Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamuhuri ya Watu wa Donetsk imefungua ubalozi wake nchini Russia. Mabeberu wanasema huo ni uadui na ubabe wa hali ya juu dhidi ya Ukraine na Jumuia ya Mabeberu

SmartSelect_20220713-172706_Chrome.jpg
 
Video: Howitzer ya Marekani (m777 Howitzer) ilivyochakazwa na Urusi. Video imechukuliwa baada ya kutekwa mji wa Ukraine, majeshi ya Ukraine yakatelekeza hayo mavyuma chakavu


Hizi ambazo bado zipo intact namna hii Ni kwamba hapo kunakuwa na dili ya hao wa Ukraine kuuza hizo silaha na wanajifanya kama Wana zi abandon hivi... Kumbe wameshaziuza.
 
Huu Umoja wa EU sina hakika kama una maisha marefu, kuporomoka kwa Euro ni pigo kubwa hasa kwa largest economies kama Germany, Italy, France and Spain.

While Euro is falling, kinachoshangaza Sterling Pound na Dollar zinaendelea kua strong against Euro.

Hivi sasa tangu 24th feb kuanza kwa hii Operation hadi leo, Euro imepoteza 12% ya thamani yake against fedha yetu Tsh. Kwa wale ambao hupendelea kuweka savings kwa fedha za kigeni najua wanaugulia pole pole.

Zile Currencies maarufu ndani ya hii miezi zipo kama hivi against fedha yetu hapa Tanzania.
🔸1EURO kutoka 2,659tsh to 2,342tsh... Pungufu ya 317tsh hivi sawa na 12%

🔸1USD kutoka 2,315tsh to 2,330tsh... Ongezeko la 15tsh hivi sawa na 0.6%

🔸1GBP kutoka 3,096tsh to 2,765tsh... Pungufu ya kama 331tsh hivi sawa na 10.6%

Sasa kupanda ama kushuka kwa thamani ya sarafu ni jambo la kawaida lakini percentage za kushuka zinapokuwa kubwa ni hasara hasa linapokuja issue zima ya kutaka kufanya exchange.

Fikiria ukubwa wa anguko la 10% lilivyo, kihesabu nyepesi ni kua kama ulikuwa na Mil 100, basi Mil 10 zimefutika. Now upo na Mil 90.

Kuna kauli aliwahi kuizungumza Henry Kissinger, that:- "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal". Na of course haya ndio tunayojionea hivi leo.

Hapo what he was trying to suggest ni kwamba kama you are an American enemy then that can be a danger but at least you know where you stand. But if you are a friend then the US will destroy you - not necessarily from malice but because of how America operates.

Rejeeni alivyokuwa anawaambia EU wasusie energy ya Urusi, huku yeye nyuma ya Pazia anaongeza manunuzi.

So tunaweza kusema Henry Kissinger is definitely right and could not be more right in what he said. US ni war mongering nation.

Kuna speech moja ya Jimmy Carter, Rais wa zamani wa US. Katika hotuba yake kuna maneno haya...

"Since 1979, do you know how many times China has been at war with anybody?" Carter asked halafu akajijibu "None. And we have stayed at war."

The U.S. has enjoyed only 16 years of peace in its 242-year history, making the country "the most warlike nation in the history of the world,"
Carter said.

Na akasema kua yote hayo ni kwasababu ya America's tendency to force other nations to "adopt our American principles."

Zaidi kuna research ya NGO ya hapo hapo US inaitwa CODEPINK ambao ni anti-war group, wanasema since 2001, the US and its allies have dropped on an average 46 bombs daily on other countries.

Kinachofurahisha ni kua, katika harakati zote za kivita, wahangwa wakubwa ni allies wake.

Hali ilivyo sasa,

🔸Currency zote kubwa zime-drop against Dollar. Of all currency iliyopea zaidi dhidi ya USD ni Ruble ya Russia tu.

🔸Katika uwiano nilio-uainisha hapo juu, mmeona GBP na EURO zimepoteza over 10% of their value ila USD imetulia. Hii ni kama kusema kuna upotevu wa over 10% ya thamani katika wale walio weka akiba zao kwenye fedha I mean Euro na Pound kwa hapa TZ.

So kama mtu aliweka Billion 1 in Euro au Pound mwezi February hivi sasa ana less than Mil 900 😂

🔸 Tunakazia tena, Henry Kissinger was right, that- kua friend wa US is fatal. Em fikirieni vile kawashawishi EU ku-weaponize their currency kama anavyo-fanya yeye ambayo imepelekea Russia akaiondoa kwenye mauzo yake ya Gas kutoka kwenye nchi hizo na kulazimisha matumizi ya fedha yake mwenyewe (Ruble)

As a result, demand ya hiyo fedha imepungua na kupelekea thamani yake pia kushuka. Waswahili huwa tuna ule msemo unasema "Usiige kunya kwa tembo, Utapasuka msamba".

🔸Majuzi kati tumeona trade route ya St. Petersburg kwenda india ikibadilishwa na sasa itakuwa inapitia Iran. Trade route mpya ambayo haitakuwa na mdudu anaitwa SWIFT, wala Currencies zinazoitwa EURO, USD ama GBP.

Later kama Russia akitimiza alichokizungumza kuhusu mauzo ya bidhaa zingine to unfriendly countries ambao majority in EU yawe katika Ruble, hii itaongeza speed ya Euro kwenye mteremko.

Na huenda in years to come mataifa mengi ya EU yatarudi kutumia National currencies zao badala ya hii fedha ya Muungano.

Mtazamo wangu juu ya hili... Hii self destruction ya mataifa ya Ulaya kupitia viongozi wao na ile Russophobia wanayo-jipandikiza kila kukicha basi huenda haya mataifa yataendelea kua vibaraka wa Washington miaka nenda rudi.

Kwanini? Kwasababu mbali ya kua home of largest financial institutions, hawana cha kujivunia ukiutizama uchumi wao kwenye kipengele cha "Supply chains". Uhai wa nishati, ambao ndio uhai wa uchumi wao unategemea imports kutoka nje.

Wakizidisha chuki dhidi ya Russia maana ake itabidi wageukie mataifa mbadala. Cha kusikitisha katika mataifa mbadala mengi yaliyo karibu, wao na boss wao US wameyapiga sanctions zisizo na kichwa wala miguu.

Yaliyo rafiki kama Australia Canada na US mwenyewe yako mbali hivyo Cost ya Energy kua juu zaidi. Sasa katika mataifa yanayoongoza kwa kua na High Tax ni wao, Swali hapo. Je Investors na Makampuni yataweza kujiendesha kwa faida au hasara? Jibu ni jepesi tu kwamba ni hasara.

Kitachofuata ni makampuni hayo kuhama na kupeleka shughuli zao watakapo ona wanaweza kujiendesha kwa faida.

Hivyo wao EU watabaki kwenye kikwapa cha Washington waendelee kupewa huduma 😂.

Life liko speed sana.
Jamaa yangu hapa umemaliza kila kitu yaani tutaanza kuona wazamiaji wa kizungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Namuomba Putin azidi kukaza mpaka wananchi waanzishe machafuko halafu tukaangalie kamikaze zile zilizopelekwa Ukraine zikashindwa kufanyakazi, je zitashindwa kazi ulaya zikiwa zimeshikiliwa na magaidi???
 
Vifo vya makamanda wa Urusi vimekuwa vinapigiwa PR na Pro west wasiojitambua. Hapa najiuliza huko ku post picha ya general wa urusi kafa, wanaweka caption kua ni kazi ya HIMARS wakati ardhi inabebwa kila siku wana maana gani? Au wamepewa kazi ya kupiga marketing ya HIMARS kutoka kwa Shoga mkuu?

Mmh wamepeleka vifaa hivyo kuua ma generali wa urusi au kukomboa miji iliyo chukuliwa?

Wadau wana hamisha sana magoli kuonesha uzuzu uliopitiliza. Hapa wameishiwa wanajeshi hadi wameanza kutrain wanawake waingie vitani, wanaishiwa weapons kila siku, miji wanapoteza na Urusi anazidi kusonga mbele.

Duh kwani hao magenerali wakifa ndio Mariuopol inarudi? Luhansk inarudi? Donestik inarudi?

Wenzetu wanajifariji kizombie sana, nimesoma hiyo post ya mzee wa EWURA dah he he he he kweli JF ina Great Thinkers wa mchongo ase 🤪😂.

Sasa badala ya kujikita kwenye Casualties tuleteeni taarifa za kumrudisha nyuma mrusi kwenye Operation yake bila kusahau caption yenu kwamba ni "kazi ya HIMARS"😛

Taarifa walau isomeke kua Russia kakimbia Ukraine in the name of HIMARS. Yeeeeeah kama hivyo yan.
 
Seversk ipo karibu kuzungukwa na majeshi ya Urusi.

Lakini muda huu Majeshi ya Urusi yameingia katikati ya Seversk hivyo kupelekea Majeshi ya Ukraine kurudi nyuma.

Hii itapelekea Bakhmut ipigwe kutokea kusini na kutokea kaskazini Mashariki.

Slovyansk pia itapigwa kutokea kusini na kaskazini Magharibi.

Hivyo kuanguka kwa Seversk ni pigo kubwa na Ile tactical retreat ya Ukraine utaisikia Tena, safari hii wakielekea Kramatosk.

Tukae mkao wa kula, Nyama zilishaliwa na Wazaramo na ndugu zao Wandengereko.
 
Jamaa yangu hapa umemaliza kila kitu yaani tutaanza kuona wazamiaji wa kizungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Namuomba Putin azidi kukaza mpaka wananchi waanzishe machafuko halafu tukaangalie kamikaze zile zilizopelekwa Ukraine zikashindwa kufanyakazi, je zitashindwa kazi ulaya zikiwa zimeshikiliwa na magaidi???
Ha ha ha kuna wimbo mmoja wa kichizi fresh tuta-wawekea na tuta-waomba wafatilize kila neno....

Kwamba

"Oya jibebe bebee
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebe

Asa wee ngoja niji set
Si walisusa nakula
Fanya wainama kisha rotate
Tuwakunjishe na sura"


He he he wakigoma kuinama, wakigoma ku'rotate tunawa piga Iskander...

Urrraaaaaa 🇷🇺
 
Mim sio shabiki ila nimeitizama kauli ya Russian president amesema "we haven't started anything seriously " hapa kihistoria mrusi sio mtu mzuri ana tactical warfare mbaya na za ajabu.hawa watu sio wazuri.watu waliopigana na kushind vita ya dunia mbinu walizonazo sio za kawaida
Russia wanatisha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Eleven(11) minutes of unvarnished truth: The most blistering assessment of the USA ever aired on Radio​

WORLD NEWSDESK JULY 2022
As most Americans remain blissfully unaware that nuclear war is likely just weeks away, The Hal Turner Radio Show aired the most blistering assessment of the situation ever spoken on radio. It is eleven minutes of absolute radio gold. Truth for the ages.

"The USA has become a woke cesspool of 3rd world slums, meth/herion junkies, rabid feminists, and neutered femboys.

Am I really supposed to care if 90% of it is annihilated in a nuclear fire?

But, people say, but "muh freedums . . . 'mercia, *** yeah!"

Well, that place has been dead a long time. Maybe it's time its rotting carcass be put on a funeral pyre."

There's more . . . much more.

Here is the most ferocious, brutally honest, political/social/cultural assessment ever spoken on radio:

 
Back
Top Bottom