Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Biden leo huko US wamemdhalilisha sio poa nashindwa ku-uplod pitien hapa
Urusi sio Kenya! Iliingiza wanajeshi 250,000 na Ukraine ina wanajeshi 600,000 na huku ilipata kila Aina ya misaada,ya pesa,silaha, intelligence mercenaries etc,Ila bado Urusi inaipiga kama mtoto, swali,je kama Urusi ingeingiza wanajeshi 600,000? Nini kingetokea?
Aisee sikuwahi kuwaza hilo, kumbe wajeda wa Ukraine wapo mara mbili zaidi ya wajeda wa Urusi, lakini kila day wajeda wa Ukraine wanatekwa/ wanafurushwa na kutelekeza miji yao🤣🤣😇😇😇
Russia wana mbinu bora + silaha za maana. Unaambiwa Putin anawamiminia wanajeshi wa Ukraine mizinga takriban 20,000 kila siku, wakati wao Ukraine wanajibu kwa mizinga 6,000 tu!
Pia Ukraine inategemea munitions za donations/sadaka toka kwa Mabeberu, hadi zisafirishwe toka Marekani + NATO, wakati Putin ana munitions za kupigana miaka tele na kusaza! Hayo yanaripotiwa na Marekani (19 Forty Five)
View attachment 2289278
View attachment 2289279
Mtakuwa mmewehuka...Hiyo taarifa ni tangu juzi usiku ila sikutaka kukurupuka. Uzuri taarifa hizi nchini Urusi hazitolewi na magazeti au vyombo vikubwa. Huwa tunasubiri wanaojua Kirusi watafsiri taarifa kwenye mazishi, au kwenye groups za wanajeshi, vyuo walivyosoma wote na makundi madogo ya social media ambayo serikali haina monitoring.
Kwenye groups zao Telegram, VKontakte au hata Facebook na websites au blogs. Mfano tuseme JKT Ruvu wana kundi lao Facebook fulani akioa wanatangaza uko ila taarifa hutoiona ITV
😁😁😁 Maana si kwa kujichetua wanavyojichetuaNyie
Mtakuwa mmewehuka...
Lakini leo mitambo ya Kimarekani ya HIMARS zimefanya mashambulizi makubwa eneo moja la Russia, na baadhi ya majimbo 10 ya Ukraine kwa mkupuo (yaliyokuwa yametekwa na Russians)! Tutegemee chochote kuanzia sasa kuhusu Putin kukubali yaishe. (Just to encourage the so-called Pro-NATO)!Seversk ipo karibu kuzungukwa na majeshi ya Urusi.
Lakini muda huu Majeshi ya Urusi yameingia katikati ya Seversk hivyo kupelekea Majeshi ya Ukraine kurudi nyuma.
Hii itapelekea Bakhmut ipigwe kutokea kusini na kutokea kaskazini Mashariki.
Slovyansk pia itapigwa kutokea kusini na kaskazini Magharibi.
Hivyo kuanguka kwa Seversk ni pigo kubwa na Ile tactical retreat ya Ukraine utaisikia Tena, safari hii wakielekea Kramatosk.
Tukae mkao wa kula, Nyama zilishaliwa na Wazaramo na ndugu zao Wandengereko.
Vifo vya makamanda wa Urusi vimekuwa vinapigiwa PR na Pro west wasiojitambua. Hapa najiuliza huko ku post picha ya general wa urusi kafa, wanaweka caption kua ni kazi ya HIMARS wakati ardhi inabebwa kila siku wana maana gani? Au wamepewa kazi ya kupiga marketing ya HIMARS kutoka kwa Shoga mkuu?
Mmh wamepeleka vifaa hivyo kuua ma generali wa urusi au kukomboa miji iliyo chukuliwa?
Wadau wana hamisha sana magoli kuonesha uzuzu uliopitiliza. Hapa wameishiwa wanajeshi hadi wameanza kutrain wanawake waingie vitani, wanaishiwa weapons kila siku, miji wanapoteza na Urusi anazidi kusonga mbele.
Duh kwani hao magenerali wakifa ndio Mariuopol inarudi? Luhansk inarudi? Donestik inarudi?
Wenzetu wanajifariji kizombie sana, nimesoma hiyo post ya mzee wa EWURA dah he he he he kweli JF ina Great Thinkers wa mchongo ase 🤪😂.
Sasa badala ya kujikita kwenye Casualties tuleteeni taarifa za kumrudisha nyuma mrusi kwenye Operation yake bila kusahau caption yenu kwamba ni "kazi ya HIMARS"😛
Taarifa walau isomeke kua Russia kakimbia Ukraine in the name of HIMARS. Yeeeeeah kama hivyo yan.
Sio kukubali yaishe. Kiev ijiandae kwa mashambulizi makubwa na mazito.Lakini leo mitambo ya Kimarekani ya HIMARS zimefanya mashambulizi makubwa eneo moja la Russia, na baadhi ya majimbo 10 ya Ukraine kwa mkupuo (yaliyokuwa yametekwa na Russians)! Tutegemee chochote kuanzia sasa kuhusu Putin kukubali yaishe. (Just to encourage the so-called Pro-NATO)!
Source: Trust me!
Nawakumbusha wale wanaosema eti Russia ameishiwa silaha ama hata nguvu tena na blah blahs zingine: Marekani na NATO wenyewe wanaujua ukweli.Mim sio shabiki ila nimeitizama kauli ya Russian president amesema "we haven't started anything seriously " hapa kihistoria mrusi sio mtu mzuri ana tactical warfare mbaya na za ajabu.hawa watu sio wazuri.watu waliopigana na kushind vita ya dunia mbinu walizonazo sio za kawaida
Waambie Russia wanafurumushwq sasa ,siku 140 wanapiga propaganda tuNililisema hili wiki iliyopita anayeweza kuitafuta ile post yangu aiweke humu. Nilisema russia atakunya mabomu vibaya mno wiki hii.
Na bado mpaka akili ziwakae sawa🇺🇲❗War in Ukraine exposes Western defense gaps - Financial Times
Americans are amazed at how it happens that with Russia's $66 billion defense budget and NATO's $1.1 trillion defense budget, the West is running out of weapons and equipment to transfer to Ukraine, and Moscow continues the operation and grinds up all this untold military aid.View attachment 2289454
Wazo zuri sana,Wakuu anzeni kuwekeza kwenye Ruble hamtojuta baada ya muda fulani
Mno mno
Ahahhaha,ndiyo imetoka hiyo