Million 20 wapi mkuu,Dunia mzima?Maana overall in their plans wanataka kubakisha only 500 million humans Duniani by 2030.Herd culling ni extremely intense mkuu na inaendelea as we speak.
Masharti yetu sisi warusi weupe na weusi yanajulikanaVita hii haitatoa mshindi, cha msingi si muda mrefu wote wawili watakaa mezani wayamalize kiadabu kwa pande zote mbili.
Sina hakika ya figures zako,na nikiri kwamba sijawahi kuziona,ila kama una source naomba na mimi nizione.🙏Kila agent amepewa target yake. Corona agent imepewa target ya 20 million. WW3 imepewa target ya 230 million (3% of the world's population kama ilivyokuwa WW2).
Then kuna agents zingine harsher zaidi kadiri siku zinavyoyoyoma.
Mrusi anapigwa weweeee. Acha hizoooVita hii haitatoa mshindi, cha msingi si muda mrefu wote wawili watakaa mezani wayamalize kiadabu kwa pande zote mbili.
Kuna nani yule member alisema anakoshwa vilivyo na habari hizi za kudunguliwa na kuharibiwa kwa silaha za NATO! HAHAHAHA🇷🇺🇺🇦⚡ A strike of high-precision weapons in the Odessa region destroyed storage facilities with ammunition for weapons supplied by the United States and Europe - Russian Defense Ministry
WW2 inakadiriwa walikufa (the same figure inayotafutwa sasa ya) 3% = 70-85 million people wakati huoSina hakika ya figures zako,na nikiri kwamba sijawahi kuzika,ila kama una source naomba na mimi nizione.🙏
UN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea
Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.
View attachment 2296052
Nukta nyingine muhimu ya shogaism na bashaism hujaitaja mkuu. Samahani kwa usumbufu lakini. Najua Pro-Putin mlivyo busy sana kwa sasa 🙂Masharti yetu sisi warusi weupe na weusi yanajulikana
DPR na LPR haya tayari yashakua mataifa huru na lazma KIEV itambue hili suala kwenye katiba yao
MAURIOPOL KHARKIV ZAPORINZHE namaeneo mengine yatakayotwaliwa yatakua sehemu ya RUSSIA FEDERATION
Pia wasisahau kuandika katiba yakwamba hawatajiunga na upande wowote wakijeshi kutokea MAGHARIBI nakwengine
Pia wasisahau jeshi lao la KIEV litatakiwa lijengwe chini yaungalizi wa KREMLIN
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
its true.. kama angekuwepo angel markel madarakani asingemuwekea vikwazo Russia ata kidogo yule bibi alikuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yake akifikiria hatua ya uchumi iliyofikia germany leo hii waje wa risk kwa ukraine uchumi wa germany kwa 30% unabebwa kwa cheap energy ya Russia kama unakumbuka kipindi kile 2014 Russia walivyoichukua Crimea matekani alipiga sana kelele germany amwekee vikwazo Russia yule bibi aligomaUbaya na ubovu wa US ni kwamba influence yake inaweza kuwaingiza wengine vitani bila kujali wanajua, hawajui au hawataki.
Mfano mzuri ni mtego alionaswa Germany kuhusu NORD STREAM. Sidhani Marekani ingekubali kuweka vikwazo juu ya bomba hilo kama yeye ndiye angekuwa mnufaika wa gezi ya Russia.
Ukiwa na mamlaka unakuwa na nafasi ya kuwa DJ/MC--mwelekeza matukio.
Jisemee mwenyewe. Wengine tuko kwenye mchakato, as well as Belarus, kuungana na supapawa ya Russia under unbeatable Putin.
warusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale ambapo accuracy yake ni very poor ndiyo maana zinaishia kupiga makazi ya watu badala kulenga maeneo yaliyokusudiwa ya kijeshi.Mrusi anapigwa weweeee. Acha hizooo
Kabisa.warusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale.
Yule bibi ana akili sana siyo I left I zoba lililipoits true.. kama angekuwepo angel markel madarakani asingemuwekea vikwazo Russia ata kidogo yule bibi alikuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yake akifikiria hatua ya uchumi iliyofikia germany leo hii waje wa risk kwa ukraine uchumi wa germany kwa 30% unabebwa kwa cheap energy ya Russia kama unakumbuka kipindi kile 2014 Russia walivyoichukua Crimea matekani alipiga sana kelele germany amwekee vikwazo Russia yule bibi aligoma
NATO wakamsaidie UKRAINE[emoji4][emoji4][emoji4]warusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale ambapo accuracy yake ni very poor ndiyo maana zinaishia kupiga makazi ya watu badala kulenga maeneo yaliyokusudiwa ya kijeshi.
Kiduku sio mwanaume tu ni mwanaMuMeKOPI KUTOKA FESIBUKU.
"HATUNA HURUMA KAMA PUTIN" Kim Jon Un Amuonya Zelensyk na Ukraine...
Korea Kaskazini Imemuonya RaisI Volosmyr Zelensky wa Ukraine kuwa Korea kaskazini haina Huruma kama aliyonayo Rais Putin wa Urusi kwani Pamoja na kuwa na Jeshi Bora na Silaha Hatari Duniani amekuwa akisita kuiangamiza Ukraine na kuchagua kutumia wanamgambo badala ya Red Army Jeshi Rasmi la Urusi.
Kim Amesema.." Tutaigeuza Kyiv kuwa Jangwa na makazi ya nguruwe badala ya Binadamu, hatutatumia hata wiki Moja kumkamata na Kumnyonga Muigizaji kibaraka aliyetumwa kimkakati Ulaya kusudi aendeleze mikakati ya Unyonyaji wa marekani kwa Bara hilo"...
"Anazungumzia Vitendo?, Mchekeshaji anaweza kutenda nini mbele ya Korea yenye Makombora yenye kufika Washington bila kuonekana?, Kyiv itakuwa Majivu, hautabaki hata Mfupa wa MTU, Tutaigeuza malisho ya nguru, Na ajaribu...Aliyemtuma alishashashindwa na Korea Tangu Babu Yangu Mwenyekiti Kim Ill Sung akiwa na Upanga wake hapa, Leo Kyiv?"...
Korea Kaskazini Imefikia Hatua ya kutaka kuishambulia Ukraine kwa Makombora ya Nyuklia baada ya Rais Zelensyk Kutishia Kuwa Ataiwajibisha Korea kaakazini na Rais wake Kim Jong Un baada ya Taifa hilo la Kijamaa kulitambua Taiga Jipya la Jamhri ya Donetsk kuwa NCHI huru baada ya kumegwa na Russia kutoka Ukraine...
Hapa Putin na Urusi wamekosea sana.
Hii itawavunja moyo ma Spy wao wengine walioko ktk cycle za nchi nyingine
Amekiuka miiko, kila kazi Ina miiko yake
Uwezo wa kuipiga Ukraine ata kwa dk60 tu russia anao sema anataka mteseke wote kama mnavyoteseka muda huu vilio kila kona ulaya uko mafuta bei juu gesi imepelekea mpaka ndugu zenu poland wameanza kuokota kuni yani sikuwai kufikiria kama kuna siku uerope watafikia hatua kama wanayopitia muda huu tuliaminishwa ulaya kuna watu smart wanamipango ya miaka 50 mbele mara hoo wale watu ni magenius mainstream media zilitu brainwash sana tunamshukuru Russia kutuonesha uhalisia wa wazungu .....Viva putin nasisi pro russia tunataka vita iende mdogo mdogo alafu tuone nani atahumia zaidwarusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale ambapo accuracy yake ni very poor ndiyo maana zinaishia kupiga makazi ya watu badala kulenga maeneo yaliyokusudiwa ya kijeshi.