ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Alisikika mtu mmoja asiyejua chochoteHIMARS ndio habari ya mjini, inapukutisha warusi kama sisimizi waliopuliziwa dawa
Alisikika mtu mmoja asiyejua chochoteHIMARS ndio habari ya mjini, inapukutisha warusi kama sisimizi waliopuliziwa dawa
Jana tarehe 15 walivamia Spirne, vershyna, Bilohorivka,na Kodem mkoa wa Donetsk.Wame Retreat mkoa gani ndugu ebu tupe taarifa maana ndo kwanza nakusikia wewe
Jana hiyo pia walipokea MLRS ya kupiga masafa ya km 300, vita bado kwa hiyo hizo HIMARS na kwa sasa kuna M270Alisikika mtu mmoja asiyejua chochote
Niambie ndani ya hizi siku sita tangu hizo HIMARS zije wamesonga mbele sehemu ipi. Zaidi ya kushambulia wakiwa mbali na kujibiwa na HIMARS ambazo zinapiga makombora na ziki lenga target hazikosi sababu ukitaka sababu kwa nini hazikosi nitakwambia pia na zikipiga zinaondoka Russia inashindwa kupata location kamiliWe utakuwa haupo Duniani ndo maana ujui nini kinaendelea.WARUSI wanazidi kusonga kwa kasi sana
Naona k zelensky anataka kupiga konzi ncha ya mkuki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣KOPI KUTOKA FESIBUKU.
"HATUNA HURUMA KAMA PUTIN" Kim Jon Un Amuonya Zelensyk na Ukraine...
Korea Kaskazini Imemuonya RaisI Volosmyr Zelensky wa Ukraine kuwa Korea kaskazini haina Huruma kama aliyonayo Rais Putin wa Urusi kwani Pamoja na kuwa na Jeshi Bora na Silaha Hatari Duniani amekuwa akisita kuiangamiza Ukraine na kuchagua kutumia wanamgambo badala ya Red Army Jeshi Rasmi la Urusi.
Kim Amesema.." Tutaigeuza Kyiv kuwa Jangwa na makazi ya nguruwe badala ya Binadamu, hatutatumia hata wiki Moja kumkamata na Kumnyonga Muigizaji kibaraka aliyetumwa kimkakati Ulaya kusudi aendeleze mikakati ya Unyonyaji wa marekani kwa Bara hilo"...
"Anazungumzia Vitendo?, Mchekeshaji anaweza kutenda nini mbele ya Korea yenye Makombora yenye kufika Washington bila kuonekana?, Kyiv itakuwa Majivu, hautabaki hata Mfupa wa MTU, Tutaigeuza malisho ya nguru, Na ajaribu...Aliyemtuma alishashashindwa na Korea Tangu Babu Yangu Mwenyekiti Kim Ill Sung akiwa na Upanga wake hapa, Leo Kyiv?"...
Korea Kaskazini Imefikia Hatua ya kutaka kuishambulia Ukraine kwa Makombora ya Nyuklia baada ya Rais Zelensyk Kutishia Kuwa Ataiwajibisha Korea kaakazini na Rais wake Kim Jong Un baada ya Taifa hilo la Kijamaa kulitambua Taiga Jipya la Jamhri ya Donetsk kuwa NCHI huru baada ya kumegwa na Russia kutoka Ukraine...
Russia ina siraha hatari narudia hatari ngoja siku ikitangaza vita na ukrain au nato ndani ya ukrain ndiyo utasikia kilio cha mbwa koko ....ngoja warusi wachenji gia na kutumia bomu za sumu utajua ujuiJana tarehe 15 walivamia Spirne, vershyna, Bilohorivka,na Kodem mkoa wa Donetsk.
Walipigwa wakakimbizwa wakarudi nyuma ukitaka picha nitakuwekea hapa.
Niambie ndani ya hizi siku sita tangu hizo HIMARS zije wamesonga mbele sehemu ipi. Zaidi ya kushambulia wakiwa mbali na kujibiwa na HIMARS ambazo zinapiga makombora na ziki lenga target hazikosi sababu ukitaka sababu kwa nini hazikosi nitakwambia pia na zikipiga zinaondoka Russia inashindwa kupata location kamili


Majibu ya ongezeko la ndege vita ukreini
WHY THERE IS MORE UKRAINIAN AIR PLANES THAN LISTED
By @Rybar
The Ministry of Defense of the Russian Federation invented everything or the answer to the question "Why are there so many aircraft in the Ukrainian Air Force?"
In the feedback bot, we are often asked the question of where the Armed Forces of Ukraine got so many planes and helicopters. Out of habit, people climb into Wikipedia, check the data on the Ukrainian Air Force there, then look into the briefings of the Russian Ministry of Defense and shout “I don’t believe it!”.
The @rybar team decided to hold a small educational program and tell where the legs grow from.
🔻 At the time of the start of the NMD, the official number of aircraft in service was from 165 to 178 Su-24/25/27 and MiG-29 units. Plus 23 training and another 67 "mothballed", that is, withdrawn from combat, aircraft. In addition to tactical aviation, the Armed Forces of Ukraine had just over 200 Soviet-made helicopters.
Nevertheless, many of them (even those that were officially in service) were no longer used due to the development of a resource and poor-quality service by Ukrainian technicians - they were listed only in reports for debiting funds for repairs and money laundering.
However, with the start of a special military operation, it became necessary to restore the combat capability of the air forces. Through the efforts of specialists from the Ukrainian military-industrial complex and engineers from NATO countries (mainly from Eastern Europe), the process of returning decommissioned aircraft to service and repairing damaged ones was established.
In addition to the delivery of the aircraft and helicopters themselves, the states of Eastern Europe such as Slovakia, Bulgaria, Poland, Romania, were transferred parts, spare parts and assemblies for aviation equipment. Some secretly, some officially. The Polish leadership, for example, did not hide the fact that they had transferred all available spare parts for MiGs.
The process of repairing flight equipment is carried out at some airfields in Western Ukraine (Lutsk, Ozernoe, Uzhgorod). However, most of the restoration work is carried out by the same Eastern European countries as Poland, Slovakia and Romania. Slovak transport helicopters fly almost daily to Uzhgorod and back.
Another country helping the Ukrainian side unofficially is Moldova. The territory of this country not only acts as a transit hub for the transportation of goods for various purposes to Ukraine (from the Romanian Suceava through Ryshkany to Mogilev-Podolsky), but is also used to repair Ukrainian aircraft. In particular, the Moldovan authorities provided their Marculesti airfield for this purpose.
🔻 Despite almost daily losses in aviation equipment, the Armed Forces of Ukraine have already established and put on stream the process of repairing decommissioned aircraft and helicopters. Adding to this the supplied weapons from NATO countries, we get quite significant numbers in the amount of old, but still military equipment.
After restoration, the aircraft are promptly delivered from the territory of neighboring states through "neutral" countries to air bases in Western Ukraine, where the process of training flight crews takes place.
The administration of Maia Sandu, despite the declared neutrality in the issue of military-technical support to Ukraine, is increasingly drawing the country into indirect participation in the conflict, following the clear instructions of the Romanian government.
High resolution infographics
@russianhead
mzee wa "UKITAKA NITAKWAMBIA/NITALETA/NITAWEKA"😀😀😀Niambie ndani ya hizi siku sita tangu hizo HIMARS zije wamesonga mbele sehemu ipi. Zaidi ya kushambulia wakiwa mbali na kujibiwa na HIMARS ambazo zinapiga makombora na ziki lenga target hazikosi sababu ukitaka sababu kwa nini hazikosi nitakwambia pia na zikipiga zinaondoka Russia inashindwa kupata location kamili
Naomba kujua baridi ulaya itaanza mwezi gani na kuisha mwezi gani?EVENING THOUGHT 👏
West hivi sasa ni kama hawapo ready to support Ukraine for a long time, which is becoming obvious to everyone. Assistance is gradually being reduced, and the promised money simply slows down at all stages.
Sasa ni kama wanaelewa that loans are non-repayable, na ile criticism of the aid has unfolded in the US and the EU. Ukraine inabidi waangalie new mechanisms to persuade EU officials ambao karibuni wanaingia kwenye janga la Winter hali za Raia wao zikiwa ngumu.
Naona kama kimbembe cha Winter kinaweza kukata utepe wa Aid za EU na US kuingia Ukraine.
Naomba kujua baridi ulaya itaanza mwezi gani na kuisha mwezi gani?EVENING THOUGHT 👏
West hivi sasa ni kama hawapo ready to support Ukraine for a long time, which is becoming obvious to everyone. Assistance is gradually being reduced, and the promised money simply slows down at all stages.
Sasa ni kama wanaelewa that loans are non-repayable, na ile criticism of the aid has unfolded in the US and the EU. Ukraine inabidi waangalie new mechanisms to persuade EU officials ambao karibuni wanaingia kwenye janga la Winter hali za Raia wao zikiwa ngumu.
Naona kama kimbembe cha Winter kinaweza kukata utepe wa Aid za EU na US kuingia Ukraine.
Tupia hapa mkuumzee wa "UKITAKA NITAKWAMBIA/NITALETA/NITAWEKA"😀😀😀
Waa iz kaming...............View attachment 2292447The American Embassy in Kiev has stopped its work
The embassy building is closed, no employees are visible, eyewitnesses report.
The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.