Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

So jambaz amevamia kwako afu anasema utoke mikono mituou kweli na wewe unatoka?
Ukraine Isha weka wazi Russia itoe majeshi yake ndipo mazungu mzo yaanze.tatizo lipo wap hapo? Kuhusu Donbas na luhask ni mambo ya ndani ya Ukraine yanatakiwa ya malizwe ndani ya Ukraine Kwa Usimamizi wa Umoja wa mataifa.Embu fafanua mkuu
Mkuu umevuta marijuana ya wapi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ndani ya miezi 5 tayari Ukraine imisha pewa msaada wa fedha na UE pekee $2.5B sawa na Tshs.55Trillion karibu na bajeti ya Tanzania ya mwaka mzima.Hapo bado hatujahesabu hela kutoka USA,Canada & washirika wake,bado hatujahesabu thamani ya Silaa zinazopelekwa huko kutoka Nchi tofauti tofauti.

Maajabu ndani ya muda huo ardhi yao 25% imisha chukuliwa na Russia-na Bado Urusi anasonga mbele,na mbaya zaidi kwa vyovyote vile hawataweza ku-recover hiyo ardhi iliyochuliwa.sasa si bora zelensky akae chini na Putin wayamalize.
Duh! Hivi hiyo pesa yote isingetosha kweli kununulia ardhi & nchi nyingine kule Planet Mars na kuwahamishia raia wake wote 45 million--na kuwa-secure na kuwalisha hadi pale Elon Musk atakapokuwa ameotesha mimea?
 
Iliwahi kusemwa na Richard Black, former US Marine Colonel.

The funniest and saddest thing is that no one really pays attention to such pertinent information and warning!

Hao viongozi wa Magharibi, NATO, na Ukraine, the way wanavyoshupaza shingo utadhani wako wanafanya experiment ya kugundua watu wengi kiasi gani wanaweza kuteketezwa kwa silaha za Russia!

 
Back
Top Bottom