Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu uzi unaonesha PUTIN na RUSSIA kutajwa mara milioni 4 since February! ^Know-mar^ sana!

1658153860543.png
 
Hivi kwenye issue kama hii wanae mkomoa ni nani?

🇵🇱 The Polish Prime Minister acknowledged the difficulties with the supply of coal.

There will be problems with the availability of coal in the country in the coming weeks and months, Moravetsky said.

Until recently, Warsaw bought coal from Russia. Now Polish state-owned companies want to order it in Colombia, Indonesia, countries around the world, the prime minister said.


Indonesia na Colombia zilipo kutoka Poland 🙄(Rounded kwa blue ni Indonesia na Colombia while red ni Poland)

View attachment 2295310

Hapo wanae mkomoa nani sasa? Of course cost za usafirishaji zitakuwa added to last consumers. Je, Wana watakia mema raia wao hawa?

Ndiyo yaleyale ya kuacha kuendeleza Bandari ya Dar, na kukimbilia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bwagamoyo! Nonsense!

Hao jamaa washakula 10% za wafanyabiashara wa hizo nchi! Shame!

Watu wanavuruga uhusiano wa biashara ili wafaidike mifukoni mwao. Ama kweli vita vya uchumi ni mbaya sana.
 
Nchi za ulaya zinaanza kushtukia makosa yao ya kusikiliza propaganda

Swiss authorities have refused a NATO request to admit military and civilians wounded in Ukraine for treatment, local media write
Nadhani pesa za kuhonga ndizo zimepelea; hakuna Mzungu anaweza kukataa pesa.
 
Gas supply to the Zaporozhye region, where Ukraine has turned off gas, will be restored in two months. A gas pipeline from Russia will be laid there. This was announced by Vladimir Rogov, a member of the main council of the military-civil administration of the region. - Sputnik
 
Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa

Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi

Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Kwamb su57 ipo vitani
 
Aisee hapo hakuna ulinzi kwa Zele...yaani hata wewe pro-NATO kutoka kinyerezi unajua idadi ya wanaomlinda huyo Comedian na wanakotoka?! Duh....Hivi unadhani Russia inashindwa kumshughulikia huyo Zele?! The issue ni aftereffects kwa Russia from the international community Kama Russia itamshughulikia Zele...kwa hiyo hiyo ndiyo problem kwa Russia na si vinginevyo....Zele nyendo zake zote za muda wote zinajulikana na Russia...
Kwa hiyo mnatuogopa, eti eeh?
 
Back
Top Bottom