Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nawakumbusha tu ili baridi mnaloliona makete,makambako na mbeya ni cha mtoto kwa baridi la ulaya linalokuja kule baridi ni kali inapelekea mpaka watu wanaganda na kufa kabisa na barafu sasa ebu fikiria apo gesi uwa inakuwepo na watu wanakufa na barafu je tukisema tufunge gesi yetu sisi board member wa kremlin[emoji16][emoji16] hali itakuaje uko ulaya ..
 
Ni mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.

Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.

Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"

Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
@DALA kherson naijua kama ipo tofauti na KHARKIV
ila nawe shukran pia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakumbusha tu ili baridi mnaloliona makete,makambako na mbeya ni cha mtoto kwa baridi la ulaya linalokuja kule baridi ni kali inapelekea mpaka watu wanaganda na kufa kabisa na barafu sasa ebu fikiria apo gesi uwa inakuwepo na watu wanakufa na barafu je tukisema tufunge gesi yetu sisi board member wa kremlin[emoji16][emoji16] hali itakuaje uko ulaya ..
Yaani tutafunga tu MKUU wacha wafe c wameyataka wenyewe
RUSSIA wasipopiga pini koki kipindi cha baridi ntamuona PUT IN bwege sanaa[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.

Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.

Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"

Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
Vita vya Russia na Ukraine vimefanya tumeijua Ukraine hadi miji yote na vitongoji vyake, licha ya majina kuwa magumu kama gomegome. Mfano Severodonetsk. Dah!
 
Wameanza kusema ukweli

‼️🇩🇪🇺🇦The head of the German Defense Ministry, Kristine Lambrecht, admitted that the Bundeswehr's resources to help Ukraine are running out

"We can no longer give away much [from the reserves] of the Bundeswehr, I will say this very clearly''-Die Welt‼️
 
‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️ Summary from the front from the the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️ in the Kharkiv direction, the Armed Forces of the Russian Federation carried out offensive actions in the directions of Seludy and Gusarovka, also in this area, the Russian Aerospace Forces carried out an air strike;

▪️ Russian troops are conducting reconnaissance operations in the Slavyansk direction;

▪️ In the Bakhmut direction, the Russian army conducted assault operations in the direction of Pokrovsky, gained a foothold.
 
Wameanza kusema ukweli

[emoji845][emoji629][emoji1255]The head of the German Defense Ministry, Kristine Lambrecht, admitted that the Bundeswehr's resources to help Ukraine are running out

"We can no longer give away much [from the reserves] of the Bundeswehr, I will say this very clearly''-Die Welt[emoji845]
Wanatafuta huruma tuwafungulie koki hawa UMBWA
hao UMBWA niwakuwafungia tuu ili wauane huko kwao
Kiukweli nitakufa naamani sana kama nitashuhudia civil war ndani yamataifa ya EU kabla sijafa
RUSSIA kamatia hapo hapooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita vya Russia na Ukraine vimefanya tumeijua Ukraine hadi miji yote na vitongoji vyake, licha ya majina kuwa magumu kama gomegome. Mfano Severodonetsk. Dah!
Hilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂

Haya majina bila kuangalizia ngumu kutoboa 🥱

Yapo mengine heavy JF kungekuwa na uwezo wa kutuma Voice note tungepeana Challenge.
Mfano
1. Zaporizhzhia
2. Kryvyi Ri
3. Khmelyntskyi
4. Starokostiantyniv
5. Yuzhnoukrainsk
6. Bilhorod-Dnistrovskyi

He he he (Bila kuangalizia michapio haikwepeki)
 
Pa1 kaka [emoji1666]

[emoji23][emoji23][emoji23] Dah, ahya bn.
Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.

Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
 
Nawakumbusha tu ili baridi mnaloliona makete,makambako na mbeya ni cha mtoto kwa baridi la ulaya linalokuja kule baridi ni kali inapelekea mpaka watu wanaganda na kufa kabisa na barafu sasa ebu fikiria apo gesi uwa inakuwepo na watu wanakufa na barafu je tukisema tufunge gesi yetu sisi board member wa kremlin[emoji16][emoji16] hali itakuaje uko ulaya ..
Boss, wakati maombi ya wengi yanakusudia Ukraine na Ulaya watokeze salama kwenye vita hivi, naona wewe unaomba vinginevyo, huh!
 
Ni mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.

Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.

Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"

Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
*KHARKOV CITY ipo kwenye jimbo la KHERSON

*KHARKIV CITY ipo kwenye jimbo la KHARKIV.

Kwa iyo ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Hilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂

Haya majina bila kuangalizia ngumu kutoboa 🥱

Yapo mengine heavy JF kungekuwa na uwezo wa kutuma Voice note tungepeana Challenge.
Mfano
1. Zaporizhzhia
2. Kryvyi Ri
3. Khmelyntskyi
4. Starokostiantyniv
5. Yuzhnoukrainsk
6. Bilhorod-Dnistrovskyi

He he he (Bila kuangalizia michapio haikwepeki)

Mbona ujengewe sanamu mkuu (tena ya dhahabu tupu)!
 
Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.

Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Yule mwanamama governor wa benki kuu ya urusi ni genius, akili zake sio za kawaida.
 
Back
Top Bottom