Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hujatosheka tu na wakimbizi kutoka DRC, Rwanda, Burundi na wale wa Kisomali?!?!?! Wamejaa tele maeneo mbalimbali nchini😂😂😀😁Kwani hawa warembo wa ki ukraine hawawezi kukimbilia uku tz kama wakimbizi maana natamani nikamate kamoja nami ninyandue mkimbizi wa kizungu qmke tena
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🇹🇿Habari yako ingekuwa kweli endapo Russia angetangaza full-scale war. But, mind you, hii ni SMO.
Ulishaona wapi adui anakutandika, then anakulisha?
Ulishaona wapi adui anakwambia toeni watu wenu, nakuja kupiga?
Halafu ni nani anawatumia raia kama ^human shields,^ na pia anazuia ^humatarian corridors^?
Ulishaona wapi adui anawasihi msiendelee na vita, because mtakufa wote?
Ulishaona wapi adui anaijenga nchi yenu baada ya kuipiga?
I mean, ulishaona wapi adui anaendelea kuwaletea mafuta Ulaya plus bidhaa zingine, ilhali ninyi mnampelekea hasimu wake silaha za kumwangamiza?
Shame on you!
Mbona wapo wengi tuuKwani hawa warembo wa ki ukraine hawawezi kukimbilia uku tz kama wakimbizi maana natamani nikamate kamoja nami ninyandue mkimbizi wa kizungu qmke tena
Pro NATO wa mchambawima watampinga Tony Blair.Ukraine war shows West’s dominance is ending, Blair says
The Ukraine war shows that the West’s dominance is coming to an end as China rises to superpower status in partnership with Russia at one of the most significant inflexion points in centuries, former British Prime Minister Tony Blair has said.
The world, Blair said, was at a turning point in history comparable with the end of World War II or the collapse of the Soviet Union: but this time the West is clearly not in the ascendant.
“We are coming to the end of Western political and economic dominance,” Blair said in a lecture entitled “After Ukraine, What Lessons Now for Western Leadership?” according to a text of the speech to a forum supporting the alliance between the United States and Europe at Ditchley Park west of London.
Nisaidie link ya group mkuu
Nataka mkimbizi wa kizungu mzee kama washaanza kuja tz nstue nikamate kamoja nami nioshe jina 😁Hujatosheka tu na wakimbizi kutoka DRC, Rwanda, Burundi na wale wa Kisomali?!?!?! Wamejaa tele maeneo mbalimbali nchini😂😂😀😁
Bro,unajua Sisi wanaume tunapomtaka mwanamke,huwa tunmjaza sifa nyingi na vizawadi vya hovyo kama chips na soda,once akishavua tu alafu 💦 tunaanza kumpiga Chini,kwa visingizio kibao alafu tuna🏃🏃,sasa Huyu Fala Zelensky,ameishatumiwa kachokwa sasa wanamtafutia engo ya kumwacha wakati walimhaidi kwamba watapigana mpaka to the last Ukrainian 😆😆😆Wameanza kuwasaliti sio?[emoji38]
Habari kama hizi ...za Russia mtu m bad[emoji1787]Kweli tunapotea sana . Wajameni leteni habari za vita miji kutekwa vikosi kuzingirwa silaha kuharibiwa viongozi kujiuzulu mateka nk . PUNGUZENI kulumbana tunataka facts. Mf sifahamu Kadyov yupo site gani anafanya nini . Hali ya Kharkiv Snake Island inawasaidiaje Ukraine , Ukweli wa msaada wa Himmars na Russia Wana plano gani erc
[emoji2957][emoji2957]Hawajaanza kuwasaliti. Hapo ni kwamba malengo ya US na NATO yametimia. Hii ni mbinu ya kivita inaitwa ^strategic pause,^ ili kumpumbaza adui.
Soon, utaona kipimo cha HIMARS na silaha zingine nzito nzito kutoka Kiev. It's a matter of time.
Halafu pia, ni namna ya kumfanya Putin asitukatie gesi kwenda Ulaya. Stay tuned!
Sio Bure,Hii ndege kuna wahuni wamefanya yao.
Urusi ...tulikuwa tunafanya kaoperation tu nato wakalalaBlair atakujakukanusha aseme amequotiwa vibaya.
🤭😁😃🤣🤣🤣🤣Habari kama hizi ...za Russia mtu mbad[emoji1787]View attachment 2294537
Hayo ni manyonyaji sio ya kuchekea ndio maana Russia anayabamiza tuWakubwa wanajidai Wana fedha kumbe ni mkopo tupuView attachment 2294570
Meanwhile none talking about it anymore but sovereign debts of Western countries are skyrocketing, Italy's debt to reach 200% in record time, Germany 100%, US 150%,... How are they going to repay it? They won't, this is why the so-called Great Reset was invented, in order to hide an economic/systemic crisis behind an environmental/totalitarian transformation of the state.
Naona ushachoka matim bwawa wa kwetu.Nataka mkimbizi wa kizungu mzee kama washaanza kuja tz nstue nikamate kamoja nami nioshe jina [emoji16]