Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji92][emoji92][emoji95] It has been obvious for years that European economies are completely dependent on cheap Russian energy. So deciding to embargo Russian energy is arguably the most brain dead decision made in human history.[emoji860][emoji298]️[emoji298]️
 
.
Screenshot_20220716-191055.jpg
 
Mkuu lakini kumbuka Merikani inaweza kuwa ina mpago hatarishi zaidi usije kuta amekwisha wapatia
makombora ya masafa marefu zaidi ili kushambulia daraja la KERCH - USA/UK na jeshi la Zelensky wako obsessed sana na daraja hili, wamepania kutumia mbinu zozote zile mradi livunjwe - sioni sababu kubwa ya kuwaogopesha Wamerikani mpaka kufikia hatua ya kufunga ofisi ya kibalozi unless wana mpango wa kuwasaidia jeshi la Ukraine kuvunja daraja la KERCH kwa kutumia makombora ya kuzamisha Meli au kuvurumisha makombora kuelekeza St. Peterburg au Moscow - hilo likitokea Zelensky na Biden watakuwa wamevuka/cross redline hata balozi ikihamia Poland itashambuliwa - Putin hana mchezo hata kidogo.

Personally I believe kuna kitu kibaya zaidi kinasukwa nyuma ya pazia sio masuala ya HIMARS kupiga military designate targets in Eastern Ukraine-hilo haliwezi kuwafanya Wamerikani wafunge Balozi fasta na kusepa - my opinion.

Ukisoma makubaliano ya viongozi wa NATO ya Februari baada ya Putin kutangaza SMO Ukraine, ndipo utaelewa. Walikusudia kwenda kwa hatua:

1. Diplomasia 2. Siasa 3. Uchumi 4. Jeshi (vita)

Read post #461 (24 Feb, 2022)
 
😂😂😂😂😂Mpaka hapa ni KO one vs wao.

Coz kuna fact nyingine ilipostiwa kwamba kulikua na watu wanachukua data mtandaoni alafu wanawablemu Ukraine msemaji wao aksema kuna screpa na blablaa zingine.

Kwa wakati ule sikua na time lazima ningejibu Maana ndio inayoshabiiana na ubishani wa jana.

Alafu mimi ndio nikaonekana mwehu 🙌🙌🙌

Ila sio kesi ndio utamu wa battle.
Ukweli haukai mbali siku zote.
Una jichoresha saaaana we mwanamke, hii sio mara ya kwanza. Mihemko inakupeleka puta, em ji-control kama mtu mzima uliyeota nyonyo.

Acha battle za vitu usivyovijua, chukua slide hizi ukajifunze usome uongeze maarifa. Kichwa kikijaa walau kidogo sasa urudi kuzungumza ukiwa na la kushika.

Screenshot_20220716-191850-01.jpeg

Screenshot_20220716-191955-01.jpeg

Screenshot_20220716-192008-01.jpeg

Screenshot_20220716-192119-01.jpeg

Kasome, ujifunze, uelewe. Kila neno unalotumia ulijue maana ake. So unapozungumza ujue unazungumza nini.

Now unajionesha Pro-russia pekee mweye mihemko yake! Unahangaika na watu(anonymous) nyuma ya keyboard, Zinakutosha kweli? Ulikumbuka hata kula we binadam? Eti K.O 😂 he he he.

Em pevuka basi walau mpunguze huu utoto. Jitahidi ujue maana halisi sio ya kimazoea ya vitu unavyo vizungumzia kabla ya kuvijengea hoja.

Other wise vile ulivyo hisi jana watu wamekuona, utaendelea kua hivyo. Jadiliana na watu kwa lengo la kujifunza sio kushinda mazungumzo.
 
By November, the five largest economies of Southeast Asia: the Philippines, Malaysia, Indonesia, Singapore and Thailand, will sign an agreement on the integration of their mobile payment systems. This will make cross-border transfers much more efficient and will contribute to the development of trade in ASEAN countries.

Payments will be made in foreign currency by regional banks by direct exchange between currency pairs without using the US dollar.
 
Maelekezo yameshatoka scale inaongezeka toka mabomu 3000 hadi kwa siku hadi mabomu 10000 [emoji1787]View attachment 2293327
Kinachokatisha tamaa jamaa anamwaga bom km zote tena kutoka maeneo tofaut na haziish na kila tukitafuta kichaka ambacho amezificha ili tulipue bilabila,

Au kazificha ndani ya Kremlin [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ukisoma makubaliano ya viongozi wa NATO ya Februari baada ya Putin kutangaza SMO Ukraine, ndipo utaelewa. Walikusudia kwenda kwa hatua:

1. Diplomasia 2. Siasa 3. Uchumi 4. Jeshi (vita)

Read post #461 (24 Feb, 2022)
Yaani una maanisha London Au New York au Berlin au Paris wapo Tayari miji Yao iharibiwe na mabomu ya nuclear kisa tu kumfurahisha Zelensky eti waonekane wanamtetea. Are you serious mkuu?
 
By November, the five largest economies of Southeast Asia: the Philippines, Malaysia, Indonesia, Singapore and Thailand, will sign an agreement on the integration of their mobile payment systems. This will make cross-border transfers much more efficient and will contribute to the development of trade in ASEAN countries.

Payments will be made in foreign currency by regional banks by direct exchange between currency pairs without using the US dollar.
Hali ya sasa kwa mataifa mengi ni kama Washington is now being told that they are no longer to tolerate being told to choose sides, waendeshe vipi mambo yao and rightly so.

US nae ni kama anafanya kusudi kuto-kuelewa au anashindwa kuelewa kua win-win cooperation is the future. If they (US) continue to pursue their zero-sum game mentality they will be isolated for sure.

ASEAN countries hao wana ondoka taratibu.
 
Mkuu lakini kumbuka Merikani inaweza kuwa ina mpago hatarishi zaidi usije kuta amekwisha wapatia
makombora ya masafa marefu zaidi ili kushambulia daraja la KERCH - USA/UK na jeshi la Zelensky wako obsessed sana na daraja hili, wamepania kutumia mbinu zozote zile mradi livunjwe - sioni sababu kubwa ya kuwaogopesha Wamerikani mpaka kufikia hatua ya kufunga ofisi ya kibalozi unless wana mpango wa kuwasaidia jeshi la Ukraine kuvunja daraja la KERCH kwa kutumia makombora ya kuzamisha Meli au kuvurumisha makombora kuelekeza St. Peterburg au Moscow - hilo likitokea Zelensky na Biden watakuwa wamevuka/cross redline hata balozi ikihamia Poland itashambuliwa - Putin hana mchezo hata kidogo.

Personally I believe kuna kitu kibaya zaidi kinasukwa nyuma ya pazia sio masuala ya HIMARS kupiga military designate targets in Eastern Ukraine-hilo haliwezi kuwafanya Wamerikani wafunge Balozi fasta na kusepa - my opinion.
Hicho ulichokisema kinaweza kuwa miongoni mwa sababu pia, japo zote (Zababu zangu na zako) bado nidhahania tu kwasababu bado hazijatokea.

Ila Ukraine ikitaka iuone moto halisi wa Urusi basi ijaribu hata kulikwaruza hilo daraja kwa bomu,
Gharama ya daraja inaweza sababisha ikulu ya Ukraine ikatoweka kabisa katika uso wa dunia. Naamini hata zelensky analijua hili na ndo maana anasita sana kurusha makombora kuelekea kwenye hilo daraja, japo hata walio mpa silaha walimuonya azitumie ajuavyo ila zisivuke nje ya Ukraine na kwenda ndani ya mipaka ya Urus.

Muongope sana mtu mkimya na asie ongea sana kama V.putin akitamka 6 haiwezi badilishwa kuwa 9 na hapo ndo utaona moto wa Mtu mkimya ulivyo.

Narudia sana: Ogopa sana Watu wakimya na wavivu wa kuongea sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Siasa za US za kitoto mno... Shughuli ilipoanza walikimbia hapo Kiev, later wakarudi na sasa wana-amsha tena. Utafikiri kijibint kikicho chumbiwa bado hakijabalekhe, kinaenda kwa bwana mpya ila kinakumbuka deko za babae. Ukiki-nyanyulia mkono tu mbio kimeondoka.

US anazidi kujivua shati, anazidi kujionesha vile asivyo faa kutegemewa. Juzi sijui jana katangaza kurejea kushirikiana na Urusi kwenye Interrnational SS. Wakati huo huo wanae wa EU kawa mezesha sumu kiasi kwamba wasisikie chochote kuhusu Russia kwao ni takataka.

US mzee wa fursa na kuwaingiza chaka wenzie, anatuma silaha Ukraine wakadanje vizuri at the same time ye anakimbia eneo la tukio. WTF with Ukrainians? Mbona wanageuzwa geuzwa kiasi hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23]INATIA AIBU SANA MKUU.

Na hii operation imekuja kutufungua macho kuwa "Kumbe USA nae huwa anakimbia moto wa silaha"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani huyu huyu USA alie na base nyingi za kijeshi duniani ndo wakukimbia ardhi yake na kuacha majengo yakiwa tupu kweli[emoji23][emoji23]

Huyu huyu USA aliepeleka vikosi Cuba na Kongo kwajili ya kuwalinda raia wake wasiuwawe vitani ndo wakukimbia ubalozi wake kweli?[emoji23][emoji23]

Huyu huyu USA ambae bajeti yake tu ya wizara ya ulinzi nisawa na bajeti ya nchi flani flani ndo anakimbia ubalozi wake na kuamru raia wake wakimbie kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi ndugu zangu Mna uhakika anae sababisha hizi mifarakano ya huyu Super power na allies wake ni Russia tu au kuna wengine walio nyuma ya Russia[emoji23]

Sasa kama operation tu inamkimbiza kimbiza hivi kama mtu anae halisha je siku putin aki upgrade kwenda kwenye vita kamili si wa USA watakimbilia Africa kabisa kwa jinsi wanavyo iogopa Urusi[emoji23][emoji23].

Ukiwa na baba anae ogopwa mtaani kama Putin anavyo ogopwa na westerners + Americans unaweza mpiga makofi hata mtendaji wako na bado akakupitisha kwenye usahili wa SENSA[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila la kheri wakuu katika Zoezi lenu la usahili wa Sensa litakaloanza wiki ijayo. Pro-Russia kwa uwezo wenu wa kujenga hoja na akili zenu zilivyo smart naamini hata huko kwenye SENSA Pro-West mtawagalagaza sana.
#MIMI NIKIHESABIWA[emoji635]
#WEWE UKAHESABIWA[emoji635]
WALE WAKA HESABIWA[emoji635]
#TUTAKUWA TUMESABIWA WOTE[emoji635]

MWISHO KABISA: I STAND WITH RUSIAA [emoji635]
 
Hali ya sasa kwa mataifa mengi ni kama Washington is now being told that they are no longer to tolerate being told to choose sides, waendeshe vipi mambo yao and rightly so.

US nae ni kama anafanya kusudi kuto-kuelewa au anashindwa kuelewa kua win-win cooperation is the future. If they (US) continue to pursue their zero-sum game mentality they will be isolated for sure.

ASEAN countries hao wana ondoka taratibu.
Kunufaishana ndio mpango mzima.

Lkn kwa haya yanayoendelea na kwa namna west wanavyofanya maamuz najikuta nashangaa kuwa taarifa tunazotangaziwa si sahih au west wana malengo makubwa zaid ndio maana wamechagua subra.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]INATIA AIBU SANA MKUU.

Na hii operation imekuja kutufungua macho kuwa "Kumbe USA nae huwa anakimbia moto wa silaha"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani huyu huyu USA alie na base nyingi za kijeshi duniani ndo wakukimbia ardhi yake na kuacha majengo yakiwa tupu kweli[emoji23][emoji23]

Huyu huyu USA aliepeleka vikosi Cuba na Kongo kwajili ya kuwalinda raia wake wasiuwawe vitani ndo wakukimbia ubalozi wake kweli?[emoji23][emoji23]

Huyu huyu USA ambae bajeti yake tu ya wizara ya ulinzi nisawa na bajeti ya nchi flani flani ndo anakimbia ubalozi wake na kuamru raia wake wakimbie kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi ndugu zangu Mna uhakika anae sababisha hizi mifarakano ya huyu Super power na allies wake ni Russia tu au kuna wengine walio nyuma ya Russia[emoji23]

Sasa kama operation tu inamkimbiza kimbiza hivi kama mtu anae halisha je siku putin aki upgrade kwenda kwenye vita kamili si wa USA watakimbilia Africa kabisa kwa jinsi wanavyo iogopa Urusi[emoji23][emoji23].

Ukiwa na baba anae ogopwa mtaani kama Putin anavyo ogopwa na westerners + Americans unaweza mpiga makofi hata mtendaji wako na bado akakupitisha kwenye usahili wa SENSA[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila la kheri wakuu katika Zoezi lenu la usahili wa Sensa litakaloanza wiki ijayo. Pro-Russia kwa uwezo wenu wa kujenga hoja na akili zenu zilivyo smart naamini hata huko kwenye SENSA Pro-West mtawagalagaza sana.
#MIMI NIKIHESABIWA[emoji635]
#WEWE UKAHESABIWA[emoji635]
WALE WAKA HESABIWA[emoji635]
#TUTAKUWA TUMESABIWA WOTE[emoji635]

MWISHO KABISA: I STAND WITH RUSIAA [emoji635]
[emoji23]

Kwingine anapeleka jeshi lilinde Raia wake, pale Ukraine anawaambia watoke chap, kwamba hakuna ndege itakayo enda kuwaokoa.

Life tam sana ase, kila Boss ana boss wake, kila mbabe ana mbabe wake.
 
Back
Top Bottom