Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Game changer kwa vibaraka wake sio kwa mcheza Chess nguli toka Kremlin...Anasukuma kete tu Gayden anazidi kwenda chaka mwishowe atakimbilia mkoba wa Nuclear ndio atajua hajui 😂😂😂
Mara paap anakuta kwenye mkoba wa nuclear hamna kitu zaidi ya ile midoli ya nanhii. Maana hawa magasho hawakawii kujinanhii kila wanakoenda 🤮🤮🤮...
 
Hahahah kumbe spy wa kirusi kawawekea Toys 😂😂😂
Au wao wenyewe maana wanaume wa west wana husudu sana "Dickson" kuliko "Papuchino". 🤭😂🚶

Wako radhi wakupige mithili ya Nagasaki na Hiroshima ili mradi wajihakikishie uhakika wa "Rungu" dawa ya meno wajisukutue waridhike sheeenzi kabisa hawa 😏🙄
 
Mkubwa ni mkubwa tu, taratiiibu wanaanza kujirudi wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] njaa Haina mbabe


[emoji845] [emoji1099] [emoji635] The European Union is going to allow partially unfreezing the finances of Russian banks that have fallen under sanctions to allow transactions for food trade, European media report[emoji845]
[emoji23][emoji16][emoji23]
RUSSIA ndio maana halisi ya Super Power
Anatoa kipigo ya silaha na kipigo ingine huyu mwamba
kabisa awaambie RUBO ndio iwe pesa yamanunuzi
Ila US anazidi poteza ushawishi mpaka kwashost zake!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichobaki ni kujiunga Brics tu na kuwafurusha wezi wa rasilimali nchini. Wakileta utoto tutawauzia Brics wenzetu haya madini kwa hela nzuri.
[emoji23][emoji16][emoji23]
RUSSIA ndio maana halisi ya Super Power
Anatoa kipigo ya silaha na kipigo ingine huyu mwamba
kabisa awaambie RUBO ndio iwe pesa yamanunuzi
Ila US anazidi poteza ushawishi mpaka kwashost zake!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au wao wenyewe maana wanaume wa west wana husudu sana "Dickson" kuliko "Papuchino". [emoji2960][emoji23][emoji124]

Wako radhi wakupige mithili ya Nagasaki na Hiroshima ili mradi wajihakikishie uhakika wa "Rungu" dawa ya meno wajisukutue waridhike sheeenzi kabisa hawa [emoji57][emoji849]
Shoga Katia mtu mimba kazi ipo, hiki kitu wanaforce ila nature inatake place
IMG_20220719_155201_303.jpg
 
Zelensky kafuta wafakazi 28 zaidi ndani ya serikali yake akidai wana muhujumu kwa kushirikiana na urusi .


Alipofikia ni patamu wanao mjua anawapumzisha halafu badae wamtolee siri zake kirahisi zaidi hafikilii kama ukianza kupangua uongozi wako ni dalili ya kujimaliza kwa badae.



source WION .
 

​

​

GAME OVER EUROPE!​


Russia's state-owned Gazprom does not plan to resume natural gas supplies via Nord Stream 1 after the planned maintenance of the pipeline is completed on July 22. Play stupid games, win stupid prizes.

Game over.

Details to follow . . .
 
Zelensky kafuta wafakazi 28 zaidi ndani ya serikali yake akidai wana muhujumu kwa kushirikiana na urusi .


Alipofikia ni patamu wanao mjua anawapumzisha halafu badae wamtolee siri zake kirahisi zaidi hafikilii kama ukianza kupangua uongozi wako ni dalili ya kujimaliza kwa badae.



source WION .

Amepiga integration na differentiation zote, sasa hili linaloonekana gumu zaidi ndilo angalau option pekee iliyosalia kwake.

Angefanyaje? Because network ya Russians imepenya hadi kule ndanindani kabisa.

Ndiyo maana Russians wanajua wapi kuna depots za silaha, silaha gani zinaandaliwa kwenda vitani, wapi mitambo yao imesetiwa ama kufungwa, mkutano wa kimkakati wa Ukraine unafanyikia wapi, na kadhalika.

Adui wa ndani ni hatari sana. Tena the closest of his best friends. Nasikia kule wameanza kumsafisha na kumnyamazisha eti kwamba huenda si yeye hasa aliye mbaya, ila ofisi yake na subordinates wake ndio wamemharibia.

Mwaka huu nao, kama ule, hakika tutayaona mengi. Jambo la msingi vita viishe mapema huku kwetu mafuta yashuke bei.
 
Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye ajambo.
Well said, kwenye nyanja za uhongaji, rushwa na mambo mengine ya ndio sivyo Biden ni gangwe mahili sana, hata mtoto wake wa kiume kaiga tabia ya baba yake to the letter!!

Just imagine mtoto wa kiume wa Rais J. Biden aliajiriwa ndani ya Serikali ya Zelensky kwenye wadhifa wa juu as if alikuwa ni raia wa Ukraine!! Kinacho shangaza zaidi alikuwa anamiliki vile vile kampuni inayo jishughurisha na masuala ya mafuta na gesi nchini Ukraine. Niliwahi kusoma sehemu kwamba baba yake alipo kuwa Makamu wa Rais Obama,kampuni mashuhuri nchini Uchina iliwahi kumpatia kiasi kikubwa cha hongo ili ampatie Biden ili aipigie debe kampuni ya Kichina kwenye masuala ya tenda Serikalini - yaani familia nzima ya Biden inanuka rushwa!!

La mwisho lililo nishangaza kupitiliza niliwasikia baadhi ya viongozi kutoka third World wakisema kwamba maafisa wa Biden walijaribu kuwashinikiza wakubali kupiga kura kwenye umoja wa mataifa ili waiwekee vikwazo vya kiuchumi Urusi, nchi ambazo ni woga walikubali kwa zile zilizo kataa walitishiwa kunyimwa msaada na adhabu nyingine ambazo hazikufafanuliwa. Hii inadhilisha kwamba kumbe kura nyingi zilizo pigwa kuiwekea vikwazo Urusi zilikuwa zimetokana na hongo ie maigizo.
 
Back
Top Bottom