanashabiiana na mtazamo wangu. Critical thinker lazima uwaze nimesema kitu ila no response ni mashudu au 😂😂😂😂so akipatikana mwenye mtazamo kama wako na anapewa tagi oviazili n yako pia 😂😂😂😂😂👍👍👍👍

Any way mimi kama mimi nafuraha sanaa sanaa kwamba ubongo upo.

Uurraaa
 
mwaka huu tutaona mengi , wazungu wameanza kuiba Kuni huko 😂😂😂‼️
💢 Energy independence news.

Residents of Estonia began to actively steal firewood, local media reported.

The State Forestry Management Center said that residents steal firewood from the sites brought firewood for making a fire.

And Estonia is also the leader in inflation in the eurozone.

@NewResistance
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision attacks launched at provisional bases of 40th Artillery Brigade and Kraken nationalist group deployed in Kharkov have resulted in the elimination of up to 200 nationalists, including about 50 foreign mercenaries and 19 units of armament and military equipment.

💥Pinpoint attacks of Russian Aerospace Forces launched at the bases of Right Sector nationalist group deployed in Artyomovsk (Donetsk People's Republic) have resulted in the elimination of about 300 nationalists and up to 30 units of armoured and special motor vehicles.

💥Attack launched at a provisional base of 45th Artillery Brigade of the Armed Forces of Ukraine (AFU) deployed near Shcherbaki (Zaporozhye region) has resulted in the elimination of barracks with over 70 servicemen.

💥Artillery units have eliminated up to 70 nationalists and 11 armoured vehicles of 128th Mountain Assault Brigade of the AFU near Lugovoye and Novoandreyevka (Zaporozhye region).

💥On July 14, Kalibr high-precision sea-based missiles were launched at the House of Officers of the garrison in Vinnitsa.

▫️The facility hosted a conference of the Ukrainian Armed Force command with representatives of foreign armament suppliers aimed at discussing the issues on sending another batch of aircraft, destruction means, as well as on organising the reparation of Ukrainian aircraft. The attack has resulted in the elimination of the conference participants.

💥High-precision attacks of Russian Aerospace Forces have resulted in the elimination of 5 command posts and signal nodes, including 1 of 10th Air Assault and 1st Tank Brigade of the AFU near Praskovievka (Donetsk People's Republic) and Prosianaya (Dnepropetrovsk region), 1 launching ramp of Buk-M1 air defence missile system near Sol (Donetsk People's Republic), as well as 43 areas of manpower and military equipment concentration.

💥Within the counter-battery warfare, 2 plattoons of Ukrainian MRLS, 2 Giatsint-B artillery plattoons near Dzerzhinsk (Donetsk People's Republic), as well as 84 areas of artillery units have been neutralised.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 18 command posts, as well as 211 areas of manpower and military equipment concentration.

✈️💥Fighter aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 2 MiG-29 airplanes of Ukrainian Air Force near Slavyansk and Druzhkovka (Donetsk People's Republic).

💥Russian air defence means have shot down 2 Su-25 airplanes of Ukrainian Air Force near Barmashovo (Nikolayev region), as well as 9 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Balakleya, Izyum, Peschanoye, Ternovaya (Kharkov region), Novaya Kakhovka (Kherson region) and Vesyolaya Tarasovka (Lugansk People's Republic).

💥In addition, 9 projectiles launched by Uragan MRLS have been intercepted near Khartsyzsk, Korovy Yar, Khanzhenkovo (Donetsk People's Republic), Andreyevka (Kharkov region) and Tomarino (Kherson region).

📊In total, 253 airplanes and 137 helicopters, 1,543 unmanned aerial vehicles, 355 air defence missile systems, 4,060 tanks and other armoured combat vehicles, 746 combat vehicles equipped with MRLS, 3,147 field artillery cannons and mortars, as well as 4,341 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Hizi ni kauli za PM Februari.

Ukisoma kwa jicho la tatu, ukalinganisha na kinachoendelea hadi sasa, utagundua ni wazi kabisa THERE IS SOMETHING PHENOMENAL & ALMOST UNPRECEDENTED THAT'S ABOUT TO HAPPEN!

Our mission is clear.

Diplomatically, politically, economically – and eventually, militarily – this hideous and barbaric venture of Vladimir Putin must end in failure.

We will work with them – for however long it takes – to ensure that the sovereignty and independence of Ukraine is restored, because this act of wanton and reckless aggression is an attack not just on Ukraine.
 
1657878230265.png
 
Umeamua kunyumbulisha sentence yangu ama.

😂😂😂😂toa neno tu kwenye umoja na hakuna aliyepinga au kuuliza ndio maana nilivyoona majibu ya grand master nikawa na tumaini kwamba sijaulizwa ila majibu ya huyu mwamba yanashabiiana na mtazamo wangu.

Any way mimi kama mimi nafuraha sanaa sanaa kwamba ubongo upo.

NB
Kuna walioweka picha za waarabu,wachina,wazungu tena kwa opposite sex sasa ukianza kujadili ivyo utaumwa kichwa.
Hapa ufake ni mwingi sanaa inaweza ikawa ni below au greater
Cut the crap miss OP, usihame huku mara huko...

Nikukumbushe hii ndio ilikuwa point yako
Vipi wale walikuwa wanataka figure ili kutetea hoja zao kwa kifupi walikuwa OP😂😂😂😂😂.

Na ukasema uwezo wa kuitetea unao...
Na uwezo wa kuitete hoja yangu nnao ndio ivyo
Sasa kwanini usifanye kutoa maelezo yaliyo nyooka badala ya blah blah ya mbinu za kimedani. Mmh?

Kuna walioweka picha za waarabu,wachina,wazungu tena kwa opposite sex sasa ukianza kujadili ivyo utaumwa kichwa.
Noooo sijasema huyo ni wewe wala kudai kila mtu profile aliyoweka inamulika uhalisa wake. Nimemtumia kukupa mfano hai may be you can grasp the context ambayo unajipea ukakasi.

Walihitaji data, Yes DATA, Na unapozungumzia data sio tarakimu tu kwamba zipo katika range ya 1 hadi 9 kisha zinajirudia.

No when some1 asked kuhusu data maana ake alihitaji taarifa, of course ni taarifa za ziada za kuchagiza hoja husika kama alizozileta grand master.

So hapo kuna mawili Miss OP, either ukiri hukuelewa context, hukuelewa wanahitaji nini hivyo ukawa OP 😂 kuwaona walivyo OP kuziomba hizo data.

Au, itetee hoja ya mathanzua kwa maelezo yaliyo nyooka kama ya Grand Master, wajione walivyo OP hawajielewi. Yah yani simple like that.

Hapa ufake ni mwingi sanaa inaweza ikawa ni below au greater
Ops, you get to know something is fake pale unapokuwa na genuine info for references. Huezi kutoa au ku-judge kitu flani hivi ama vile kama huna back up data/taarifa za ku-support madai yako.

Na of course kwa mtu asiyejua hujawa na hasira kisha kutukana watu wanao mpa challenge ya kile alichokitoa kama alivyofanya mzee wa watu. I call it a higher degree of immaturity.

Huu ni ulimwengu wa hoja... Toa hoja tetea hoja full stop.
 
I bet this is your own style, haiko applied to all of us. Ni mjadala huru, tutapinga hoja na tutakubali hoja zenye ukaribu na ukweli.

"Umemuelewa"... Vizuri, I think this is more of personal taste.

Ooops! I recalling you again and again, jibidiishe kuelewa context before rising your hand kutype hiki na kile. No body, na kama ushahidi unao ulete aliyesema kua data za Urusi zipo hundred percent correct.

Kwenye profile yako kuna picha ya mwana dada Aika wa Navy Kenzo, Umri wake mie na wewe hatuujui. Either tutafaham ule ambao ataamua kuutaja.

Kuna watu wanaweza kupinga au kukubali kulingana na kile atakacho amua kukitamka kinachoendana na kile macho yangu na yako yanaona.

Mtu mosi akasema Aika ana miaka 755, Mtu pili akasema Aika ana miaka 35. Umri sahihi anaujua mwenyewe Aika, ila kwa mwonekano Out of two aliye closer to reality ni yule ambae halmashauri ya uwezo wako kufikiri ulipokomea.

Of course tumempinga Mathanzua na kukubali ya Grand Master, It our taste buddy!

So again ukiamua kuwaelewa wote, narudia tena its a matter of personal taste. For us tutakubali tunachoona kina maana na tutapinga tunacho ona ni bullshit ASAP.

That's good of you... So hongera!

Kuna mawili:

1. Kuna watu wanaochagua kwa utashi, hiba na huba zao ili kuelewa mambo OBJECTIVELY, na wengine SUBJECTIVELY. Nadhani member husika yuko subjective. Kwa vile anaiwamba ngoma, basi kaamua kuivutia kwake.

2. Anapodai kwamba wote wako sahihi, maana yake anakana waziwazi umuhimu wa hesabu za probability. Nimkumbushe tu kwamba kwenye kila ukadiriaji na ukisiaji, kuna error margin inayoruhusiwa.

Ikitokea ikawa kubwa au ndogo sana, utafiti wako unakuwa invalidated na kuwa nullified.

Naungana asilimia 100% na mtazamo kwamba Russian data ziko chini MNO kuliko reality--na bila shaka wamefanya hivyo kimakusudi ^car-bee-sir!^
 
Back
Top Bottom