Ningeshangaa sana Russia kama hiyo gesi wangewarudishia hao manyang'au & mafisadi. Wengi walisema vyema kwamba ni suala la muda tu.
GAME OVER, EUROPE!
Russia's state-owned Gazprom does not plan to resume natural gas supplies via Nord Stream 1 after the planned maintenance of the pipeline is completed on July 22. Play stupid games, win stupid prizes.
Game over.
Details to follow . . .
Unamaanisha wazir mkuu=chancelor???Mambo yanavyo onekana si ajabu Waziri mkuu wa hivi sasa akahachia ngazi, binafsi sioni kama ma major industrialist wa Ujerumani, mfano: Krupp, BASF,VW,Mercedence Benz,BMW etc watakubali kufunga viwanda na watu kukosa ajira ili wamfurahishe Biden - wenye viwanda watashinikiza Waziri mkuu aondolewe madarakani fasta ili kunusuru uchumi wa Ujerumani - my opinion.
Europe kwisha habari yao. Uchumi wao ndio kwisha. Soon tutaanza ku export kuni
GAME OVER, EUROPE!
Russia's state-owned Gazprom does not plan to resume natural gas supplies via Nord Stream 1 after the planned maintenance of the pipeline is completed on July 22. Play stupid games, win stupid prizes.
Game over.
Details to follow . . .
Hahahahaha sasa mtu mashine iko imara ulale naShiga Katia mtu mimba kazi ipo, hiki kitu wanaforce ila nature inatake placeView attachment 2296605
Europe ni Ludewa iliochangamka 😂😂😂Europe kwisha habari yao. Uchumi wao ndio kwisha. Soon tutaanza ku export kuni
Yes.Unamaanisha wazir mkuu=chancelor???
Nadhani ile kauli ya Putin kwamba baada ya vita mambo hayatakuwa vile yalivyokuwa kabla, imebeba uzito mkubwa sana ambao hatuwezi kuuelewa kikamilifu sasa hadi muda mwafaka utimie.Europe kwisha habari yao. Uchumi wao ndio kwisha. Soon tutaanza ku export kuni
Erdogan alivokaribishwa Iran, kiongozi wa Iran amekaa mbaaaaali na Erdogan 🤣🤣🤣
View attachment 2296683
Nigeria? Hii mbona ni white house ndogo ya Marekani? Labda ile sera ya NO PERMANENT ENEMY OR FRIEND ime-apply?
Halafu kauli kwamba ^If requested,^ ni kutojitambua! Yaani huwezi hata kuona vile dunia ilivyohama hadi sasa?
Kwa kauli hii ya ^If requested,^ naamini sasa kwamba nchi nyingi za Afrika zinaamuliwa mambo yao ughaibuni. Mbona Kiduku aliamua kuyatambua majimbo mawili ya Ukraine yaliyojikomboa?
Naombeni Naijeria ituwakilishe vizuri sisi Afrika--because naiona Kenya yenyewe ndiyo itakayobaki na Marekani wake.
Hizo dakika 20 zilizosalia usikute MNATO akazitumia vizuri. Nasikia Marekani kawaida ni gamechanger. Ngoja tungoje.
MWAMBA anafanya movement zake kwa Siri sana,,,nadhani hili ni moja ya jambo linalowapa shida sana wapinzani wake kujua Next move yake....Nadhani ile kauli ya Putin kwamba baada ya vita mambo hayatakuwa vile yalivyokuwa kabla, imebeba uzito mkubwa sana ambao hatuwezi kuuelewa kikamilifu sasa hadi muda mwafaka utimie.
#Ngoja Tungoje!
GAME OVER, EUROPE!
Russia's state-owned Gazprom does not plan to resume natural gas supplies via Nord Stream 1 after the planned maintenance of the pipeline is completed on July 22. Play stupid games, win stupid prizes.
Game over.
Details to follow . . .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia ni wahuni kwahiyo wamesubiri tutengeneze mitambo afu watukatie gas. More sanctions please[emoji1787][emoji1787]
Kwa ufupi Ukraine ndio ilikuwa na jeshi kubwa ulayaNimegundua Ukraine ilikuwa na jeshi kubwa sana huko Ulaya. Sidhani kama France au UK angeweza kupambana na dude hili.
View attachment 2284446