Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
๐๐๐NYETO BANA inakuhamisha akili kabisa...๐๐๐๐๐
Issue ya Nyeto walio salimika katika Jinsia yetu ni wachache sana. Ila sasa ukiwaza hali mtu anayo kua nayo wakati wa kufanya hilo tukio haswa wakati wa kupiga lile bao la ushindi kisha anapata ujasiri wa kuliropoka mbele ya kadamnasi tena anatoa msisitizo kua ratiba iko fixed ase hicho ni kipaji maalum kiheshimiwe kwa kweli.
Ukienda ndani utaona matendo ya mtu yanavyo kua reflected kwenye ubongo wake. Nyeto ni sex ya kufikirika. Unaweza sex hata na mke wa BoJo ๐ kadri upendavyo.
The same na kwake "Imaginations" zimetawala bongo yake. Soma sentence zake utaona hiyo kituu. Kukuru kakara huu mzozo unaumbua sana watu wenye mahaba.