Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Kama yatasepa yote itakua bora zaidi kwakweliWhy haya manyang'au yasiondoke yote? Ngoja yatuache tu, yaende huko...
Emanuel hayupo salama MKUU fuatilia uje unipe mregesho(mrejesho)Labda Olaf lkn Macron kwa sasa yupo salama
Kama Vita toka ianze figure ipo Sawa, mrusi anaangamiza silaha nyingi za west na Ukraine zilizo kwenye maghala au zilizofichwa kwenye makazi ya raia, kama inafika kipindi mpaka marekani mwenyewe analalamika kuwa anapeleka silaha nyingi lakini haoni zinapokwenda maana yake silaha nyingi zinaharibiwa kabla hazijafikia eneo ambalo zinatakiwa zikatumike🙏
Ni figure kubwa mno mkuu,hata kama ingekuwa tangu mwanzo wa vita,ila let them,win sioni cha kubishania hapa,mbona tunapeana taarifa tu,sipati faida yeyote..
Ngoja niwanyongee waya pro NATO...Majeshi ya Ukraine yashaanza kukimbia miji tena kutokana na mkong'oto wanaopatiwa kiroho safi (bila hiyana) na majeshi ya Urusi...
Oyaa Pro-NATO wa JF, waambieni 'wanamgambo' wenu waache maigizo, vita ikipamba moto wao wanakimbia miji...wanatupunguzia uhondo sie!
View attachment 2290760
Unamfahamu America??.Hawakueleźwa toka mwanzo kwamba wanakwenda frontline. Halafu kinachowauma Warusi zaidi vita yenyewe haina kichwa wala miguu ni ukorofi tu wa Andunje 🤔
Kuna total war inaenda kutangazwaHawa wanataka kufanyaje huko ukrein wajamani [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji96] The US Embassy in Ukraine urges Americans to leave the country immediately
@NewResistance
Dah aisee.Nilitumia sources zingine.Halafu mimi huwa siamini taarifa za Ukraine, never,mbona cocaine pushers tu hao.Huwa siamini pia taarifa za Mainstream Media.Halafu ili taarifa niiamini,lazima itoke kwenye sources tofauti,tena Independent Media.
🙏
Ni figure kubwa mno mkuu,hata kama ingekuwa tangu mwanzo wa vita,ila let them,win sioni cha kubishania hapa,mbona tunapeana taarifa tu,sipati faida yeyote..