Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa

Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi

Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Unazungumzia hili chuma au
JamiiForums1613461802.jpg
 
Huyu ni @k254 karudi kivingine 🤣🤣🤣
Em leta makubaliano apa acha kuongea vitu visivyo na uhalisia
Alishindwa akaona wanakufa tu uko akaona qbadirishe msimamo
Eti wqlikubaliana, kama walikubaliana vita si ingekuwa ishaisha, yani watu wengine ata kutoa hoja hamjui, upeo wenu wa kufikiri ni mdogo ndo maana mnahisi Russia yuko mbele kitechnologia,
Kama Ukraine kamjambisha Urusi hivyo usitegemee apigane na Marekan ata siku moja
Ata vita mnaolinganisha ya Marekani na Iraq kucompare na Ukraine na Urusi ni Marekani yuko mamile kibao ya umbali, yani upande wa pili wa dunia kabisa
Af ka Ukraine kako apoapo next door
Russia atashinda ila ni mdhaifu mno, usitegemee atunishane misuri na Ugerumani ata
View attachment 2294772
 
Mrusi atamaliza vita hii akiwa amechoka mno - tayari kashaanza kuomba msaada wa IRAN,, sasa ndugu yangu IRAN naye ana silaha za maana kweli dhidi ya hizo za US na washirika wake.
The end justify the means.....Kama atashinda vita, na hicho ndicho kilichopo, suala la kuchoka halipo...unadhani baada ya vita Ukraine as a nation and state itakuwepo?! Umesikia kinachotokes Sasa huko Ukraine?! Wasaidizi wake wakuu wa huyo Zele wanatimuliwa. Askari in hundreds ' wanatoroka' vita. Sitashangaa Kama jenerali mmoja wa Ukraine ataandaa maasi ya jeshi siku si nyingi zijazo...au 'msaliti' mmoja anaweza kujitokeza na kumfanyizia huyo comedian...let us wait and see....things are not good for Zele and his nationalists
 
The end justify the means.....Kama atashinda vita, na hicho ndicho kilichopo, suala la kuchoka halipo...unadhani baada ya vita Ukraine as a nation and state itakuwepo?! Umesikia kinachotokes Sasa huko Ukraine?! Wasaidizi wake wakuu wa huyo Zele wanatimuliwa. Askari in hundreds ' wanatoroka' vita. Sitashangaa Kama jenerali mmoja wa Ukraine ataandaa maasi ya jedhu siku si nyingi zijazo...au 'msaliti' mmoja anaweza kujitokeza na kumfanyizia huyo comedian...let us wait and see....things are not good for Zele and his nationalists
Zelenski ana washauri wa michongo yaani amfukuza kazi mkuu wa usalama wa nchi wakati wa vita!!

Hata hivyo jamaa hakuwahi kuwa jasusi ila alikuwa ni mfanyabiashara na rafiki yake mkubwa Zele.

Ila hivi vitendo vya sasa vya bwana Zelenski vinatia wasiwasi kuhusu mstakabali wa Ukraine kivita.

Tatizo kubwa ni kwamba Russia ina majasusi wengi sana na wapo katika nchi karibia zote zinoizunguka.
 
Mkuu
Kuna mchambuzi wa kiroho anasema kuwa Russia ndio waisrael HALISI na wanapigania dhidi ya waisrael feki hao waliopo hapo NCHI ya israel wakiiisapoti NATO na Marekani!!!na eti Russia ambao ni waisrael HALISI watashinda vita eti Mungu you pamoja nao!!!

Kuna ukweli katika Hayo!!!!au ni porojo za kijiweni tu!!?
Wana wa Israel ni watu wote waaminiao katika bwana

Hivyo basi kuna waisrael kutoka Russia England Argentina Togo Singapore china burundi Yugoslavia Tanzania Botswana Finland N.k

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
The end justify the means.....Kama atashinda vita, na hicho ndicho kilichopo, suala la kuchoka halipo...unadhani baada ya vita Ukraine as a nation and state itakuwepo?! Umesikia kinachotokes Sasa huko Ukraine?! Wasaidizi wake wakuu wa huyo Zele wanatimuliwa. Askari in hundreds ' wanatoroka' vita. Sitashangaa Kama jenerali mmoja wa Ukraine ataandaa maasi ya jedhu siku si nyingi zijazo...au 'msaliti' mmoja anaweza kujitokeza na kumfanyizia huyo comedian...let us wait and see....things are not good for Zele and his nationalists
Usitegemee ushindi wa mezani. Kwa taarifa yako, Zelensky analindwa na makomandoo 34 wa US na NATO. Ndiyo maana haogopi kwenda frontline, na wala Russia hamfanyi kitu.

Kwamba wanajeshi wa Ukraine wanatorokea kwa Warusi, hizi ni propaganda za kitoto sana. Crimea soon inarudi. Donbas mmeshindwa kuichukua.
 
Wana wa Israel ni watu wote waaminiao katika bwana

Hivyo basi kuna waisrael kutoka Russia England Argentina Togo Singapore china burundi Yugoslavia Tanzania Botswana Finland N.k

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
But Wayahudi (aka wana wa Israeli) walimsulubisha Kristu. Hatari!
 
Zelenski ana washauri wa michongo yaani amfukuza kazi mkuu wa usalama wa nchi wakati wa vita!!

Hata hivyo jamaa hakuwahi kuwa jasusi ila alikuwa ni mfanyabiashara na rafiki yake mkubwa Zele.

Ila hivi vitendo vya sasa vya bwana Zelenski vinatia wasiwasi kuhusu mstakabali wa Ukraine kivita.

Tatizo kubwa ni kwamba Russia ina majasusi wengi sana na wapo katika nchi karibia zote zinoizunguka.
Ulitaka afanyaje?

Huyo mkuu wa ukachero wa Ukraine alikuwa anawasiliana moja kwa moja na askari wa Russia na kuwapatia locations na plans zao.

Askari wengi wa Ukraine waliokataa kujisalimisha kwa Russia walichomewa na jamaa wakauawa ama kukamatwa.

Ameshiriki katika black market, ubadhirifu wa fedha na vifaa vya misaada, na pia kupanga njama za kumwondoa Zelensky.

Ameshiriki kuratibu silaha za NATO kutelekezwa kwa askari wa Russia kwa mapatano ya kufidiwa yeye binafsi na watu wake wa karibu.
 
Back
Top Bottom