Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii hapa inajieleza mkuu,kuna panya anajiandaa kuchomolewa 😆😆😆



Ukisikia kuku kafukuzwa kachoka inafika mahali kichwa anaficha kwenye shina la mchaichai mwili Wote upo nje akidhani hujamuona, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndiyo hawa West wanatoa vijisababu ili tuone kuwa Wana scandal ndiyo imewatoa madarakani kumbe ukweli wanamkimbia Putin
 
Yule aliyesema drones hazipo cheki hapo warusi wanafumuliwa msituni wameficha magari ya vita

 
Kati kati ya msitu mrusi anapelekewa moto anaficha magari tunamfwata hukohuko

 
Huu Umoja wa EU sina hakika kama una maisha marefu, kuporomoka kwa Euro ni pigo kubwa hasa kwa largest economies kama Germany, Italy, France and Spain.

While Euro is falling, kinachoshangaza Sterling Pound na Dollar zinaendelea kua strong against Euro.

Hivi sasa tangu 24th feb kuanza kwa hii Operation hadi leo, Euro imepoteza 12% ya thamani yake against fedha yetu Tsh. Kwa wale ambao hupendelea kuweka savings kwa fedha za kigeni najua wanaugulia pole pole.

Zile Currencies maarufu ndani ya hii miezi zipo kama hivi against fedha yetu hapa Tanzania.
🔸1EURO kutoka 2,659tsh to 2,342tsh... Pungufu ya 317tsh hivi sawa na 12%

🔸1USD kutoka 2,315tsh to 2,330tsh... Ongezeko la 15tsh hivi sawa na 0.6%

🔸1GBP kutoka 3,096tsh to 2,765tsh... Pungufu ya kama 331tsh hivi sawa na 10.6%

Sasa kupanda ama kushuka kwa thamani ya sarafu ni jambo la kawaida lakini percentage za kushuka zinapokuwa kubwa ni hasara hasa linapokuja issue zima ya kutaka kufanya exchange.

Fikiria ukubwa wa anguko la 10% lilivyo, kihesabu nyepesi ni kua kama ulikuwa na Mil 100, basi Mil 10 zimefutika. Now upo na Mil 90.

Kuna kauli aliwahi kuizungumza Henry Kissinger, that:- "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal". Na of course haya ndio tunayojionea hivi leo.

Hapo what he was trying to suggest ni kwamba kama you are an American enemy then that can be a danger but at least you know where you stand. But if you are a friend then the US will destroy you - not necessarily from malice but because of how America operates.

Rejeeni alivyokuwa anawaambia EU wasusie energy ya Urusi, huku yeye nyuma ya Pazia anaongeza manunuzi.

So tunaweza kusema Henry Kissinger is definitely right and could not be more right in what he said. US ni war mongering nation.

Kuna speech moja ya Jimmy Carter, Rais wa zamani wa US. Katika hotuba yake kuna maneno haya...

"Since 1979, do you know how many times China has been at war with anybody?" Carter asked halafu akajijibu "None. And we have stayed at war."

The U.S. has enjoyed only 16 years of peace in its 242-year history, making the country "the most warlike nation in the history of the world,"
Carter said.

Na akasema kua yote hayo ni kwasababu ya America's tendency to force other nations to "adopt our American principles."

Zaidi kuna research ya NGO ya hapo hapo US inaitwa CODEPINK ambao ni anti-war group, wanasema since 2001, the US and its allies have dropped on an average 46 bombs daily on other countries.

Kinachofurahisha ni kua, katika harakati zote za kivita, wahangwa wakubwa ni allies wake.

Hali ilivyo sasa,

🔸Currency zote kubwa zime-drop against Dollar. Of all currency iliyopea zaidi dhidi ya USD ni Ruble ya Russia tu.

🔸Katika uwiano nilio-uainisha hapo juu, mmeona GBP na EURO zimepoteza over 10% of their value ila USD imetulia. Hii ni kama kusema kuna upotevu wa over 10% ya thamani katika wale walio weka akiba zao kwenye fedha I mean Euro na Pound kwa hapa TZ.

So kama mtu aliweka Billion 1 in Euro au Pound mwezi February hivi sasa ana less than Mil 900 😂

🔸 Tunakazia tena, Henry Kissinger was right, that- kua friend wa US is fatal. Em fikirieni vile kawashawishi EU ku-weaponize their currency kama anavyo-fanya yeye ambayo imepelekea Russia akaiondoa kwenye mauzo yake ya Gas kutoka kwenye nchi hizo na kulazimisha matumizi ya fedha yake mwenyewe (Ruble)

As a result, demand ya hiyo fedha imepungua na kupelekea thamani yake pia kushuka. Waswahili huwa tuna ule msemo unasema "Usiige kunya kwa tembo, Utapasuka msamba".

🔸Majuzi kati tumeona trade route ya St. Petersburg kwenda india ikibadilishwa na sasa itakuwa inapitia Iran. Trade route mpya ambayo haitakuwa na mdudu anaitwa SWIFT, wala Currencies zinazoitwa EURO, USD ama GBP.

Later kama Russia akitimiza alichokizungumza kuhusu mauzo ya bidhaa zingine to unfriendly countries ambao majority in EU yawe katika Ruble, hii itaongeza speed ya Euro kwenye mteremko.

Na huenda in years to come mataifa mengi ya EU yatarudi kutumia National currencies zao badala ya hii fedha ya Muungano.

Mtazamo wangu juu ya hili... Hii self destruction ya mataifa ya Ulaya kupitia viongozi wao na ile Russophobia wanayo-jipandikiza kila kukicha basi huenda haya mataifa yataendelea kua vibaraka wa Washington miaka nenda rudi.

Kwanini? Kwasababu mbali ya kua home of largest financial institutions, hawana cha kujivunia ukiutizama uchumi wao kwenye kipengele cha "Supply chains". Uhai wa nishati, ambao ndio uhai wa uchumi wao unategemea imports kutoka nje.

Wakizidisha chuki dhidi ya Russia maana ake itabidi wageukie mataifa mbadala. Cha kusikitisha katika mataifa mbadala mengi yaliyo karibu, wao na boss wao US wameyapiga sanctions zisizo na kichwa wala miguu.

Yaliyo rafiki kama Australia Canada na US mwenyewe yako mbali hivyo Cost ya Energy kua juu zaidi. Sasa katika mataifa yanayoongoza kwa kua na High Tax ni wao, Swali hapo. Je Investors na Makampuni yataweza kujiendesha kwa faida au hasara? Jibu ni jepesi tu kwamba ni hasara.

Kitachofuata ni makampuni hayo kuhama na kupeleka shughuli zao watakapo ona wanaweza kujiendesha kwa faida.

Hivyo wao EU watabaki kwenye kikwapa cha Washington waendelee kupewa huduma 😂.

Life liko speed sana.
Chakula ya ubongo hii

sijaacha hata herufi moja
#AmProudToBePro-Russia
 
Amazing! Russia has shown incredible regard to humanity in this war from the very beginning--more than all of NATO combined.

Marekani ndiye angekuwa anamiliki hiyo gesi na mafuta ya Russia, plus commodities zinazohitajika duniani kote, kitambo sana tangu day 1 wangediskonekti na kuchimbua na kung'oa mabomba yote ili tu kumkomoa Russia, endapo ndiye angekuwa tegemezi!

This is why Putin is winning everyday! This is why no one trusts US. Some nations wanamwogopa tu kwa muda ili nao wajipange wapate nguvu. That's it!
Kama ambayo alitegemea amkomoe kwenye vikwazo ila mission ikafeli. Alitaka kuona Russia inateketea kama zimbabwe
 
Yaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Huyu nae hana hoja kila siku kurudia rudia comments ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona marekani ilipewa kichapo cha nusu dakika na Iran kule Iraq ha ha ha ha ha
 
Lakini Ngoja nikuulize swali...Kwanini Ukraine inashindwa kurudisha maeneo iliyoyapoteza mpaka leo?
Ukraine hajapoteza hata eneo moja. Wako kwenye kitu ambacho kivita ni cha kawaida kabisa. Kinaitwa ^tactical retreat!^

Soon, watamzunguka adui na kutoka kulia, kushoto, mbele na nyuma na juu, na kumvaa kama gauni la pamba za Mwanza.
 
Russia anatoa kipondo kikali muda huu . Haijawahi kutokea toka Op imeanza huenda OP imeisha SASA ni real war. Kipigo ni Ukraine yote yaani huku gas imezimwa huku kipondo cha jeh
Na wewe acha fix bwana. Eti muda huu. Inamaana ni wewe tu unayepata taarifa lakini wengine hawana, hata media hazina.

Hilo neno " Muda huu". Litoe
 
Back
Top Bottom