Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,124
- 5,698
Operation iendeleeNawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Operation iendeleeNawasalimu kwa jina la RUSSIA.
Dooh nimekuelewa MKUU shukran sana sana sanaaaTatizo la wananchi wa huku ni watu rahisi kuwa control mnoo. Ndo maana unaona huku wananchi wengi wamepigwa chanjo ya UVIKO.
Waziamini sana serikali zao mpaka hali inavyokuwa mbaya sana ndo wanashituka ila hapo tayari uharibifu umeshatokea.
Jambo jingine ni unyanyapaa. Ulaya mtu ukiwa na hoja mbadala siku hizi kumekuwa na tabia ya kunyanyapaliwa. Mfano, watu wengi hawaungi mkono ushoga, ila hawawezi kutamka hadharani kwa kuogopa kunyanyapaliwa. Waliopinga chanjo kama tulivyoona waliitwa conspiracy theorists.
Wananchi wa Ulaya wengi wanaamini mainstream media kwa asilimia 100. Na hiyo ni Hatari sana kwasababu media inakuwa controlled na interests za majitu mengine. Media zinapigia chapuo agenda za watu ambao wana malengo hasi na jamii ila ndo hivyo huku pamoja na viwango vyao vya elimu kuwa juu, bado wengi ni mazombi tu. Ukikaa na wazungu ndo utagundua kwamba wengi wao ni mazezeta tu.
Hivyo tusitarajie makubwa sana kutokea coz mpaka sasa wengi wanaamini Putin ndo chanzo cha matatizo yao, hawaoni kabisa ujinga unaofanywa na viongozi wao kwa kushirikiana na Marekani.
Kwa sasa jambo la kufanya ni kusubiri wakati utajibu. Bahati nzuri sisi wengine tuna makwetu, kikinuka tunakwea pipa haooooo. Afrika moja, hali ikiimarika tunatia timu. Wapambane na hali zao.
Narudia tena, Putin na mimi ni ndugu. Namuunga mkono mpaka siku ya kiama.
🤣🤣🤣🤣Pro nato si tulikubaliana mtoa matangazo ya kifo ni Jackal peke yake mbona tunachanganyana 😂😂😂😂kila mtu astiki kwenye engo yake.
:[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia sio manpower TU,
Bali hata kimbinu Yuko vizur Sana.
Wanajeshi wa Ukraine wanaenda Frontline kichwa kichwa Kama kuku asiye na shingo
Sent using Jamii Forums mobile app
Warusi wa kibaigwa wamekuskkia lakiniWanapigwa
Jamaa wapo St Peterberg. Putin yupo kwenye handaki.Warusi wa kibaigwa wamekuskkia lakini
Na bado Ukraine ya Zelensy inazidi kumegwa! Mwambieni Mmarekani awaamuru viranja wake wasaidizi wa Ulaya wasusie gezi na mafuta ya Putin--because kwa nini anafanya hivyo?Jamaa wapo St Peterberg. Putin yupo kwenye handaki.
Maneno yanaumba ujue wewe ongea kwa utani ruuuJamaa wapo St Peterberg. Putin yupo kwenye handaki.
Baridi itaondoa kikwazo kimoja kwenda kingine.Na bado Ukraine ya Zelensy inazidi kumegwa! Mwambieni Mmarekani awaamuru viranja wake wasaidizi wa Ulaya wasusie gezi na mafuta ya Putin--because kwa nini anafanya hivyo?
Hivi hawaoni kwamba wanafadhili vita kwa kummwagia Rubles kibao?
Na kama ndivyo, kwa nini wayachukie mataifa mengine marafiki yasifanye biashara ya Russia?
Umeandika utumbo wa bata pia unanuka mdomoJamaa wapo St Peterberg. Putin yupo kwenye handaki.
Uwe unapiga mswaki mdomo wako unanukaMpaka mtaita maji ma...
Mkuu ukipanga mambo yako rudi tu huku nyumbani,bora uje tubanane na hawahawa akina SAMIA mbona maisha yanaenda tu!Tatizo la wananchi wa huku ni watu rahisi kuwa control mnoo. Ndo maana unaona huku wananchi wengi wamepigwa chanjo ya UVIKO.
Waziamini sana serikali zao mpaka hali inavyokuwa mbaya sana ndo wanashituka ila hapo tayari uharibifu umeshatokea.
Jambo jingine ni unyanyapaa. Ulaya mtu ukiwa na hoja mbadala siku hizi kumekuwa na tabia ya kunyanyapaliwa. Mfano, watu wengi hawaungi mkono ushoga, ila hawawezi kutamka hadharani kwa kuogopa kunyanyapaliwa. Waliopinga chanjo kama tulivyoona waliitwa conspiracy theorists.
Wananchi wa Ulaya wengi wanaamini mainstream media kwa asilimia 100. Na hiyo ni Hatari sana kwasababu media inakuwa controlled na interests za majitu mengine. Media zinapigia chapuo agenda za watu ambao wana malengo hasi na jamii ila ndo hivyo huku pamoja na viwango vyao vya elimu kuwa juu, bado wengi ni mazombi tu. Ukikaa na wazungu ndo utagundua kwamba wengi wao ni mazezeta tu.
Hivyo tusitarajie makubwa sana kutokea coz mpaka sasa wengi wanaamini Putin ndo chanzo cha matatizo yao, hawaoni kabisa ujinga unaofanywa na viongozi wao kwa kushirikiana na Marekani.
Kwa sasa jambo la kufanya ni kusubiri wakati utajibu. Bahati nzuri sisi wengine tuna makwetu, kikinuka tunakwea pipa haooooo. Afrika moja, hali ikiimarika tunatia timu. Wapambane na hali zao.
Narudia tena, Putin na mimi ni ndugu. Namuunga mkono mpaka siku ya kiama.
Jitahidi kutulia unapoona jambo. Ndio sifaa kuu ya Pro Russia. Umejaribu kujua genesis ya andiko? Punguza emotion use your brain well.Umeandika utumbo wa bata pia unanuka mdomo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]Jitahidi kutulia unapoona jambo. Ndio sifaa kuu ya Pro Russia. Umejaribu kujua genesis ya andiko? Punguza emotion use your brain well.