Hii kuhusu Oblast, Kherson kama Oblast sikupingi. Rejea kwenye kile kikichoulizwa kuhusu Kharkov na Kharkiv.
Sikia bro
Kharkiv/Kharkov City ni City ndani ya Kharkiv Oblast
Kherson City ni City ndani ya Kherson Oblast. Ndani ya Kherson Oblast hakuna Jiji linaitwa kharkov.
Eiwaaa sasa hapa hapa ulipoingia ndio penyewe... endelea kushuka chini kwenye kipengele cha Administrative division ya Hii oblast ya Kherson. Kwenye hii list tutafutie Kharkov aliyo ulizia
Bwana Utam unayo dai ipo hapa.
View attachment 2297143