kitungi
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 239
- 597
Wewe utaelewa taratibu .Mimi tu kukufikishia habariNa wewe acha fix bwana. Eti muda huu. Inamaana ni wewe tu unayepata taarifa lakini wengine hawana, hata media hazina.
Hilo neno " Muda huu". Litoe
Shule hii asee hii ni A+ in shangazi ngaboru voiceHuu Umoja wa EU sina hakika kama una maisha marefu, kuporomoka kwa Euro ni pigo kubwa hasa kwa largest economies kama Germany, Italy, France and Spain.
While Euro is falling, kinachoshangaza Sterling Pound na Dollar zinaendelea kua strong against Euro.
Hivi sasa tangu 24th feb kuanza kwa hii Operation hadi leo, Euro imepoteza 12% ya thamani yake against fedha yetu Tsh. Kwa wale ambao hupendelea kuweka savings kwa fedha za kigeni najua wanaugulia pole pole.
Zile Currencies maarufu ndani ya hii miezi zipo kama hivi against fedha yetu hapa Tanzania.
[emoji842]1EURO kutoka 2,659tsh to 2,342tsh... Pungufu ya 317tsh hivi sawa na 12%
[emoji842]1USD kutoka 2,315tsh to 2,330tsh... Ongezeko la 15tsh hivi sawa na 0.6%
[emoji842]1GBP kutoka 3,096tsh to 2,765tsh... Pungufu ya kama 331tsh hivi sawa na 10.6%
Sasa kupanda ama kushuka kwa thamani ya sarafu ni jambo la kawaida lakini percentage za kushuka zinapokuwa kubwa ni hasara hasa linapokuja issue zima ya kutaka kufanya exchange.
Fikiria ukubwa wa anguko la 10% lilivyo, kihesabu nyepesi ni kua kama ulikuwa na Mil 100, basi Mil 10 zimefutika. Now upo na Mil 90.
Kuna kauli aliwahi kuizungumza Henry Kissinger, that:- "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal". Na of course haya ndio tunayojionea hivi leo.
Hapo what he was trying to suggest ni kwamba kama you are an American enemy then that can be a danger but at least you know where you stand. But if you are a friend then the US will destroy you - not necessarily from malice but because of how America operates.
Rejeeni alivyokuwa anawaambia EU wasusie energy ya Urusi, huku yeye nyuma ya Pazia anaongeza manunuzi.
So tunaweza kusema Henry Kissinger is definitely right and could not be more right in what he said. US ni war mongering nation.
Kuna speech moja ya Jimmy Carter, Rais wa zamani wa US. Katika hotuba yake kuna maneno haya...
"Since 1979, do you know how many times China has been at war with anybody?" Carter asked halafu akajijibu "None. And we have stayed at war."
The U.S. has enjoyed only 16 years of peace in its 242-year history, making the country "the most warlike nation in the history of the world," Carter said.
Na akasema kua yote hayo ni kwasababu ya America's tendency to force other nations to "adopt our American principles."
Zaidi kuna research ya NGO ya hapo hapo US inaitwa CODEPINK ambao ni anti-war group, wanasema since 2001, the US and its allies have dropped on an average 46 bombs daily on other countries.
Kinachofurahisha ni kua, katika harakati zote za kivita, wahangwa wakubwa ni allies wake.
Hali ilivyo sasa,
[emoji842]Currency zote kubwa zime-drop against Dollar. Of all currency iliyopea zaidi dhidi ya USD ni Ruble ya Russia tu.
[emoji842]Katika uwiano nilio-uainisha hapo juu, mmeona GBP na EURO zimepoteza over 10% of their value ila USD imetulia. Hii ni kama kusema kuna upotevu wa over 10% ya thamani katika wale walio weka akiba zao kwenye fedha I mean Euro na Pound kwa hapa TZ.
So kama mtu aliweka Billion 1 in Euro au Pound mwezi February hivi sasa ana less than Mil 900 [emoji23]
[emoji842] Tunakazia tena, Henry Kissinger was right, that- kua friend wa US is fatal. Em fikirieni vile kawashawishi EU ku-weaponize their currency kama anavyo-fanya yeye ambayo imepelekea Russia akaiondoa kwenye mauzo yake ya Gas kutoka kwenye nchi hizo na kulazimisha matumizi ya fedha yake mwenyewe (Ruble)
As a result, demand ya hiyo fedha imepungua na kupelekea thamani yake pia kushuka. Waswahili huwa tuna ule msemo unasema "Usiige kunya kwa tembo, Utapasuka msamba".
[emoji842]Majuzi kati tumeona trade route ya St. Petersburg kwenda india ikibadilishwa na sasa itakuwa inapitia Iran. Trade route mpya ambayo haitakuwa na mdudu anaitwa SWIFT, wala Currencies zinazoitwa EURO, USD ama GBP.
Later kama Russia akitimiza alichokizungumza kuhusu mauzo ya bidhaa zingine to unfriendly countries ambao majority in EU yawe katika Ruble, hii itaongeza speed ya Euro kwenye mteremko.
Na huenda in years to come mataifa mengi ya EU yatarudi kutumia National currencies zao badala ya hii fedha ya Muungano.
Mtazamo wangu juu ya hili... Hii self destruction ya mataifa ya Ulaya kupitia viongozi wao na ile Russophobia wanayo-jipandikiza kila kukicha basi huenda haya mataifa yataendelea kua vibaraka wa Washington miaka nenda rudi.
Kwanini? Kwasababu mbali ya kua home of largest financial institutions, hawana cha kujivunia ukiutizama uchumi wao kwenye kipengele cha "Supply chains". Uhai wa nishati, ambao ndio uhai wa uchumi wao unategemea imports kutoka nje.
Wakizidisha chuki dhidi ya Russia maana ake itabidi wageukie mataifa mbadala. Cha kusikitisha katika mataifa mbadala mengi yaliyo karibu, wao na boss wao US wameyapiga sanctions zisizo na kichwa wala miguu.
Yaliyo rafiki kama Australia Canada na US mwenyewe yako mbali hivyo Cost ya Energy kua juu zaidi. Sasa katika mataifa yanayoongoza kwa kua na High Tax ni wao, Swali hapo. Je Investors na Makampuni yataweza kujiendesha kwa faida au hasara? Jibu ni jepesi tu kwamba ni hasara.
Kitachofuata ni makampuni hayo kuhama na kupeleka shughuli zao watakapo ona wanaweza kujiendesha kwa faida.
Hivyo wao EU watabaki kwenye kikwapa cha Washington waendelee kupewa huduma [emoji23].
Life liko speed sana.
EU EU EUThe latest from Medvedev:
"The euro and dollar exchange rates for the first time in 20 years caught up. Predictions about the onset of a systemic crisis in the euro area are beginning to come true. First, the EU members shot themselves in the head with a sanctions pistol. Now they are reaping the bitter fruits of a decline in production, supercritical food inflation, the loss of competitiveness of their goods and the expectation of winter in ice dwellings without our gas. In global terms, this is confirmation of the extremely ill-conceived nature of the sanctions against Russia. Sanctions don't work. Sanctions are harmful to the Europeans themselves. The euro is weakening.
And of course, the European currency, which is getting cheaper relative to the American one, has become an excellent marker of the one who pays in hard currency for the bloody crisis in the Square. Washington, together with London, bred the Europeans like thimble-makers. It is known that war is the continuation of politics by other means. When starting an economic massacre, it was necessary to calculate their own monetary and economic problems, and not just introduce bad restrictions. In the White House this formula, unlike the Brussels dogs of war, apparently knows incomparably better. They punish their loved ones much less often, measuring out the consequences for a long time. But the “useful European idiots” suffered much more at the mercy of the Americans. But they are not at all sorry, since it was the Russophobes from the EU who unleashed a hybrid war with Russia and opened a wide economic front against us."
@russianhead
RUBO ileeeeee[emoji4][emoji4][emoji4]While a real food crisis looms over Europe, the grain is being harvested in the liberated territory of the Lugansk People's Republic.
This one enterprise alone is able to meet the needs of the population of the entire region, and there are a lot of such agricultural firms.
Sold in Rubles from now on.
#food_crisis #wheat_export_russia
@russianhead
An authentic Russian channel.
Poleni MKUU unahisi kama hali itaendelea hvyo hvyo tutegemee reaction gani toka kwawananchiJapo ninaishi Finland na ni raia, japo ninashuhudia mfumuko wa bei na gharama za maisha kupanda. Bado ninasimama na Urusi.
Wengi wenu inawezekana mnachangia hii mada kwa kutegemea mitazamo, taaluma, taarifa, historia na uhalisia wa mambo katika uwanja wa vita, ila mimi ninayaishi haya maisha huku.
Hapa kwetu, ukweli ni kwamba tuna hali mbaya. EU wamenyea kambi to be honest. Winter is coming, jana wakati natoka kazini nimeona wameanza kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zingine za barabarani (streetlights) jambo ambalo ni nadra sana.
Tunaanza kujiandaa kuoga maji ya baridi na kuzoea baridi ndani ya majumba yetu maana heating system inategemea gesi. Bei ya vyakula sitaki kujadili. Maana najua ni kiasi gani mimi na familia yangu nimeathirika.
Kwa hiyo wewe una intelejensia gani ndugu, mpaka ugundue ya Russia haikupata taarifa sahihi?
Dah!! U Pro NATO wako ni unakuponza balaa.
Mwenzio Zelensky anafanya maonesho ya silaha eti alizoteka kwa Urusi!! Haya endeleeni kufanya comedy kwenye Vita.
Munachekesha Sana. Putin ana waumbua sana.
Huyu nae hana hoja kila siku kurudia rudia comments ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona marekani ilipewa kichapo cha nusu dakika na Iran kule Iraq ha ha ha ha ha
Poleni MKUU unahisi kama hali itaendelea hvyo hvyo tutegemee reaction gani toka kwawananchi
Nna jamaa yupo GERMAN nae lawama zake kama usemavyo wewe
Ila mtuvumilie tu ndugu zenu tutasimama na RUSSIA mpaka mwisho kama mnavyosimama nae ninyi
Ikiwezekana mjiandae kurejelea makwenu walau sisi tupo huku ughaibuni kwanafuu
Ila tunatamani ndugu zetu muwe salama ila kiukweli tunamani EU+EUROPE kwaujumla wake mpaka kule US waingie kwenye civil war ili waone utamu wake
mungu awatangulie sana
Komenti yake hiyohiyo toka nimemjua. Nashukuru kumbe na wengine mshamsoma na kunotce Kwamba hajui kuuficha ujinga wake unaotokana na ubongo uliojaa maji.Huyu nae hana hoja kila siku kurudia rudia comments ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona marekani ilipewa kichapo cha nusu dakika na Iran kule Iraq ha ha ha ha ha
Ha ha ha.Ukraine hajapoteza hata eneo moja. Wako kwenye kitu ambacho kivita ni cha kawaida kabisa. Kinaitwa ^tactical retreat!^
Soon, watamzunguka adui na kutoka kulia, kushoto, mbele na nyuma na juu, na kumvaa kama gauni la pamba za Mwanza.
soma kwa kutulia... hapo anamfariji pro NATOHa ha ha.
Duh hem kwanza nicheke.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
US wanasema maeneo yaliyochukuliwa Ni Kama vile hayatorudi kuwa Ukraine tena.kwa Hali halisi iliyopo we unakazania eti haijapoteza Ni ritrit [emoji16]. Au sio
Tatizo la wananchi wa huku ni watu rahisi kuwa control mnoo. Ndo maana unaona huku wananchi wengi wamepigwa chanjo ya UVIKO.
Waziamini sana serikali zao mpaka hali inavyokuwa mbaya sana ndo wanashituka ila hapo tayari uharibifu umeshatokea.
Jambo jingine ni unyanyapaa. Ulaya mtu ukiwa na hoja mbadala siku hizi kumekuwa na tabia ya kunyanyapaliwa. Mfano, watu wengi hawaungi mkono ushoga, ila hawawezi kutamka hadharani kwa kuogopa kunyanyapaliwa. Waliopinga chanjo kama tulivyoona waliitwa conspiracy theorists.
Wananchi wa Ulaya wengi wanaamini mainstream media kwa asilimia 100. Na hiyo ni Hatari sana kwasababu media inakuwa controlled na interests za majitu mengine. Media zinapigia chapuo agenda za watu ambao wana malengo hasi na jamii ila ndo hivyo huku pamoja na viwango vyao vya elimu kuwa juu, bado wengi ni mazombi tu. Ukikaa na wazungu ndo utagundua kwamba wengi wao ni mazezeta tu.
Hivyo tusitarajie makubwa sana kutokea coz mpaka sasa wengi wanaamini Putin ndo chanzo cha matatizo yao, hawaoni kabisa ujinga unaofanywa na viongozi wao kwa kushirikiana na Marekani.
Kwa sasa jambo la kufanya ni kusubiri wakati utajibu. Bahati nzuri sisi wengine tuna makwetu, kikinuka tunakwea pipa haooooo. Afrika moja, hali ikiimarika tunatia timu. Wapambane na hali zao.
Narudia tena, Putin na mimi ni ndugu. Namuunga mkono mpaka siku ya kiama.
Poleni MKUU unahisi kama hali itaendelea hvyo hvyo tutegemee reaction gani toka kwawananchi
Nna jamaa yupo GERMAN nae lawama zake kama usemavyo wewe
Ila mtuvumilie tu ndugu zenu tutasimama na RUSSIA mpaka mwisho kama mnavyosimama nae ninyi
Ikiwezekana mjiandae kurejelea makwenu walau sisi tupo huku ughaibuni kwanafuu
Ila tunatamani ndugu zetu muwe salama ila kiukweli tunamani EU+EUROPE kwaujumla wake mpaka kule US waingie kwenye civil war ili waone utamu wake
mungu awatangulie sana
Na ndio lengo la Mshana kuileta hii taarifaAlikuwa na jicho tamu sana aisee!.