Hahahahhahah huyu muhuni asije akatuma vikosi kwa ajili ya kuwachapa Ukraine kwa mlango wa ukandarasi 😂😂😂 simuamini kiduku akili zake za hovyo sana!Ktk kuimarisha mahusiano baina ya North Korea na Jamuhuri mbili za Watu wa Luhansk na Donetsk huko Donbas, Kim atatuma wataalamu wake wakafanye kazi ya kuzijenga jamuhuri hizo zilizochakazwa na vita vya Ukombozi.
View attachment 2296047View attachment 2296048
Kama ni mademu kama hao waje tu. Kuna nyumba ya babu yangu na bibi hazina wakaaji pale kijijini. Tutawakaribisha nyumba zipo nami nitaenda likizo huko mwisho wa mwaka ili tukajumuike pamoja 😂😂😂 najua wengi watakuwa wajaneNaona kuna kila dalili historia kujirudia 😄😄😄😄😄, safari hii haturudii makosa View attachment 2296072
Hivi hata kama huna macho, hata ngurumo na kilio cha NATO husikii kua Russia anawachapa kotekote??warusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale ambapo accuracy yake ni very poor ndiyo maana zinaishia kupiga makazi ya watu badala kulenga maeneo yaliyokusudiwa ya kijeshi.
Vita hii mshindi ni mrusi mpaka sasa dakika ya 70 mrusi 4 Nato 0Vita hii haitatoa mshindi, cha msingi si muda mrefu wote wawili watakaa mezani wayamalize kiadabu kwa pande zote mbili.
Mkuu, historia inaonyesha kwamba Taifa lilo kubuhu katika wizi wa design za silaha Zach kivita ni US sio Urusi - ninacho sifia media za maghabi zimefanikiwa sana kuwachota akili/brainwash watu wengi Duniani mpaka wana amini kwamba ground breaking designs za silaha za vita zinaundwa Merikani tu, mataifa mengine wanaziiba na kuzi-copy, hiyo si kweli hata kidogo ebu someni historia ya kweli kwanza sio propaganda.Katoa aina gan za vifaru
Vya west au vya Urusi vilevile, wao sio wajinga, na hawawezi kuweka weapons zao superiour zikamatwe Urusi ijifunze design, hyo haipo
Hali mbaya US ataki kukubali kama ameshapoteza kwenye hii vita swali linakuja je ni nchi gani ya uerope itakayokubali kuruhusu ardhi yake iwe war field kwa ajili ya USA?
World war zote zilianzishwa in Continental Europe, na hicho ndicho US anakitaka - kisaikolojia US wamekwisha kata tamaa, na wameanza kuona Mataifa mengi Duniani yameanza kuikacha US kimtindo - kwa bahati mbaya hulka za Uncle SAM hakubali kushindwa na kuadhirika atatanya lolote ili aonekane bado yeye ni zaidi - kutokana inept EGO ya watu hawa, binafi nahisi uwezekano wa kufumuka WW3 hupo sana na chanzo watakuwa Wamerika wenyewe, How I wish Trump was still in office, huyu jamaa mwingine siyo, mchezo wake, dharau na chuki binafsi na Putin ndio kitakuwa chanzo cha kuiangamiza Dunia nzima - wala hilo yeye halioni -yupo yupo tu na jeuri yake.Hali mbaya US ataki kukubali kama ameshapoteza kwenye hii vita swali linakuja je ni nchi gani ya uerope itakayokubali kuruhusu ardhi yake iwe war field kwa ajili ya USA?
Mambo yanavyo onekana si ajabu Waziri mkuu wa hivi sasa akahachia ngazi, binafsi sioni kama ma major industrialist wa Ujerumani, mfano: Krupp, BASF,VW,Mercedence Benz,BMW etc watakubali kufunga viwanda na watu kukosa ajira ili wamfurahishe Biden - wenye viwanda watashinikiza Waziri mkuu aondolewe madarakani fasta ili kunusuru uchumi wa Ujerumani - my opinion.its true.. kama angekuwepo angel markel madarakani asingemuwekea vikwazo Russia ata kidogo yule bibi alikuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yake akifikiria hatua ya uchumi iliyofikia germany leo hii waje wa risk kwa ukraine uchumi wa germany kwa 30% unabebwa kwa cheap energy ya Russia kama unakumbuka kipindi kile 2014 Russia walivyoichukua Crimea matekani alipiga sana kelele germany amwekee vikwazo Russia yule bibi aligoma
Bado mnahangaika nao tu? Hao masikio yao wameungwa earpiece inayopokea taarifa exclusively moja kwa moja kutoka Washington & London.Hivi hata kama huna macho, hata ngurumo na kilio cha NATO husikii kua Russia anawachapa kotekote??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo dakika 20 zilizosalia usikute MNATO akazitumia vizuri. Nasikia Marekani kawaida ni gamechanger. Ngoja tungoje.Vita hii mshindi ni mrusi mpaka sasa dakika ya 70 mrusi 4 Nato 0
Mkuu, historia inaonyesha kwamba Taifa lilo kubuhu katika wizi wa design za silaha Zach kivita ni US sio Urusi - ninacho sifia media za maghabi zimefanikiwa sana kuwachota akili/brainwash watu wengi Duniani mpaka wana amini kwamba ground breaking designs za silaha za vita zinaundwa Merikani tu, mataifa mengine wanaziiba na kuzi-copy, hiyo si kweli hata kidogo ebu someni historia ya kweli kwanza sio propaganda.
Ngoja nitoe mifano michache kwanza: tuanze na jet fighters: Pioneers wa jet fighters ni Wajerumani Me-262, jet engines ni Wajerumani kampuni ya BMW, waingereza udai kwamba wao ndio wa kwanza kuunda jet engine by Frank Whittle,nilitembelea aliko zaliwa Whittle kuangalia na museum lakini wanakubali kwamba Wajerumani waliwatangulia waingereza katika mbio*NB kwa leo naishia hapa, ntaendelea kufafanua zaidi kesho.
World war zote zilianzishwa in Continental Europe, na hicho ndicho US anakitaka - kisaikolojia US wamekwisha kata tamaa, na wameanza kuona Mataifa mengi Duniani yameanza kuikacha US kimtindo - kwa bahati mbaya hulka za Uncle SAM hakubali kushindwa na kuadhirika atatanya lolote ili aonekane bado yeye ni zaidi - kutokana inept EGO ya watu hawa, binafi nahisi uwezekano wa kufumuka WW3 hupo sana na chanzo watakuwa Wamerika wenyewe, How I wish Trump was still in office, huyu jamaa mwingine siyo, mchezo wake, dharau na chuki binafsi na Putin ndio kitakuwa chanzo cha kuiangamiza Dunia nzima - wala hilo yeye halioni -yupo yupo tu na jeuri yake.
Bado mnamuamini huyo gamechanger wenu atachenji dunia ikiwa imefutwaHizo dakika 20 zilizosalia usikute MNATO akazitumia vizuri. Nasikia Marekani kawaida ni gamechanger. Ngoja tungoje.
Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye hajambo.Mambo yanavyo onekana si ajabu Waziri mkuu wa hivi sasa akahachia gazi, binafsi sio kama ma major industrialist wa Ujerumani, mfano: Krupp, BASF,VW,Mercedence Benz,BMW etc watakubali kufunga viwanda na watu kukosa ajira ili wanfurahishe Biden - Waziri mkuu ataondolewa madarakani ili kunusuru uchumi wa Ujerumani - my opinion.
Kumbe mna mpango wa kuifuta dunia? Ngoja sie tuharakishe kwenye SpaceX kuruka kwenda Planet Mars.Bado mnamuamini huyo gamechanger wenu atachenji dunia ikiwa imefutwa
NATO tungeweza kuingia, lakini ni vile tu hatutaki kuonekana na dunia kwamba tunamwonea inferior wetu kama nyie mnavyomtambia Ukraine.NATO wakamsaidie UKRAINE[emoji4][emoji4][emoji4]
Maana RUSSIA hana silaha zakutosha ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Game changer kwa vibaraka wake sio kwa mcheza Chess nguli toka Kremlin...Anasukuma kete tu Gayden anazidi kwenda chaka mwishowe atakimbilia mkoba wa Nuclear ndio atajua hajui 😂😂😂Hizo dakika 20 zilizosalia usikute MNATO akazitumia vizuri. Nasikia Marekani kawaida ni gamechanger. Ngoja tungoje.
Pedeshee Papaa wa Ngwasuma Biden mzee wa Toliki ngayo na nzambe, amwage midolali tu vita iishe😂😂😂 vinginevyo kazi iko pale pale na sahizi naskia jibaba medvedev amesema kikosi kiwakunyuge Gaykrains kwa mtindo wa "Surgical Strikes" yani mashambulizi ya upasuaji wa miili ya Gaykrainians Troops. Watachanwa kama marimba 😂😂😂Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye ajambo.
Huyo ni spy msaliti ...hii itasaidia maspy wasaliti kuogopa kufanya upuuziHapa Putin na Urusi wamekosea sana.
Hii itawavunja moyo ma Spy wao wengine walioko ktk cycle za nchi nyingine.
Raia wote wa kiduku ni damuli army wote ni jihadi wanajeshi wa kutii amri moja tuHahahahhahah huyu muhuni asije akatuma vikosi kwa ajili ya kuwachapa Ukraine kwa mlango wa ukandarasi [emoji23][emoji23][emoji23] simuamini kiduku akili zake za hovyo sana!