Mabomu yakija kuwalipukieni na kuwafukunyueni bongo zenu, mm tayari nimeshawatahadharisheni ilee kitambo. Adios! Naenda zangu Planet Mars aboard SpaceX!Yaani una maanisha London Au New York au Berlin au Paris wapo Tayari miji Yao iharibiwe na mabomu ya nuclear kisa tu kumfurahisha Zelensky eti waonekane wanamtetea. Are you serious mkuu?
Noted!without using the US dollar.
Una jichoresha saaaana we mwanamke, hii sio mara ya kwanza. Mihemko inakupeleka puta, em ji-control kama mtu mzima uliyeota nyonyo.
Acha battle za vitu usivyovijua, chukua slide hizi ukajifunze usome uongeze maarifa. Kichwa kikijaa walau kidogo sasa urudi kuzungumza ukiwa na la kushika.
View attachment 2293334
View attachment 2293336
View attachment 2293337
View attachment 2293338
Kasome, ujifunze, uelewe. Kila neno unalotumia ulijue maana ake. So unapozungumza ujue unazungumza nini.
Now unajionesha Pro-russia pekee mweye mihemko yake! Unahangaika na watu(anonymous) nyuma ya keyboard, Zinakutosha kweli? Ulikumbuka hata kula we binadam? Eti K.O 😂 he he he.
Em pevuka basi walau mpunguze huu utoto. Jitahidi ujue maana halisi sio ya kimazoea ya vitu unavyo vizungumzia kabla ya kuvijengea hoja.
Other wise vile ulivyo hisi jana watu wamekuona, utaendelea kua hivyo. Jadiliana na watu kwa lengo la kujifunza sio kushinda mazungumzo.
Nasema hivi, ogopa sana mtu ambaye ameamua ^enough is enough!^ Hii haijalishi ni mwongeaji kama Hitler ama mkimya kama Mussolini.Narudia sana: Ogopa sana Watu wakimya na wavivu wa kuongea sana.
Hali ya sasa kwa mataifa mengi ni kama Washington is now being told that they are no longer to tolerate being told to choose sides, waendeshe vipi mambo yao and rightly so.
US nae ni kama anafanya kusudi kuto-kuelewa au anashindwa kuelewa kua win-win cooperation is the future. If they (US) continue to pursue their zero-sum game mentality they will be isolated for sure.
ASEAN countries hao wana ondoka taratibu.
Sina hakika kama ni "subra", kwangu naona kama hana la kufanya. Nawaza endapo akiamua kuji'stress zaidi ya hapo alipofika hali itazidi kua ngumu zaidi.Kunufaishana ndio mpango mzima.
Lkn kwa haya yanayoendelea na kwa namna west wanavyofanya maamuz najikuta nashangaa kuwa taarifa tunazotangaziwa si sahih au west wana malengo makubwa zaid ndio maana wamechagua subra.
Wamarekani wabishi kama nini - vyombo vyao vya habari vimekwisha kanusha kwa kusema kwamba picha hizo ni fake!!Machuma chuma yao yamebondwa na Russia
Ungemuuliza aliye-iendeleza nadhani angekupa majibu mazuri.Hii mada bado tu? Mbona kama tulishaisawazisha?
Usha andaa 'Ungo' sio 😂Mabomu yakija kuwalipukieni na kuwafukunyueni bongo zenu, mm tayari nimeshawatahadharisheni ilee kitambo. Adios! Naenda zangu Planet Mars aboard SpaceX!
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🇹🇿[emoji23][emoji23][emoji23]INATIA AIBU SANA MKUU.
Na hii operation imekuja kutufungua macho kuwa "Kumbe USA nae huwa anakimbia moto wa silaha"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani huyu huyu USA alie na base nyingi za kijeshi duniani ndo wakukimbia ardhi yake na kuacha majengo yakiwa tupu kweli[emoji23][emoji23]
Huyu huyu USA aliepeleka vikosi Cuba na Kongo kwajili ya kuwalinda raia wake wasiuwawe vitani ndo wakukimbia ubalozi wake kweli?[emoji23][emoji23]
Huyu huyu USA ambae bajeti yake tu ya wizara ya ulinzi nisawa na bajeti ya nchi flani flani ndo anakimbia ubalozi wake na kuamru raia wake wakimbie kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndugu zangu Mna uhakika anae sababisha hizi mifarakano ya huyu Super power na allies wake ni Russia tu au kuna wengine walio nyuma ya Russia[emoji23]
Sasa kama operation tu inamkimbiza kimbiza hivi kama mtu anae halisha je siku putin aki upgrade kwenda kwenye vita kamili si wa USA watakimbilia Africa kabisa kwa jinsi wanavyo iogopa Urusi[emoji23][emoji23].
Ukiwa na baba anae ogopwa mtaani kama Putin anavyo ogopwa na westerners + Americans unaweza mpiga makofi hata mtendaji wako na bado akakupitisha kwenye usahili wa SENSA[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la kheri wakuu katika Zoezi lenu la usahili wa Sensa litakaloanza wiki ijayo. Pro-Russia kwa uwezo wenu wa kujenga hoja na akili zenu zilivyo smart naamini hata huko kwenye SENSA Pro-West mtawagalagaza sana.
#MIMI NIKIHESABIWA[emoji635]
#WEWE UKAHESABIWA[emoji635]
WALE WAKA HESABIWA[emoji635]
#TUTAKUWA TUMESABIWA WOTE[emoji635]
MWISHO KABISA: I STAND WITH RUSIAA [emoji635]
Mwamba una maneno yenye kukera sana upande wa pili🤭😁😁🤭[emoji23]
Kwingine anapeleka jeshi lilinde Raia wake, pale Ukraine anawaambia watoke chap, kwamba hakuna ndege itakayo enda kuwaokoa.
Life tam sana ase, kila Boss ana boss wake, kila mbabe ana mbabe wake.
PRO-NATO hawajielewi mkuu, wamesahau walivyokuwa wakitupigia makelele humu ooh javelin...ooh MANPAD zaenda maliza kila kitu. Tulichoshuhudia baada ya kupelekwa MANPAD na Javelin ni Ukraine kupoteza zaidi ardhi yake. Siku hizi Javelin na MANPAD hazitajwi tena😂😂🤣🤣Kuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei 🤭
Lipotezeeni Hilo jambo ila dada yangu Ngaboru dah!!!..............Ungemuuliza aliye-iendeleza nadhani angekupa majibu mazuri.
Maisha mafupi mkuu, acha tu-enjoy show za kibabe [emoji23]Mwamba una maneno yenye kukera sana upande wa pili[emoji2960][emoji16][emoji16][emoji2960]
Huwa napotezea saaana tu bro! Jana nilijibu text moja tu kisha nikakausha kiume sasa leo nimelikuta tena vidole vikakosa subra 🤪🤪🤪.Lipotezeeni Hilo jambo ila dada yangu Ngaboru dah!!!..............
Kamanda Qibsyl ungeipotezea kimya kimya lakini dUh!!!!!............
Ninyi wawili ingetokea mmefunga ndoa au uchumba au hatua za awali za mitongozo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]............
Wana tungesema Vimeumana...............
Yaani chuma kwa chuma msuguano wako ni Cheche au moto.
Kweli ninyi ni pro Russia...................
Yaani ng'adu kwa ng'adu, fact kwa fact kudadeki, Hila hii battle yenu..... Hiiiiii in magufuli voice
Naomba kwa niaba ya pro Russia wote, Hili swala liishe na muanze kushambulia pro Nato waliopo kule Isongole Ileje
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Eti "hiiiiiiiii" in Meko Voice bagheshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lipotezeeni Hilo jambo ila dada yangu Ngaboru dah!!!..............
Kamanda Qibsyl ungeipotezea kimya kimya lakini dUh!!!!!............
Ninyi wawili ingetokea mmefunga ndoa au uchumba au hatua za awali za mitongozo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]............
Wana tungesema Vimeumana...............
Yaani chuma kwa chuma msuguano wako ni Cheche au moto.
Kweli ninyi ni pro Russia...................
Yaani ng'adu kwa ng'adu, fact kwa fact kudadeki, Hila hii battle yenu..... Hiiiiii in magufuli voice
Naomba kwa niaba ya pro Russia wote, Hili swala liishe na muanze kushambulia pro Nato waliopo kule Isongole Ileje
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kabisa Russia na USA wanafahamiana vizuri, yakuwa wote ni maji marefu kuliko hata hizo open records zilizo public kuhusu Military Power zao.Amefanya hivo kwa kuogopa majibu ya Russia baada ya kuvunja onyo alilopewa la kutopeleka Makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza Shambulia ndani ya Russia.
Sasa baada ya kupeleka HIMARS ameona kabisa ashavuka Redline na muda wowote Russia inaweza ika upgrade aina za silaha inazotumia sasa hivi nakwenda kwenye high advanced millitary weapons, ambazo zinaweza isambaratisha USA embassy kama sehemu moja wapo ya USA ndani ya Ukraine.
Hao wababe wa vita duniani (USA&Russia) wanafahamiana vyema kabisa uwezo wao wa kijeshi kuliko mtu/taifa lolote lile duniani. Kwahiyo ukiona USA amekimbia ardhi yake (USA embassy) basi jua kuna harufu kaihisi ya kufanyiwa kitu mbaya na Urusi
Siku tu Ukraine ikijichanganya kutumia hizo HIMARS kurusha kombora likatua kwa bahati mbaya hata pale Crimea Hiyo embassy ya USA itageuka kifusi na magofu.
URUSI HUWA HAIKOPESHI[emoji635]