Jamani wakati mwingine tuwe tunabakiza hakiba ya maneno, kwa taarifa yako Iran ina wanasayansi na mainjinia lukuki wenye ubunifu na ujuzi mpaka kuzipiku nchi zilizo endelea, msiwe mna amini sana propaganda za main stream media za magharibi zenye lengo la kihadaa wasomaji Duniani kwa kuonyesha US na Mataifa ya Ulaya ndio wenye akili na ubunifu, mataifa baki si lolote si chochote!!
Now back to the main point, tunao juwa uwezo wa kisayansi wa Iran wala hatushangai wao kuuza Drones zao za kijeshi kwa Taifa la Urusi - Iran wako vizuri sana kisayansi na teknolojia.
Ntawapatieni mifano michache itakayo dhilisha umahili wa Iran kiteknolojia na kijeshi,mfano wa kwanza: Miaka kama sita saba iliyopita, Marekani walikuwa na tabia ya kurusha one of the best and very sophisticated Drones kukatisha anga la Iran ikitokea Kabul Afghanistan, majasusi wa Iran walipo baini upuuzi huu wa USAF wakabuni mbinu za kuwapa fundisho la mwaka Wamerikani, hapo ndipo Serikali ya Iran ikaja na mkakati wa kuwatumia wataalamu wake wenye ujuzi kwenye nyanja za electronic warfare wakaanza kufatilia nyenendo za drone kila inapo katiza aga la Iran wataalamu walicho taka kujua ni mawimbi ya radio na code zinazo tumiwa na Drone kwenye Navigation systems za Drone, walifakiwa kuzi-hack later wakazifanyia kazi - sasa nini kilifanyika: Walitegea kwanza Drone ivuke mpaka ikitokea Kabul ndio wakatuma signal za ku-kuingilia mawasiliano yanayo tumwa kutoka kwenye bases zinazo ongoza Drone huko Merikani wakati mwingine Italy huko ndiko kuna arm chair pilots wanangalia LCD diplay,keyboard na joystick ya kuongozea Drones.Wairan walipo ingilia mawasiliano walisha juwa in advance codes zinazo tumika kuongozea Drone - hivyo waka-take over control systems zake remotely mpaka wakafanikiwa kuishusha na kuiongaza ikashuka graceful kwenye kiwanja cha kijeshi cha Iran bila ya kutunguliwa!! Wairan walipo tangaza kufanikiwa kwao kushusha Drone ya Kimerikani bila ya kutunguliwa - Rais Obama na washauri wake wa kijeshi walipo taarifiwa habari hizi walizikanusha habari kweli kweli, Wairan walipo onyesha picha hapo kama kawaida ya Wamerika waka-manufacture story za uongo na kweli si unajua tena magreen/fix za jamaa hawa zilivyo hawakutaka Dunia to know kwamba a most sophisticated Drone in the World inaweza kushushwa kizembe by a nobody(third World Country)like Iran - toka siku hiyo US haichukulii Iran poa hata kidogo, contrary na watu wengine wanavyo idhania.
Mfano wa pili ni kirusi hatari type STUXNET kilicho kuwa coded/tengenezwa na majasusi wa CIA wakishirikiana na MOSAAD,kilikuwa coded mahususi kuingilia SCADA control systems zinazo zungusha aluminium centrifuge canisters kutengeneza weapon grade plutonium - virus hivyo vilikuwa vigumu kugundurika vile vile vigumu kuondolewa, vilifanikiwa kuharibu baadhi ya canisters lakini sio zote, Wana sayansi wa Wairan walifanikiwa kuviondoa vile vile walifanikiwa kumtia mbaroni mu Hollanzi aliye tumiwa na Waisrael ku-upload virus kwenye Programmable Logic Controllers - vyombo vya kijasusi vya Israel na US hawakuamini kwamba Iran ingekuwa na uwezo wa kuondoa kirusi hatari STUXNET, hicho ni kihunzi kingine hatari ambacho wana sayansi mahili wa Iran walifanikiwa kuivusha nchi yao, kwa bahati mbaya mafanikio hayo ya Iran media za magharibi uwa hawalizungumzii.
Mfano wa mwisho unahusu missiles Iran ilizo vurumisha kuzishambulia kambi za kijeshi za USA huko Iraq.
Sasa ni kitu gani kilifanya Iran kufikia uhamuzi wa kushambulia makambi ya kijeshi ya Kimerikani nchini Iraq? Hii ilitokana na kulipiza kisasi baada ya Generali wa Iran kuuwawa nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Iraq ilipo kuwa safarini kutembelea Iraq kwa mwaliko wa Rais wa Iraq - mauuaji yalisababishwa MA Drones za Kimerikani kushambulia msafara wa Jenerali wa Iran mapema alfajiri. Iran ilipo pata taarifa ya kifo cha Jenerali wake wa jeshi ilimwambia Rais Donald Trump kwamba italipiza kisasi at opportune time na kweli - mwanzo Dunia ilifikiri Iran inatania au tuseme hana uwezo wa kulipiza kisasi kwa jeshi/Serikali ya Merikani - siku ya siku ilipo wadia Iran ikavurumusha missiles karibu dazeni na kufanikiwa kuzipiga kambi mbili kwa mpigo cha ajabu integrated Air defense systems kwenye makambi zilishindwa ku-intercept haribu attacking Iranian missiles pamoja na teknolojia ya Merikani air defense zao hazikufua dafu mbele ya missiles za Iran, wataalamu wanasema makambi hayo yalikuwa yanalindwa na air defense type Patriot na THAAD lakini hazikuona ndani mbele ya missiles za Ayatolla Khali Khali, sasa hii inaleta picha gani - pamoja na ujeuri wa Marekani, safari hii walikaa kimya hawakujibu mapigo - why? Kibaya zaidi inasemekana kwamba pamoja na USA kupewa taarifa za kiintelijensia mapema kutoka kwa watumishi ndani ya Serikali ya Iraq kuhusu mpango wa Iran kushambulia makambi,kilicho fanyika ni kuhamishia wana jeshi kwenye mahandaki ya zege, hata hiyo haikusaidia sana maana missiles za Iran were very powerful kiasi cha kuwafanya askali waliojificha kwenye mahandaki ya zege kuhumia vibaya sana mpaka wengine wakakimbizwa: Kuwait,Ujerumani na Merikani kwa matibabu - ambacho huwa najiuliza mpaka leo,je,kama Iran ingehamua kuvurumisha missiles ambazo zina thermobaric laden payloads badala ya conventional high explosives si wanajeshi wote wange kufa kwa kukosa hewa bila kujali kama wako kwenye mahandaki, kwenye vifaru, APC au vyumbani. Iran iliwastahi sana sana. Samahani nimeandika mengi lengo langu ni kutaka kuonyesha kwamba USA. husita sana kui-provoke Iran for a good reason, they know what is inside the hood - si bite. Cheers.