Duu hatari sana Makubazi[emoji1787][emoji1787]Mam@ae nimecheka kifala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duu hatari sana Makubazi[emoji1787][emoji1787]Mam@ae nimecheka kifala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
👏👏👏👏Kwako RichardLeo imefahamika rasmi kuwa Wagner na vikosi cha Chechen ndio vimetumika kwa asilimia 100 kuchukua Luhansk na si majeshi ya Russia.
Kama nilivyowahi kusema huko nyuma kuwa Russia katika awamu hizi za mwanzo yatumia vikosi vyake visaidizi na kweli vimefanya kazi nzuri sana.
Pia leo imethibitika kuwa Russia pia wamewatia mstari wa mbele (frontline) wafungwa wengi na wale watu ambao hawafai kwenye jamii lakini wenye mafunzo kamili ya kijeshi.
Tukumbuke ndugu zanguni, kwamba baada ya kuichukua Crimea mwaka 2014 Russia wallanza kujiandaa na kuikabili Ukraine baada ya kuona ile Orange Revolution na mkono wa CIA nyuma yake.
Ndo maana Putin akaja na ile kauli yake kuwa Russia yenyewe bado haijaingia vitani kiujumla na wajaribu mitambo tu kwanza.
Zipo tisa lakin Russia na pro Russia naona msha zikubal.MLRS za U.S zina ongozwa za GPS tofauti za Russia ambazo ni unguided.kwa maada hiyo U.S ndo ana amua HIMARS zipige wap na zisipige wap.nataka nikuleke bishe t[emoji635][emoji1255] According to Russian sources that a deal had been made to sell MLRS HIMARS to the Russian side. The issue price was 800,000 dollars. Additionally, the issue of transferring ammunition for 330,000 dollars is being decided.
The method of transmission chosen is extremely funny: leave the launcher in a shed in the gray zone, so that Russian servicemen “accidentally” stumble upon it during the sweep. Ukrainian "hoarders" definitely found a use for their skills on the line of contact.
Kichapo kina kolea hadi saiv mnanza kukatanana naona mapunga Yana wapelekea motoNapo ni wale wa DPR, LPR bila sahau wapaka mafuta chenchens. Sisi wa Moscow tunasubir shoga yyote wa NATO aingie
Jibu ni kwamba Russia ni superpower ukilinganisha na Ukraine.anapo parform vibaya lazima tuji ulize.alingia hafi mji mkuu lakin saiv anaipigan kama vietkongKama ndio hivyo Kwanini Ukrain mpaka leo anashindwa kurudisha Lugansky na donestic mikononi mwake?
Hongereni. Pro Nato. Muda wa kurejesha majimbo na kupiga mpaka moscowZipo tisa lakin Russia na pro Russia naona msha zikubal.MLRS za U.S zipo zinaongozwa za GPS tofauti za Russia ambazo ni unguided.kwa maada hiyo U.S ndo ana amua HIMARS zipige wap na zisipige wap.nataka nikuleke bishe tView attachment 2295305View attachment 2295308
Hahaha kama Russia alishindwa Huku[emoji116][emoji116]basi bro na anavyo zadi kuchelew ndivyo Ukraine inazidi kuwa na nguvuRussia anatoa kipondo kikali muda huu . Haijawahi kutokea toka Op imeanza huenda OP imeisha SASA ni real war. Kipigo ni Ukraine yote yaani huku gas imezimwa huku kipondo cha jehanam
Ha ha haaaa! Okay, twambie Russia ana "submarines" ngapi kwa ujumla?ata Submarines zote ziko uko
Huyu jamaa ana siri nyingi sana za viongoz wa ulaya[emoji41][emoji41][emoji41]Mimi na ma sleeper agents wengine tumeanza kuingiwa na uoga,asije mwisho wa siku akaweka mambo hadharani na kuharibu mpango wangu wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM, liwale na liwe 2025 lzm mama atajua hajui
Nalog off Z
Bila shaka hayo ni maamuz ya pupa.Hivi kwenye issue kama hii wanae mkomoa ni nani?
[emoji1200] The Polish Prime Minister acknowledged the difficulties with the supply of coal.
There will be problems with the availability of coal in the country in the coming weeks and months, Moravetsky said.
Until recently, Warsaw bought coal from Russia. Now Polish state-owned companies want to order it in Colombia, Indonesia, countries around the world, the prime minister said.
Indonesia na Colombia zilipo kutoka Poland [emoji849](Rounded kwa blue ni Indonesia na Colombia while red ni Poland)
View attachment 2295310
Hapo wanae mkomoa nani sasa? Of course cost za usafirishaji zitakuwa added to last consumers. Je, Wana watakia mema raia wao hawa?
Hao acha viumane tu hakuna namna!Hivi kwenye issue kama hii wanae mkomoa ni nani?
🇵🇱 The Polish Prime Minister acknowledged the difficulties with the supply of coal.
There will be problems with the availability of coal in the country in the coming weeks and months, Moravetsky said.
Until recently, Warsaw bought coal from Russia. Now Polish state-owned companies want to order it in Colombia, Indonesia, countries around the world, the prime minister said.
Indonesia na Colombia zilipo kutoka Poland 🙄(Rounded kwa blue ni Indonesia na Colombia while red ni Poland)
View attachment 2295310
Hapo wanae mkomoa nani sasa? Of course cost za usafirishaji zitakuwa added to last consumers. Je, Wana watakia mema raia wao hawa?
Wamepewa TANKS,HOWITZER, MRLS, HIMARS,ANTI TANK MISSILE,ANTI SHIP MISSILE,DRONE NA AIR DEFENCE MISSILE.
Sasa ulitaka wapewe na silaha gani tena maana kwenye uwanja wa vita izo silaha ndo kila kitu.kwa iyo ulitaka wapewe mpaka sub marine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamepewa TANKS,HOWITZER, MRLS, HIMARS,ANTI TANK MISSILE,ANTI SHIP MISSILE,DRONE NA AIR DEFENCE MISSILE.
Sasa ulitaka wapewe na silaha gani tena maana kwenye uwanja wa vita izo silaha ndo kila kitu.kwa iyo ulitaka wapewe mpaka sub marine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa wamejikolesha mapaka wamekolea kula vichwa, duh! Au wanataka kumtafutia NATO sababu ya kipigo? Maana Putin mahesabu yake ni yale ya integration with respect to USA!Vita inawachanganya saiv Russia inatungua ndege zake yenyewe
View attachment 2295281View attachment 2295282
Unazungumzia hili chuma auView attachment 2294990