Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani hapa UK wamepaniki, na Hata kama leak imetokea hawakutakiwa Kwenda public kumuhoji BJ. Hii ingefanyika nyuma ya pazia. Kwa sababu PM Tena wa UK kuwa Mamluki wa nchi ya kigeni ni hatari sana kwa uwezo wa Uingereza kufanya counterintelligence!!!

Kwa walichokifanya, inaonekana House of Common nayo ipo kwenye pay list ya Kremlin!! (Nawaza kama story ni ya kweli )
Mkuu they did not go public,it was inhouse,lakini hatimaye ili leak.Kumbuka siri ni ya mtu mmoja.Halafu usisahau kwamba upande wa Urusi pia walijua what is going on,so many people new the saga.
 
Tukuulize wewe labda unawajua wenzako mnaopakwa lubricants
Tumia tafsida kutukana hakukufanyi uonekane mjanja jibu hoja nasio kukimbilia matusi kama huna hoja sio lazima ucomment. Hapo ndio maana mmarekani ataendelea kuwa juu mpaka kiyama!
 
Obama alijisahau kaacha nchi kama China Iran na Korea kujiimarisha kijeshi hasa nuke SASA huwezi kuwagusa wanakoroma tu
Wala Obama hakuwa na mpango wa kuididimiza Iran. Jiulize kwa nini billions of dollars US alizowapatia Iran kila mwaka kwa makubaliano kwamba wasitishe urutubishaji wa mitambo ya nuclear, ziliishia kufanya kazi hiyohiyo iliyokataliwa na mkataba?

Kwamba Marekani hakujua? It's highly doubtful!

US inavyofanya harakati zake, hata yenyewe naamini haijui! It's such a gigantic monster!
 
Three #Russian Air Force Ilyushin planes landed in #Tehran's Mehrabad Aiport Iran [emoji1130] earlier today ahead of President Putin's state visit to #Iran.
Mwendo wa kupishana tu angani masupapawa! Mkuu wa NATO alikuwa Israeli na Uarabuni, Putin naye ameenda kumpiku.

Kongole! Dunia siyo unipolar tena. NWO agenda is postponed again for the next 100 years!
 
Asante! I take that as a compliment!
Russia is so powerful .Ukraine ni nchi kubwa kijiografia. Nato waliomilitarise . Vikosi kila kona silaha kila kona lakini Russia anaendesha OP kila kona . Hii vita iliandaliwa vilivyo. Russia anaamua KUWEKA pause yaani off Time anavyoona inafaa . Off time ametumia kufanya reconnaissance na kureiforce troops na hakuna madhara . Tazama Ripoti za Russia zipo kisayansi zikibainisha kila batalion na shughuli iliyofanya. HAWA wenzetu wanasherekea kuua jenerali ama kuharibu kifaru Hawana ripoti za maana
 
Walikuwa wanacheza komborela, ya kujificha ficha ile kubutua kakuta wamelala... Itakua wamepitiwa usingizi tu hao si wajua teinah baridi linashawishi kupiga mbonji baadae wataamka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Russia is so powerful .Ukraine ni nchi kubwa kijiografia. Nato waliomilitarise . Vikosi kila kona silaha kila kona lakini Russia anaendesha OP kila kona . Hii vita iliandaliwa vilivyo. Russia anaamua KUWEKA pause yaani off Time anavyoona inafaa . Off time ametumia kufanya reconnaissance na kureiforce troops na hakuna madhara . Tazama Ripoti za Russia zipo kisayansi zikibainisha kila batalion na shughuli iliyofanya. HAWA wenzetu wanasherekea kuua jenerali ama kuharibu kifaru Hawana ripoti za maana
Basi nimekuelewa. Malizeni vita mapema ili tujenge uchumi, watoto waende shule. Au ndiyo imekuwa fani sasa? Kila kukicha tu taarifa ndeeeefu!

Siku yenu ipo tu, just wait!
 
Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu ameiagiza rasmi wizara na jeshi la Russia kushambulia mifumo ya anga ya makombora ya masafa marefu na yale ya kat ya Ukraine.

Akifanya ziara katika kituo cha kijeshi cha Vostok kilichopo mahala kusikojulikana, bwana Sergei ameagiza shughuli hiyo ifanywe kwa mtindo wa upasuaji yaani "Surgical Strikes".

Agizo hilo limekuja baada ya Ukraine kutangaza kushambulia na kuangamiza vituo na maghala yapatayo 30 ya Russia kwa kutumia silaha zolotolewa na NATO na Marekani.

Chanzo: TASS -shirika la habari la Russia.
 
Ha ha ha main target pale ilikuwa Raia wa kirusi... Raia wa Urusi wao ndio wanyanyuke kumtoa Putin. Then wajiwekee mtu wao wanaomtaka waanze kumpa order kama wanavyofanya kwenye mataifa mengine.

Kitu kikubwa cha kusifiwa kwa Warusi ni uvumilivu na ile iman kwa Rais wao ndio iliyo waokoa otherwise hivi sasa tungekuwa tunazungumza mengine.

Kumbuka lile poromoko la ghafla la sarafu yao. Kama sikosei ilienda hadi two times ya value iliyokuepo against dollar. Zile kampuni zilizojitoa kwa speed ya 10G maana ake watu wengi nchini hapo walipoteza ajira sio kidogo.

Lakini wakaonesha utulivu wa hali ya juu na hivi sasa wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Upendo wao kwa kiongozi wao Putin unazidi kukua kuzidi hata kabla ya Operation hiyo.

Na unapo jiuliza kwanini hawataki kuvitoa vikwazo vinavyo waback-fire, angalia hulka za Prowest hapa jamvini. Ndivyo walivyo viongozi hao, HAWAKUBALI KUSHINDWA hata pale wanapo kua bila alternative ya kupata ushindi. Watahamisha Goal ila sio kukubali kushindwa.
Sahihi, unajua mkuu nafahamu sanctions zinahitaji strategic patience kuonyesha impact, ila kwa hii case naona kama side effect kwa EU na USA zipo kwa kiwango hatarishi, sasa ni kiburi tu ndo kinawafanya waendelee au kuna point wanasubiri ili wachukue hatua?
 
.
Screenshot_20220718-130946.jpg
 
Back
Top Bottom