Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia is so powerful .Ukraine ni nchi kubwa kijiografia. Nato waliomilitarise . Vikosi kila kona silaha kila kona lakini Russia anaendesha OP kila kona . Hii vita iliandaliwa vilivyo. Russia anaamua KUWEKA pause yaani off Time anavyoona inafaa . Off time ametumia kufanya reconnaissance na kureiforce troops na hakuna madhara . Tazama Ripoti za Russia zipo kisayansi zikibainisha kila batalion na shughuli iliyofanya. HAWA wenzetu wanasherekea kuua jenerali ama kuharibu kifaru Hawana ripoti za maana
Leo imefahamika rasmi kuwa Wagner na vikosi cha Chechen ndio vimetumika kwa asilimia 100 kuchukua Luhansk na si majeshi ya Russia.

Kama nilivyowahi kusema huko nyuma kuwa Russia katika awamu hizi za mwanzo yatumia vikosi vyake visaidizi na kweli vimefanya kazi nzuri sana.

Pia leo imethibitika kuwa Russia pia wamewatia mstari wa mbele (frontline) wafungwa wengi na wale watu ambao hawafai kwenye jamii lakini wenye mafunzo kamili ya kijeshi.

Tukumbuke ndugu zanguni, kwamba baada ya kuichukua Crimea mwaka 2014 Russia wallanza kujiandaa na kuikabili Ukraine baada ya kuona ile Orange Revolution na mkono wa CIA nyuma yake.

Ndo maana Putin akaja na ile kauli yake kuwa Russia yenyewe bado haijaingia vitani kiujumla na wajaribu mitambo tu kwanza.
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

💥High-precision air-based missiles in Kostantinovka, Donetsk People's Republic, have neutralized temporary deployment point of mercenaries of so-called Ukrainian "Foreign Legion". The attacks have resulted in the elimination of more than 250 military personnel and 12 special vehicles.

💥As a result of high-precision long-range air-based weaponry strike on temporary deployment point of battalion of 118th Territorial Defence Brigade of AFU in Vitovo, Cherkasskaya Region, up to 60 nationalists, 2 multiple rocket launchers and 4 artillery mounts have been destroyed.

▫️More than 10 Ukrainian Grad multiple rocket launchers and 8 armoured vehicles have been destroyed near Udachnoye railway station in Donetsk People's Republic.

▫️Also, 2 Ukrainian Mi-8 helicopters have been destroyed and 2 more helicopters suffered significant damage as a result of rocket artillery strike on AFU field airfield near Novyi Donbass, Donetsk People's Republic.

💥As part of counter-battery warfare, 2 batteries of Uragan multiple-launch rocket systems near Predtechino, 3 platoons of Grad MLRS, 14 artillery platoons of Hyacinth-B howitzers and D-30 guns near Seversk, Verkhnekamenskoye, Serebryanka, Dronovka and Zvanovka, Donetsk People's Republic have been neutralized.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have hit 14 command posts, including 28th Mechanized Brigade near Nikolaev, 60th Infantry Brigade near Novoaleksandrovka in Zaporozhye Region and 15th Battalion of 58th AFU Motorized Infantry Brigade in Pokrovskoye in Donetsk People's Republic, as well as 286 areas of AFU manpower and military equipment concentration.

▫️1 Buk-M1 self-propelled launcher near Kramatorsk in Donetsk People's Republic, 3 depots with missile and artillery weapons and 1 fuel depot near Novoaleksandrovka in Zaporozhye Region have been destroyed.

💥Russian air defence means have shot down 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Peschanoye, Chervonyi Oskol, Liptsy in Kharkov Region, Korsun' in Donetsk People's Republic and Novokamenka in Kherson Region.

▫️2 shells of Uragan multiple rocket launcher have been also intercepted near Stakhanov in Lugansk People's Republic.

📊In total, 257 Ukrainian airplanes and 142 helicopters, 1,564 unmanned aerial vehicles, 356 anti-aircraft missile systems, 4,099 tanks and other armored combat vehicles, 759 multiple launch rocket systems, 3,157 field artillery and mortars, as well as 4,392 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Sahihi, unajua mkuu nafahamu sanctions zinahitaji strategic patience kuonyesha impact, ila kwa hii case naona kama side effect kwa EU na USA zipo kwa kiwango hatarishi, sasa ni kiburi tu ndo kinawafanya waendelee au kuna point wanasubiri ili wachukue hatua?
Mimi naona kama the longer it take, the worst itakuwa upande wa EU na US. Ni kama vile huna pa kula, hulimi wala hujui kupika. Unasusia genge la Mzee baroko, ukitegemea mzee baroko akikosa wateja atarudi kwako mzungumze. Hali inakuwa tofauti, ulichokisusa kwa kibri chako kinaliwa na wengine.

Yale matarajio yako yanayeyuka kila nukta, hapo maana ake kuendelea kukaza ni kujitafutia majanga. Miscalculation zipo kama binadam tunajua hatujakamilika. Ila ku-deny failures ni aina flan hivi ya upumbavu.

Katika calculation za west huwa nahisi kuna kitu kimoja waliki-underestimate. Ule umoja wa uchumi wa BRICS, nahisi walijua wakiubwekea kwa vitisho utagwaya.

Lakini back up waliyompa mrusi hawaikutarajia. Sizungumzii back up ya kumpa silaha, hapa nazungumzia mauzo ya nishati yake. Ki takwimu China pekee anatumia nishati kwa wingi kidogo kuliko bara zima lote la ulaya.

That's
1. US
2. China
3. Europe

Tunafahamu kua nishati ina account over 40% ya mapato ya serikali ya Russia. So kitendo cha India na China kuifakamia nishati ya Mrusi imepelekea vikwazo kua kama maneno ya kwenye kanga.

Hapo kilicho baki labda ni kwenye mifumo ya kipesa. Ila bahati mbaya mifumo ya kifedha ina mbadala mchawi ni rasilimali. Leo ukiona tigo mizinguo, unahamia voda lakini ukikosa msosi utatafuna nyasi [emoji2960].

Lau kama West wangeweza kuyatia mataifa rafiki kwa Russia kibindoni. At least tungejionea maajabu. Lakini nao nani akubali kumsaliti Urusi ilhali wanajua Urusi akidondoshwa wanafata wao? Hawawezi kukubali that's why China, India niseme BRICS na mataifa mengine kwa ujumla wametulia wana enjoy show.

Kutoshiriki kwao kuvikazia hivyo vikwazo vinavifanya vionekane meaningless. Ingawa point kubwa ni kua huezi kuipiga sanctions rich resources country wakati huna mbadala kisha ubaki salama. Never!
 
Usitegemee ushindi wa mezani. Kwa taarifa yako, Zelensky analindwa na makomandoo 34 wa US na NATO. Ndiyo maana haogopi kwenda frontline, na wala Russia hamfanyi kitu.

Kwamba wanajeshi wa Ukraine wanatorokea kwa Warusi, hizi ni propaganda za kitoto sana. Crimea soon inarudi. Donbas mmeshindwa kuichukua.
Aisee hapo hakuna ulinzi kwa Zele...yaani hata wewe pro-NATO kutoka kinyerezi unajua idadi ya wanaomlinda huyo Comedian na wanakotoka?! Duh....Hivi unadhani Russia inashindwa kumshughulikia huyo Zele?! The issue ni aftereffects kwa Russia from the international community Kama Russia itamshughulikia Zele...kwa hiyo hiyo ndiyo problem kwa Russia na si vinginevyo....Zele nyendo zake zote za muda wote zinajulikana na Russia...
 
🇷🇺❗Peskov's statements:

▪️The Russian special operation will end when all its goals are achieved, there are no clear time frames, the main thing is efficiency

▪️ Russia is used to sanctions, this is the price for its sovereignty;

▪️ Sanctions against Russia began to be introduced long before the special operation, now they are measured in hundreds and thousands;

▪️ The Russian military has orders from Putin to avoid civilian harm and work carefully;

▪️ The nationalist battalions of Ukraine do not shun anything.
Mmmhhh! Sasa Putin amezidi sifa. Khaa! It means hata sanctions hizo huogopi?
 
Back
Top Bottom