GOD BLESS RUSSIA 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🙏.
Mambo mengine yanachekesha sana sana, mfano meli zinazo tia nanga kwenye bandari za Urusi tumeambiwa zinaongezeka siku hadi siku - kuna sehemu nimesoma kwamba Saudi Arabia imehamua kununua shehena kubwa ya mafuta kutoka Urusi, juzi hapa Mfalme wa Saudia kamwambia Biden bila kificho kwamba hasimchagulie marafiki,Saudi ina uhuru wa kuchagua yeyote.Waliosema Russia anafilisika withing 3 months, mbona walitupotosha sana mpaka sie tumejitumbukiza kwenye vita?
Inavyoonekana, kadiri vita vinavyoendelea ndipo Russia anazidi kuwa bonge la tajiri.
Hii ilikuwa suicude mission. Na sasa ni Urban warfareJibu ni kwamba Russia ni superpower ukilinganisha na Ukraine.anapo parform vibaya lazima tuji ulize.alingia hafi mji mkuu lakin saiv anaipigan kama vietkong View attachment 2295317
Mambo mengine yanachekesha sana sana, mfano meli zinazo tia nanga kwenye bandari za Urusi tumeambiwa zinaongezeka siku hadi siku - kuna sehemu nimesoma kwamba Saudi Arabia imehamua kununua shehena kubwa ya mafuta kutoka Urusi, juzi hapa Mfalme wa Saudia kamwambia Biden bila kificho kwamba hasimchagulie marafiki,Saudi ina uhuru wa kuchagua yeyote.
Inakua vp saudia anaagiza wese toka urusi ilhal yeye ni miongon mwa matembo wa OPEC???
GesiInakua vp saudia anaagiza wese toka urusi ilhal yeye ni miongon mwa matembo wa OPEC???
Msimu wa joto coolingInakua vp saudia anaagiza wese toka urusi ilhal yeye ni miongon mwa matembo wa OPEC???
Mwanzo wa Taifa kuanguka. Sasa rasmi Rais ana maadui wa ndani.UKRAINE: Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka na Mkuu wa Usalama
Rais Volodymyr Zelensky ametoa amri ya kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama, Ivan Bakanov na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya.
Amesema hatua hiyo ni kufuatia tuhuma za Maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku kesi 651 za uhaini na ushirikiano zikifunguliwa dhidi ya Maafisa wa Idara hizo nyeti. Amebainisha kuwa hadi sasa zaidi ya Maafisa 60 wa Idara hizo wanafanya kazi dhidi ya Ukraine katika maeneo yanayotawaliwa na Urusi
Attorney hajaridhiksMwanzo wa Taifa kuanguka. Sasa rasmi Rais ana maadui wa ndani.
Umenikumbusha mchambuz mmoja wa masuala ya kitaifa alikuwa anachambua azam tv sijui alikuwa anaichukuliaje Russia nilikuwa namsikiliza nacheka sana as if as ni mratibu wa NATO saiz kimyaWaliosema Russia anafilisika withing 3 months, mbona walitupotosha sana mpaka sie tumejitumbukiza kwenye vita?
Inavyoonekana, kadiri vita vinavyoendelea ndipo Russia anazidi kuwa bonge la tajiri.
Kiukwel wachambuzi wengi Putin katupiga changa kwa sabab hatukutegemea km ameweza kuchomoka kibabe licha ya vikwazo vyote vile.Umenikumbusha mchambuz mmoja wa masuala ya kitaifa alikuwa anachambua azam tv sijui alikuwa anaichukuliaje Russia nilikuwa namsikiliza nacheka sana as if as ni mratibu wa NATO saiz kimya
Posho zimeisha [emoji23]Umenikumbusha mchambuz mmoja wa masuala ya kitaifa alikuwa anachambua azam tv sijui alikuwa anaichukuliaje Russia nilikuwa namsikiliza nacheka sana as if as ni mratibu wa NATO saiz kimya
NtarudiPutin destroys Boris Johnson and plots the collapse of Britain
After his statement that if Putin was a woman, he would not have invaded Ukraine, Putin's response was quick and shattering. This was to discipline Boris Johnson by leaking documents and information revealing that Johnson was a spy for Russia forty years ago. The Russian intelligence recruited him when he was 16 years old and he still holds American citizenship as an extension for the work of his father, who was also a Russian intelligence agent who was recruited by his mother of Russian origin.
The decision was made by Putin directing the Russian intelligence to leak the secret file of the life and career of Boris Johnson as a spy for Russia, to discipline him after he insulted Putin and described him as a woman. With another Russia spy Alexander Lebedev,the Russians infiltrated British intelligence. Alexander Lebedev obtained British citizenship and established a commercial and media empire in Britain and hired Boris Johnson as a press correspondent in his daily newspaper (Britain Al Massaa).
At the beginning of his career after Johnson became British Foreign Minister, he met Alexander in a secret castle owned by Alexander in Italy, as well as during his tenure as mayor of London.
The leaked documents also included information confirming that Boris Johnson's mistress and current wife, Carrie Johnson, was also a Russian intelligence agent, as well as Johnson's close friend and confidant, Evgeny Lebedev, whom Johnson appointed a member of the British House of Lords after he became prime minister. Evgeny Lebedev was one of the mediators in transferring information between Johnson and the Russian Intelligence
The leaks included also that Boris Johnson tried to obtain his file in the Russian Intelligence and obliterate his history as an agent more than once after he reached the prime ministership position, but this was met with repeated stiff and strong rejection by the Russian President Vladimir Putin.This is the secret of Johnson's intense hostility to President Putin, attacking and ridiculing him.His intense and very blind support for Ukraine to ensure that Ukraine wins by all means is related to this. Boris Johnson had previously stated that they would fight Putin until the last Ukrainian soldier.
As a result of the leak, the British House of Commons formed a commission of inquiry against Boris Johnson.All this resulted in a fierce campaign against Boris in the Conservative Party forcing him to
submit his resignation.
On the other hand, Putin issued a decree to nationalize the Skhelin liquefied gas line, of which Britain's Shell owns 20%.This led to a doubling of the gas crisis in Britain and an unprecedented crazy rise in its prices.This has angered so much the British and the status quo and thus the backlush.
It should be noted that Vladimir Putin supports a separatist movements that began to appear in Scotland to secede from Britain and join the European Union. It is worth noting that 90% of British oil and gas comes from Scotland, which means that its secession will lead to the destruction of Britain.The foregoing confirms that playing with Caesar will lead to the disintegration of Europe and the fall of all current governments in all European countries, and that Caesar will succeed in eliminating American and Western hegemony over the world thus establishing a Multipolar World
Hakuna kitu kama iko izo ni story za mtaani wote top5 wenye nguvu za kijeshi duniani hakuna anayeweza kumpandkiza spy ndani ya izo nchi mpaka kufikia kupewa cheo kikubwa kama waziri mkuu , siyo russia kwa Uk na wala siyo Uk kwa Russia jambo ilo ni gumu wote awa wana strong intelligence iyo ni story kama zilivyo story nyingineHata mimi nilikuwa nashangaa sana - Boris ni jina la wenye asili ya Urusi, sasa ni kitu gani kilikuwa kinamsukuma BoJo kuchukia Taifa la Urusi na Putin in particular kumbe chuki zake zilikuwa ni maigizo yenye lengo la kuficha ukweli kuhusu ushiriki wa ukoo wake wote (babu yake,baba yake,yeye na Mkewe) kwenye masuala ya ujasusi miaka nenda rudi tangu yuko kijana mpaka sasa,lakini akiwa kwenye kwenye Public au Bungeni anajifanya kuichukia sana Urusi na Putin - hii inadhilisha mtu akisha kuwa na damu ya Urusi habadiriki maisha yake yote ie hasahau asili yake,hili liwe fundisho tosha kwa Waingereza na Wamerikani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] medved ameshatoa tamko uko yani mkipiga ukraine japo ata tawi la mti tu likikatika ndio itakuwa siku yenu ya hukumuUsitegemee ushindi wa mezani. Kwa taarifa yako, Zelensky analindwa na makomandoo 34 wa US na NATO. Ndiyo maana haogopi kwenda frontline, na wala Russia hamfanyi kitu.
Kwamba wanajeshi wa Ukraine wanatorokea kwa Warusi, hizi ni propaganda za kitoto sana. Crimea soon inarudi. Donbas mmeshindwa kuichukua.
Sema hujui History. Kazi kubisha bisha tu. Soviet ya Russia iliangushwa na Rais. Pandikizi wa USA. Now, yupo USA.Hakuna kitu kama iko izo ni story za mtaani wote top5 wenye nguvu za kijeshi duniani hakuna anayeweza kumpandkiza spy ndani ya izo nchi mpaka kufikia kupewa cheo kikubwa kama waziri mkuu , siyo russia kwa Uk na wala siyo Uk kwa Russia jambo ilo ni gumu wote awa wana strong intelligence iyo ni story kama zilivyo story nyingine
Yessss, huyo mwamba manywele. Ni balaa sana. Yuko kuke Twitter anakiwasha balaa. Sema na huyo bi dada katrma cheche hatari ni vile tu kuna kundi la wachache linawaburuza.Jina limenitoka bro! Huwa hawapewi airtime ya kutosha kuwasikia ni mbinde.
Mwingine huyu mama, nahuyo mzee wa pembeni yake kutoka Ireland Republic ni moto wa kuotea juu ya mti.
Msikie
View attachment 2293876