ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Cut the crap miss OP, usihame huku mara huko...
Nikukumbushe hii ndio ilikuwa point yako
Na ukasema uwezo wa kuitetea unao...
Sasa kwanini usifanye kutoa maelezo yaliyo nyooka badala ya blah blah ya mbinu za kimedani. Mmh?
Noooo sijasema huyo ni wewe wala kudai kia mtu profile aliyoweka inamulika uhalisa wake. Nimemtumia kukupa mfano hai may be you can grasp the context ambayo unajipea ukakasi.
Walihitaji data, Yes DATA, Na unapozungumzia data sio tarakimu tu kwamba zipo katika range y 1 hadi 9 kisha zinajirudia.
No when some1 asked kuhusu data maana ake alihitaji taarifa, of course ni taarifa za ziada za kuchagiza hoja husika kama alizozileta grand master.
So hapo kuna mawili Miss OP, either ukiri hukuelewa context, hukuelewa wanahitaji nini hivyo ukawa OP 😂 kuwaona walivyo OP kuziomba hizo data.
Au, itetee hoja ya mathanzua kwa maelezo yaliyo nyooka kama ya Grand Master, wajione walivyo OP hawajielewi. Yah yani simple like that.
Ops, you get to know something is fake pale unapokuwa na genuine info for references. Huezi kutoa au ku-judge kitu flani hivi ama vile kama huna back up data/taarifa za ku-support madai yako.
Na of course kwa mtu asiyejua hujawa na hasira kisha kutukana watu wanao mpa challenge ya kile alichokitoa. I call it higher degree of immaturity.
Huu ni ulimwengu wa hoja... Toa hoja tetea hoja full stop.
Hoja gani Mangi mbona kama umekechi hivii.
Kila kitu kiko wazi huo ubishani ulipoanzia nilitoa fact zangu nikaonyesha kwamba figure ni kubwa sasa unataka nirudie kitu kilekile ilhali mwisho wa siku jibu ni moja kubwa au ndogo uhalisia wanaujua wao huko field.
Na ndio maana kwa ujasiri nikasema nimefurahi kuona mtazamo unaoonwa wa maana na mimi ndio ivyoivyo ila kwa ukubwa zaidi.
NB.
OP (opposite point) sio tusi ni maneno yanayotumika kwenye mijadala.