Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Swadakta, na hii graph ukii-angalia kwa undani 2000, 2010, na 2020. Upande wa BRICS utaona kuna sharp increase, wakati G7 ni kama wamesimama pale pale.

Mh ila China kiboko [emoji848][emoji23]
Nimegundua ni kama nchi zote zilitaka ziachane na matumizi ya dollar, but nani atangulie?

Kuna nchi kibao (almost zote, isipokuwa labda US na Ukraine) zinamsapoti Putin, sema tu bado hawajaonesha.

Kadiri Putin anavyoshinda, wanaanza kuibuka mmoja baada ya mmoja.

Usikute hata kule kwetu, Bi Samia tayari ashaamua kujiunga na BRICS.

Emu ngoja tungoje!
 
Una uwakika kuwa UKRAINE haijapewa msaada wa vifaru?
Hawajapata tanks na missiles wazopewa ni zilezile tunaita siraha za kawaida na si tegemezi kwa Marekani
Anti Tank missiles si ndo hivi vijuvelline, na antiship missiles sio tegemezi, ukitaja siraha tegemezi za Marekani huwez taja zozote apo,
 
Sahihi, unajua mkuu nafahamu sanctions zinahitaji strategic patience kuonyesha impact, ila kwa hii case naona kama side effect kwa EU na USA zipo kwa kiwango hatarishi, sasa ni kiburi tu ndo kinawafanya waendelee au kuna point wanasubiri ili wachukue hatua?
Au ndiyo akili ya yule mnyama sijui nani anaitwa, asiyeelewa mpaka anyofolewe moyo na ubongo?
 
Leo imefahamika rasmi kuwa Wagner na vikosi cha Chechen ndio vimetumika kwa asilimia 100 kuchukua Luhansk na si majeshi ya Russia.

Kama nilivyowahi kusema huko nyuma kuwa Russia katika awamu hizi za mwanzo yatumia vikosi vyake visaidizi na kweli vimefanya kazi nzuri sana.

Pia leo imethibitika kuwa Russia pia wamewatia mstari wa mbele (frontline) wafungwa wengi na wale watu ambao hawafai kwenye jamii lakini wenye mafunzo kamili ya kijeshi.

Tukumbuke ndugu zanguni, kwamba baada ya kuichukua Crimea mwaka 2014 Russia wallanza kujiandaa na kuikabili Ukraine baada ya kuona ile Orange Revolution na mkono wa CIA nyuma yake.

Ndo maana Putin akaja na ile kauli yake kuwa Russia yenyewe bado haijaingia vitani kiujumla na wajaribu mitambo tu kwanza.
Usiamini kila kitu kaka ake. Kauli zingine ni za mfa-maji. Sometimes ukisikia kelele sana, usidhani ni za ushindi. Kelele zingine ni za kukata roho.

Tuuamini muda tu, na wala si maneno matupu ya watu. Japo jembe linaweza kumtupa mkulima, lakini muda haujawahi kamwe kumwangusha mtu. Ngoja tungoje!
 
Putin haondoki kizembe namna hio. Watamalizana wao kwa wao maana mrusi akizidiwa tu China anaingilia
China huyuhuyu aliyekoromewa na US asimuunge mkono Putin last time, naye kwa kukunja mkia, akakimya kimya kabisa?

China amefufuka baada ya kuona Putin hatanii akitamka kauli zake. Any individual of their word is mostly feared & gladly admired!
 
Shida uwa mnaongea pasipo kujua unachokiongea.UNITED KINGDOM pekee katoa STINGER defence missile zaidi ya 800.alafu wewe huku mlima mchicha wa kwa mama kibonge unakuja kuongea kama vile una taarifa zote za uwanja wa vita
Af kwanza hujui maana ya Air defence missile, aya em zitaje
Ndo kitu nachoongea kuwa mashabiki wengi mnaopayuka hamjui vita wala hamjui mliongealo, mnapayuka tu
 
CZECH REPUBLIC pekee katoa zaidi ya vifaru 50 kwa UKRAINE.Au umekuja leo mjini
Hawajapata tanks na missiles wazopewa ni zilezile tunaita siraha za kawaida na si tegemezi kwa Marekani
Anti Tank missiles si ndo hivi vijuvelline, na antiship missiles sio tegemezi, ukitaja siraha tegemezi za Marekani huwez taja zozote apo,
 
Ukiona hivyo ujue wameishapata mbadala!
Uzuri wa Putin anawaumbua wanao vuka redline ya kijasusi wanazo peana hata uwe double agent unapewa masharti lipi useme lipi usiseme - sasa BoJo alijisahau sana sana, kwa kuingiza utani husio na tija - sina shaka alionywa several times lakini kapuuzia - Warusi si wakrupukaji hata siku moja.
 
Naiona NATO ikielekea kuifumua Uswisi soon.
Uswis ina utamaduni wa kutoamini sana nguvu za majeshi hata rais wao anajochanganya sana na watu wa kawaida hana utukufu wa kulindwa sana. Uswis haina raslimali na ina jiografia ya milima na mabonde . Dada hata ukivamia labda ukaishi huko .

Kwa staili yake ya kutojihisisha na migogoro nchi zinakosa nguvu moral authority kuishambulia . Ni kama mtoto mpole darasani wakorofi hawamgusi. Uamuzi wà Uswis ni kutojihisisha na hili gogoro
 
Kila siku Wanajeshi 100 wa Ukraine wanang'ata ulimi. Russia [emoji635][emoji635] ananyonya damu Sana[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220718-182846.jpg
 
Back
Top Bottom